Mapinduzi Z’bar yaenziwe
Januari 12 mwaka huu kama ilivyo kila mwaka, Visiwa vya Zanzibar vimeadhimisha Mapinduzi matukufu ya visiwa hivyo yaliyofikisha umri wa miaka 52. Mapinduzi hayo yanakumbukwa katika kuonesha nguvu ya umma inafanya kazi kuliko kitu chochote kile, pale umma unapochoshwa na ukandamizwaji. Umma unaweza kuvumilia unyanyaswaji kwa muda, lakini si kwa wakati wote. Sababu udhalili wa…