UN Yakutana Kumjadili Trump

Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa limeombwa kuitisha mkutano wa dharura  kujadili hatua ya Rais wa Marekani Donald Trump  kuuhamisha Ubalozi wa Marekani kutoka Telaviv hadi Jerusalem. Maamuzi hayo yalisababisha maandamano makubwa yaliyosababisha watu 17 kujeruhiwa kwa risasi na jeshi la Israel wakati Wapalestina walipoandamana katika Ukingo wa Magharibi na ukanda wa Gaza. Lengo…

Read More

Tusiwasahau Wapalestina

Juma lililopita Rais Donald Trump wa Marekani alitangaza uamuzi wa serikali yake kuhamisha ubalozi wa nchi hiyo Tel Aviv kwenda Jerusalem. Ni hatua inayotokana na tamko kuwa serikali yake imetambua rasmi kuwa Jerusalem ni makao makuu ya Israel. Ni hatua inayochochea kudhoofika kwa jitihada za Wapalestina za kutafuta haki wanayoisaka tangu mwaka 1947. Kwa upande…

Read More

Asante Sana Waziri Mkuu, Uhifadhi Umeshinda

Desemba 6, 2017 itabaki kuwa siku muhimu katika kumbukumbu za kazi nilizopata kuzifanya. Hii ni siku ambayo Serikali, kupitia Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, ilitangaza ‘kuumaliza’ mgogoro wa Pori Tengefu la Loliondo. Naikumbuka siku hii, si kwa sababu ya kumalizwa kwa mgogoro, bali kwa sababu Serikali imethubutu kutenda kile ambacho Serikali mbili au tatu zilizopita zilifeli….

Read More

Airtel Yaleta Bando Mpya za ‘SMATIKA na Yatosha Intaneti’ MPYA

Mkurugenzi wa Mawasiliano wa Airtel Tanzania Bi Beatrice Singano (kushoto) akizungumza na waandishi wa habari. Mkurugenzi wa Masoko wa Airtel Isack Nchunda akisikiliza kwa makini maswali yaliyokuwa yakiulizwa na waandishi wa habari (hawapo pichani). Viongozi hao wakiwa wameshikilia bango la kifurushi cha 1GB ya Yatosha Intaneti kilichozinduliwa. Dar es salaam,  Desemba 12, 2017: Airtel Tanzania…

Read More

Mafanikio yoyote yana sababu x (1)

Wanatoka tumbo moja lakini hawafanani. Ni methali ya Tanzania. Watoto wenye wazazi walewale, walionyonya titi lile, na kusoma shule ile ile kimafanikio wanatofautiana. Kinachowatofautisha ni sababu x. Wanadarasa wakiwa na viwango tofauti vya ufaulu darasani. Inatokea aliyetangulia darasani hapati mafanikio katika maisha kuzidi aliyekuwa wa kumi. Tofauti ni sababu x. Sababu x ni siri ya mafanikio….

Read More