CRYSTAL PALACE YAIKAZIA MAN CITY

Ligi kuu nchini Uingereza imeendeleaa tena leo kwa mchezo mmoja kati ya Crystal Palce dhidi ya Manchester City, matokeo ya mchezo huo Crystal Palace imefanikiwa kuwakazia Manchester City na kutoka nao sare ya 0 – 0. Katika mchezo huo Crystal Palace walikuwa na nafsi kubwa ya kuibuka na ushindi hasa kwenye dakika 90 walipopata penati…

Read More

CHADEMA: VIONGOZI WA DINI MSIOGOPE KUIKOSOA SERIKALI

Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe. CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo(Chadema) kimewataka viongozi wa dini kuendelea kuikosoa serikali na wasitishwe na mtu yoyote kwani bila wao kusema jamii ya Watanzania itaangamia.   Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe,  ametoa kauli hiyo wakati akiongea na waandishi wa habari kuhusiana na mambo mbalimbali yanayotokea hapa nchini na hali ngumu…

Read More

KANISA KATOLIKI LAITISHA MAANDAMANO YA AMANI KUMPINGA RAIS KABILA

Kuna wasi wasi wa kukosekana utulivu katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo inayokabiliwa kwa sasa na mgogoro wa kisiasa kufuatia kanisa Katoliki lenye ushawishi mkubwa nchini humo kuitisha maandamano ya amani. Kabila ambaye waandaaji wa maandamano hayo wanamtaka atamke wazi kuwa hatawania muhula wa tatu wa uongozi, amekuwa madarakani tangu mwaka 2001 wakati aliposhika madaraka…

Read More