Internet news was demonstrated to function as of fantastic advantage for its working class. Two extremely essential procedures for reading news is via the servers and through the cellular phones. On line sport news could possibly be valuable source to help you want your preferred match without enabling work become influenced. The 30-Second Trick for…

Read More

Ni Kazi Kumpata Rafiki wa Kweli

Maisha ni urafiki. Mwanafalsafa mwenye asili ya Kiafrika Martin Luther Jr. King alipata kusema hivi, “Ukimya wa marafiki zetu unaumiza kuliko kelele za madui zetu”.  Rafiki wa kweli ni rafiki siku zote. Mwenyezi Mungu ni rafikiwa kweli katika maisha yetu ya kila siku. Anatulinda. Anatupenda. Anatubariki. Anatuongoza katika njia iliyo takatifu. Tukumbuke jambo moja ambalo…

Read More

Miaka 44 Gerezani

Ni mfungwa wa aina yake nchini. Ameingia gerezani vyama tawala vikiwa ni Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shiraz (ASP). Chama Cha Mapinduzi kimezaliwa mwaka 1977 akiwa gerezani. Amewekwa gerezani wakati ambao Tanzania haikujua kama itapigana na Uganda kwenye vita iliyokuja kujulikana baadaye kama ‘Vita ya Kagera’ (mwaka 1978-1979). Wala hakuona vita ya uhujumu uchumi…

Read More

Mafanikio Yoyote Yana Sababu (2)

Kufikiria vizuri ni sababu ya mafanikio. Tazama mbele ufikiri. Papa Fransisko alisema kuna lugha tatu: ya kwanza fikiria vizuri, ya pili hisi vizuri, ya tatu tenda vizuri.  Kufikiria vizuri ni msingi wa mafanikio. Kuna aina mbalimbali za kufikiri. Kwanza ni kufikiria kwa ‘kufokasi’. Fokasi ni mahali miale ya nuru ikutanapo. Kuwa makini na lengo lako….

Read More

Rais wa Ujerumani Ahimiza Ujenzi Taasisi Imara

Rais wa Ujerumani, Frank- Walter Steinmeir, amehitimisha ziara yake katika bara la Afrika kwa kuhimiza masuala ya demokrasia na maendeleo ya kiuchumi.  Katika ziara yake hiyo, Rais Steinmeir  amehimiza uimarishwaji vita dhidi ya ufisadi  na  mapambano imara juu ya  uhamiaji unaoendelea kuwa tishio kwa maisha ya binadamu hasa katika kipindi hiki. “Mataifa yote yanapaswa kuungana ili…

Read More