Daily Archives: December 3, 2017

MARY MAJALIWA: Wazazi Wekezeni Kwenye Elimu Ya Watoto

  MKE wa Waziri Mkuu Mama Mary Majaliwa amewaomba wazazi wa wilaya ya Ruangwa mkoani Lindi wahakikishe wanatumia sehemu ya kipato chao katika kuwekeza kwenye elimu ya watoto wao.   Amesema elimu ndiyo jambo pekee linaoweza kumsaidia mtoto katika kutimiza ndoto zake za maisha pamoja na kumtoa katika kundi la wategemezi.   Mama Mary aliyasema hayo jana (Jumamosi, Desemba 2, 2017), ...

Read More »
Show Buttons
Hide Buttons