Waziri Kigwangalla Aunda kamati ya Kuongoza “TANZANIA HERITAGE MONTH”

Waziri wa Maliasili na Utalii Dk.Hamisi Kigwangalla ameunda kamati ya kuongoza maandalizi ya namna watanzania na wageni wa Tanzania watakavyosherehekea Utanzania wao kwenye mwezi maalum utakaojulikana kama “TANZANIA HERITAGE MONTH” Akielezea wakati wa kutangaza kamati hiyo iliyojumlisha wadau mbalimbali wakiwemo wanahabari, wanamichezo na wadau wengine mbalimbali na wafanyabishara, amesema: “Kwenye mwezi huu kila kitu kitakuwa…

Read More

Lijualikali na Kiwanga Wapata Dhamana

Mahakama ya Hakimu Makazi Morogoro imewaachia kwa dhamana wabunge wawili wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) leo Disemba 7. Wabunge hao walioachiliwa ni Peter Ambrose Lijualikali ambaye ni Mbunge wa Kilombero na Susan Limbweni Kiwanga ambaye ni Mbunge wa Mlimba. Katika kesi hiyo ya jinai namba 296, wabunge hao pamoja na wanachama wengine wa…

Read More