Ridhiwani achunguzwa
Mbunge wa Chalinze, Ridhiwani Kikwete, anachunguzwa na vyombo vya dola kuhusiana na tuhuma za kujihusisha na biashara ya dawa za kulevya, JAMHURI linathibitisha. Habari za uhakika zilizolifikia JAMHURI na kuthibishwa na mamlaka mbalimbali, jina la mbunge huyo ambaye ni mtoto wa Rais (mstaafu), Jakaya Kikwete, limo katika orodha ya majina 97 aliyoikabidhi Mkuu wa Mkoa…