Daily Archives: December 5, 2017

CCM Wapiga Kura Kuchagua Viongozi Wapya Iringa

Wanachama wa Chama cha Mapinduzi (CCM) mkoa wa Iringa wamepiga kura kuchagua uongozi mpya leo Desemba 5, 2017. Mjumbe wa NEC Mh. January Makamba akizungumza na kutoa utaratibu wa wagombea na wapiga kura katika uchaguzi mkuu wa viongozi wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Iringa unaofanyika kwenye ukumbi wa Kichangani mjini Iringa leo Chama cha mapinduzi kimekuwa na chaguzi ...

Read More »

Ummy Mwalimu Asifia Benk ya NMB Kwa Kutoa Elimu ya Fedha kwa Watoto, Wazazi na Vijana

  Waziri Wa afya maendeleo ya jamii, jinsia wazee na watoto,Ummy mwalimu amesema Benki ya NMB katika kipindi hiki cha serikali ya Awamu ya tano chini ya Rais Dkt. John Magufuli imedhamiria kuboresha na kuendeleza elimu ya fedha katika ngazi zote hususan katika wanajamii Wa Tanzania. Hayo ameyaeleza Wakati akizindua rasmi kampeni ya kutoa elimu ya fedha kwa watoto, wazazi ...

Read More »

Magufuli: Naombeni Kampuni ya Total Mharakishe Ujenzi Bomba la Mafuta

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli amekutana na viongozi wa kampuni ya Total ambayo ni mwekezaji mkubwa wa mradi wa ujenzi wa bomba la mafuta ghafi la kutoka Hoima nchini Uganda hadi bandari ya Tanga nchini Tanzania na kuwahakikishia kuwa Tanzania itatoa ushirikiano wa kutosha kwa kampuni hiyo na washirika wengine katika ujenzi wa ...

Read More »

Majambazi Watatu Wauawa na Kupatikana kwa Silaha Ak.47

  Jeshi la Polisi Kanda Maalum Dsm mnamo tarehe 28/11/2017 na tarehe 30/11/2017 askari walifanya oparesheni maalum ambayo ilifanikisha kukamatwa kwa watuhumiwa watatu ambao wanajihusisha na matukio ya uporaji na mauaji mbalimbali katika jiji la Dar es salaam. Baada ya mahojiano watuhumiwa hao walikubali kuonyesha silaha moja aina ya AK.47, Magazine mbili (2) na risasi 57 ambayo walikuwa wameificha kwenye ...

Read More »

Polisi Watoa Tamko Sherehe za Uhuru Desemba 9 , 2017

Jeshi la Polisi Mkoani Dodoma limewahakikishia usalama wageni wote wanaotarajia kuhudhuria sherehe za maadhimisho ya siku ya Uhuru, Disemba 9 na kuwataka kuwa na amani kwani Jeshi hilo limejipanga kikamilifu. Akizungumza na waandishi wa habari jana Jumatatu, Disemba 4, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma, Giles Muroto ameeleza kuwa jeshi la polisi limejipanga kufanya misako ya aina zote ili kuhakikisha ...

Read More »

RC Wangabo ashauri gereza la Mollo kujikita kwenye uzalishaji wa mbegu za mahindi na kuuza.

  Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Mh. Joachim Wangabo amelishauri gereza la kilimo la Mollo kuona umuhimu wa kujikita kwenye uzalishaji wa mbegu ili kuuza na gereza hilo kuweza kujiendesha na kupambana na changamoto mbalimbali zilizopo katika gereza hilo. Amesema kuwa katika mikoa ya nyanda za juu kumekuwa na shida ya uuzwaji wa mbegu feki na kupelekea malalamikomengi toka kwa ...

Read More »

SOKA: Wabunge wa Tanzania Wamewatandika Wabunge wa Burundi

  KATIKA Michuano ya East Africa Parliamentary Games inayoshirikisha Vilabu vya Mabunge ya nchi za Afrika Mashariki, mechi iliyopigwa katika Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam, Timu ya mpira wa miguu Bunge la Tanzania jana iliibuka na ushindi wa bao 3-2 dhidi ya wenzao wa Burundi. Kwa upande wa Tanzania, mabao yalifungwa na Mohamed Mchengerwa na Yusuf Gogo (aliyetupia ...

Read More »

Wabunge wa Chadema Warudishwa Tena Rumande

Morogoro. Wabunge Susan Kiwanga na Peter Lijualikali waliofikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Morogoro pamoja na washtakiwa wengine 36 wamerejeshwa rumande. Mahakama iliyokuwa itoe uamuzi wa dhamana leo Jumanne Desemba 5,2017 imekwama kufanya hivyo kutokana na kuibuka hoja za kisheria. Upande wa mashtaka na ule wa utetezi unavutana kuhusu hati ya kiapo ya kupinga dhamana iliyowasilishwa mahakamani hapo. Kutokana na ...

Read More »

AJIRA: Technical Advisor anahitajika Mwanza

Job description Why Choose IntraHealth At IntraHealth, we are a global team of creative, committed humanitarians on a mission. We are advocates, technologists, health workers, and communicators. Program officers, finance experts, and technical leaders. We are passionate and diverse. And we’re united in our belief that everyone everywhere should have the health care they need to thrive. That’s why we ...

Read More »

Diallo: Serikali Hacheni Kuingilia Uchaguzi wa CCM

Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Mwanza, Anthony Diallo, ambaye mwishoni mwa wiki alipekuliwa na maofisa wa Takukuru, ameitaka Serikali kutoingilia masuala ya uchaguzi wa chama hicho, badala yake iangalie na kuwaongoza wanapokosea. Diallo alitoa kauli hiyo juzi usiku wakati akiwashukuru wajumbe wa CCM waliomchagua kwa mara nyingine na kusema umefika wakati chama kitafute utaratibu mahsusi kwa viongozi wa kiserikali kuacha ...

Read More »

Angalia Jinsi Ufisadi Ulivyofanyika Mazishi ya Mandela

Mazishi ya aliyekuwa rais wa zamani Afrika kusini ,Nelson Mandela yanadaiwa kukumbwa na ufisadi mkubwa ambao unadaiwa kutekelezwa na viongozi wakuu nchini humo. Mamlaka ya kupambana na rushwa nchini humo imebaini kuwa takriban dollar millioni 22 ilitumika vibaya wakati wa matayarisho ya mazishi ya Mandela miaka nne ilyopita. Ripoti hiyo inasema kwamba viongozi hao walivuja pesa na kukiuka taratibu zilizowekwa ...

Read More »

Hii Hapa Ratiba ya Kombe la FA, Liverpool Uso kwa Uso na Everton

Ratiba ya raundi ya tatu ya michuano ya kombe la Fa, imetangazwa na michezo hiyo itachezwa wikiendi ya januari 6 na 7 mwaka 2018 Liverpool wataanza michuano hiyo kwa kuchuana na wapinzani wao wa jadi Everton, huku bingwa mtetezi Arsenal akianzia ugenini kwa kucheza na Nottingham Forest. Manchester City wataanzia nyumbani katika uwanja wao wa Etihad, kwa kucheza na Burnley ...

Read More »
Show Buttons
Hide Buttons