Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam Imekubali Maombi ya Zuio la Muda kwa Bodi ya Wadhamini ya CUF

Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam imekubali maombi ya zuio la muda kwa Bodi ya Wadhamini ya CUF inayomuunga mkono Mwenyekiti anayetambuliwa na ofisi ya msajili wa vyama vya siasa, Profesa Ibrahim Lipumba, katika shauri dogo namba 51/2017, lililowasilishwa mahakamani hapo na Mbunge wa Malindi (CUF), Ally Salehe. Jaji wa Mahakama Kuu, Jaji Wilfred…

Read More

Mwaka 2018 Utakuwa wa Maajabu Tasnia ya Filamu Nchini.

Msanii wa filamu nchini Jacob Stephan Maarufu JB ametabiri kuwa tasnia ya Bongo Movie itafanya vizuri mwaka 2018 kutokana na maandalizi mazuri yaliyofanywa mwaka 2017. Muigizaji huyo mwenye vituko vingi, amedai wasanii wengi wamefanya maandalizi makubwa katika kufungua kampuni za kusambaza filamu pamoja na kuzipeleka filamu kwenye majumba ya sinema. “Mwaka 2018 itakuwa nzuri zaidi…

Read More