Bandari Kwafukuta

*Mkurugenzi wa Ulinzi asimamishwa kazi kimyakimya *Timu aliyounda Rais Magufuli yaendelea na upekuzi *Wasiwasi watanda kwa watumishi, wafanyabiashara *Mjumbe wa Bodi ataka NASACO irejeshewe udhibiti Na Waandishi Wetu Kuna kila dalili kuwa hali ya hewa imechafuka tena katika Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA), baada ya Rais John Magufuli kuvamia na kubaini magari 52…

Read More

Rais Magufuli Atoa Msamaha kwa Wafungwa 8157

Rais Magufuli ametangaza msamaha kwa wafungwa 8,157 ikiwa ni kwa mujibu wa katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Kati yao, wafungwa 1,828 watatoka leo na 6,329 wamepunguziwa muda wa adhabu. Miongoni mwa Wafungwa hao waliopata msaha wapo pia wafungwa 61 ambao walikuwa wamehukumiwa kunyongwa ambao wamekaa gerezani kwa zaidi ya miaka 40. “Wafungwa walioko…

Read More