Matapeli wa madini

Magenge ya matapeli kwenye biashara ya madini, yameibuka na kuendesha shughuli zake bila hofu. Uchunguzi uliofanywa na JAMHURI umebaini kuwapo kwa matukio ya utapeli na kuifanya sifa ya Tanzania izidi kuchafuka mbele ya jumuiya ya kimataifa. Mwaka 2013, JAMHURI lilichapisha majina na kampuni za matapeli wa madini; hatua iliyoifanya Serikali ikunjue makucha kupambana na magenge…

Read More

RIPOTI YA RUSHWA YA JAJI WARIOBA – 9

Polisi waliiharibu TAKUKURU   YALIYOJITOKEZA   154. Tume imetafakari kwa undani muundo wa taasisi na shughuli za kurugenzi zote. Katika kufanya hivyo, umuhimu wa Kurugenzi ya Mafunzo, Utafiti na Elimu kwa Umma umetiliwa maanani hasa kwa kuzingatia jukumu lake zito la kuzuia rushwa. Aidha, umuhimu wa kugundua na kufuatilia asilimia kubwa ya tuhuma za rushwa…

Read More

Polisi wakiwa matapeli, wananchi wafanyeje?

Habari iliyochukua uzito wa juu kwenye gazeti hili toleo la leo inahusu vitendo vya utapeli kwenye biashara ya madini. Jambo la kusikitisha ni kusikia kuwa kwenye genge la matapeli hao wamo watumishi wa Serikali, hasa kutoka Jeshi la Polisi. Hizi ni habari za kusikitisha – zenye kulenga kuchafua sifa ya Tanzania katika ulimwengu huu wa…

Read More

Serikali kufufua NASACO Bandari

Serikali inakusudia kufufua Shirika la Taifa la Uwakala wa Meli (NASACO), katika jitihada za kuboresha huduma katika Bandari ya Dar es Salaam kuhudumia wateja wake kwa ufanisi zaidi. Akizungumza na wahariri, Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari (TPA), Mhandisi Deusdedith Kakoko, amesema Serikali ipo katika mchakato wa kuanzisha chombo hicho kitakachohusika na uratibu…

Read More

Asante Lukuvi, umeokoa wanyonge Bukoba

Mpendwa msomaji, niwie radhi wiki hii nalazimika kuandika SITANII ndefu kidogo, na SITANII ya leo itakuwa na vionjo tofauti na zilizotangulia. Nitangaze maslahi pia, kuwa katika hili ninayo maslahi nitakayoyaeleza punde, lakini nitangulie kusema nampongeza na kumshukuru Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Lukuvi. Sitanii, Agosti 16, 2016 nilikuwa Dodoma. Ilikuwa saa…

Read More

Bunge hali tete

Tunashukuru Ofisi ya Bunge imeendelea kuwathibitishia Watanzania kuwa ina matatizo ya kiutendaji. Safari hii Mkurugenzi wa Ofisi ya Spika, Said Yakub, ambaye kimsingi si Msemaji wa Ofisi ya Bunge, amekiri kuwa kuna watoto wa vigogo, ingawa anadai taratibu zimefuatwa kuwaajiri. Sisi tunasema hazikufuatwa. Ameshindwa kutoa majibu ya msingi ambayo msemaji wa ofisi hiyo, Owen Mwandumbya,…

Read More