Jiji la Manchester Leo Mtoto Hatumwi Dukani

Ligi kuu nchini Uingereza leo inaendelea tena ikizikutanisha wapinzani wakubwa kutoka jiji la Manchester, Manchester United na Manchester City ambazo zote zikiwa kwenye mbio za kupigania ubingwa. Kocha wa Manchester United, Jose Mourinho amesema mchezo mkubwa baina yao na Manchester City chini ya Kocha Pep Guardiola hautabiriki.   Timu hizo mbili zitakutana kwenye Uwanja wa…

Read More

Magufuli Asaini Misamaha Ya Wafungwa

Rais John Magufuli amesaini nyaraka za wafungwa 63 ambapo wafungwa 61 walikuwa wamehukumiwa kunyongwa na wawili kifungo cha maisha. Nyaraka hizo alizisaini mbele ya Kamishna Jenerali wa Magereza nchini Dkt. Juma Malewa huko Dodoma. Katika msamaha huo wamo wanamuziki wawili, Nguza Viking na Papii Kocha waliokuwa wamehukumiwa kifungo cha maisha na ambao tayari waliachiwa jana.

Read More

NUNUA LUKU KWA NJIA ULIYOZOEA BAADA YA MAREKEBISHO SASA MAMBO POA

SHIRIKA LA UMEME TANZANIA (TANESCO) Tunawataarifu Wateja wetu kuwa, hivi sasa mifumo ya LUKU inapatikana katika njia zote za manunuzi. Wateja mnaweza kufanya manunuzi kwa kutumia njia zote. Asanteni kwa ushirikiano wenu. Tovuti: www.tanesco.co.tz Mitandao ya Kijamii www.facebook/tanescoyetultd twitter.com/tanescoyetu Imetolewa na Ofisi ya Uhusiano TANESCO Makao Makuu Desemba 10, 2017

Read More