Majaliwa Awataka Wabunge wa EAC Kutumia Michezo Kuimarisha Ushirikiano
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amewataka wabunge wanaoshiriki mashindano ya Mabunge ya Jumuiya ya Afrika Mashariki wayatumie kuimarisha ushirikiano. Ametoa kauli hiyo leo (Jumatatu, Desemba 4, 2017) wakati akifungua mechi ya mpira wa miguu iliyozikutanisha timu za Tanzania na Burundi kwenye Uwanja wa Taifa. Mashindano hayo ya Nane ya Mabunge ya Jumuiya ya Afrika Mashariki…