Tunahitaji Rais dikteta-Msuya
Waziri Mkuu mstaafu, Cleopa David Msuya amesema kwamba Tanzania kwa sasa inahitaji Rais mwenye uamuzi mgumu, mwenye kariba ya udikteta. Waziri Mkuu huyo mwenye rekodi ya aina yake ya kutumikia wadhifa huo kwa marais wawili wa awamu ya kwanza na ya pili, anasema, “Hayo ni mapinduzi yanatakiwa pia yafanyike ndani ya CCM.” “Rais na mwenyekiti…