Waziri Jafo Aitaka TBA Kufanya Kazi kwa Wakati

Waziri wa Nchi ,Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa –TAMISEMI ,SELELAM JAFO amesema i WAKALA WA MAJENGO TANZANIA –TBA  umekuwa kikwazo katika utekelezaji wa miradi mbalimbali ya ujenzi wa majengo ya Serikali. Ametoa kauli hiyo wilayani IKUNGI mkoani SINGIDA baada ya kutembelea miradi inayotekelezwa na wakala huyo ambayo utekelezaji wake umekuwa…

Read More

BENK KUU YAITAKA AIRTEL KUWASILISHA TAARIFA ZAKE ZA KUANZIA 2000

Kufuatia sakata la umiliki wa kampuni ya mawasiliano ya Airtel, Benki Kuu ya Tanzania (BoT) Disemba 28, 2017 iliziandikia benki zote na taasisi za kifedha ambazo zimekuwa zikisimamia akaunti za iliyokuwa Celtel, Zain au Airtel kuwasilisha taarifa hizo. BoT imezitaka taasisi hizo ama benki kueleza kama zimewahi kuendesha ama zinaendesha akaunti zinazohusiana na kampuni tajwa….

Read More

JESHI LA POLISI KANDA MAALUMU LA DAR ES SALAAM LATOA TATHMINI YA MATUKIO YA UHALIFU MWAKA 2017

JESHI la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam kupitia kwa Kamanda wake, Lazaro Mambosasa, leo Desemba 29, 2017 limetoa ripoti yake ya matukio ya kihalifu na oparesheni mbalimbali zilizofanywa na jeshi hilo kwa mwaka 2017. Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar, Kamnda Mambosasa amesema matukio ya uhalifu yamepungua kwa kipindi cha januari hadi…

Read More

POLEPOLE: VIONGOZI WA DINI ENDELEENI KUTOA MAONI

KATIBU  wa Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Humphrey Polepole amesema Askofu Zakaria Kakobe  na viongozi wengine wa dini  hawajazuiwa kuongea na kwamba wako huru kutoa maoni yao. Polepole ametoa kauli hiyo wakati akihojiwa na kituo kimoja cha televisheni  na kusema kuwa hakuna mtu ambaye ametishwa kwa kusema ukweli juu ya jambo fulani…

Read More

UMOJA WA MATAIFA WALAANI MAUAJI YA RAIA YANAYOFANYWA NA MAJESHI YA SAUDI ARABIA NA WASHIRIKA WAKE NCHINI YEMEN

Muungano wa kijeshi unaoongozwa na Saudi Arabia umeua raia 109 katika mashambulizi tofauti ya ndege katika kipindi cha siku 10, wakiwemo 54 katika soko lenye shughuli nyingi na 14 wa familia moja waliokuwa shambani. Mratibu Mkaazi wa Umoja wa Mataifa nchini Yemen Jamie McGoldrick ameyaelezea mapigano yanayoendelea nchini humo kuwa yasiofaa na ya kuhuzunisha. Ikitaja…

Read More