Daily Archives: December 2, 2017

Mbowe: CCM wamevuruga Uchaguzi

Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimesema Uchaguzi Mdogo wa Madiwani 43 uliofanyika Jumapili umevurugwa na Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimkakati, hivyo baadhi ya maeneo wamemua kujitoa ikiwamo Mkoa wa Manyara. Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe (pichani) ameliambia JAMHURI kuwa zamu hii CCM wametumia mbinu ya kuanzisha utaratibu wa kuwapa barua maalum za utambulisho mawakala wa vyama, ambapo wale wa ...

Read More »

Steve Nyerere Amtolea Povu Polepole, Wema Kurejea CCM

Muda mfupi baada ya Wema Sepetu kutangaza kurejea Chama cha Mapinduzi (CCM), chama hicho kimesema hakina taarifa rasmi kuhusu Wema kutaka kurudi. Hayo yamesema na Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Humphrey Polepole ambapo kupitia ukurasa wake wa Instagram ameandika kuwa, katika kujenga nidhamu ya chama, na kuepuka kukifanya chama daladala kwamba unapanda na kushuka wakati unaotaka, kuna taratibu ...

Read More »
Show Buttons
Hide Buttons