Serikali yajipanga kudhibiti zebaki
Mkurugenzi wa Mazingira kutoka Ofisi ya Makamu wa Rais, Dk. Julius Ningu, amesema kuna haja kwa nchi kuweka mifumo thabiti ya kudhibiti vifaa mbalimbali vyenye madini ya zebaki. Dk. Ningu ameeleza hayo hivi karibuni jijini Dar es Salaam alipokuwa akifungua mkutano wa wadau, uliolenga kujadili na kuandaa mapendekezo ya Mkataba wa Kimataifa wa Kuzuia Matumizi…