Daily Archives: January 2, 2018

MWANAHABARI JUSTINE LIMONGA AAGWA DAR

Katibu  wa Itikadi na Uenezi  wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Hamphrey Polepole, ameongoza mamia ya waombolezaji katika ibada ya kuaga mwili wa mwanahabari, Justine Limonga iliyofanyika Viwanja vya Mbagala Zakhem jijini Dar es Salaam leo mchana.   Akizungumza katika ibada hiyo, Polepole alisema CCM na tasnia ya habari imepoteza mtu muhimu ambaye alikuwa bado akitegemewa.   “Tumempoteza mtu muhimu ambaye alikuwa akitegemewa kama chama tutaangalia namna ...

Read More »

RAIS WA FIFA KUHUDHURIA MKUTANO DAR ES SALAAM

SHIRIKISHO la Soka Tanzania (TFF) limepata uenyeji wa mkutano mkuu wa mwaka wa Shirikisho la Soka Duniani (FIFA) unaotarajiwa kufanyika Februari 22 mwaka huu katika ukumbi wa mikutano wa Mwalimu Nyerere ulioko eneo la Posta jijini Dar es Salaam. Akizungumza jijini Dar es Salaam leo katika mkutano wake na waandishi wa habari, Rais wa TFF, Walace Karia, amesema ni faraja ...

Read More »

PIGO KWA WAKENYA, SPORTPESA YASITISHA UDHAMINI

Kampuni ya mchezo wa kamari nchini Kenya, SportPesa, imesitisha udhamini wake wa michezo kutokana na uamuzi wa serikali kuongeza ushuru hadi asilimia 35 kutoka kwa asilimia 7.5. Akizungumza na waandishi wa habari Jumanne, mkurugenzi mkuu na mwanzilishi wa SportPesa Ronald Karauri amesema wamelazimika kujiondoa kwa sababu hawawezi kudhamini michezo kama watatozwa ushuru wa asilimia 35. Miongoni mwa michezo itakayoathiriwa na ...

Read More »

GWIJI WA SOKA BARANI AFRIKA NA DUNIANI, AMETANGAZWA KUWA RAIS

Gwiji wa soka barani Afrika na duniani, ametangazwa kuwa Rais wa Liberia na kuchukua mikoba ya Rais wa kwanza mwanamke barani Afrika Ellen Johnson Sirleaf aliyemaliza muda wake. Ushindi wa Weah umetokea wakati kumbukumbu zikionesha kuwa mwaka 2005, aliwania kiti hicho na kushindwa katika raundi ya pili na Sirleaf. Mwaka 2011, Weah akashiriki tena Uchaguzi Mkuu nchini humo, akiwa mgombea ...

Read More »

MFANYABIASHARA AJENGA ZAHANATI YENYE VIFAA VYA KISASA NA KUIKABIDHI SERIKALINI

MFANYABIASHARA na mzaliwa wa Kijiji cha Uchau Kaskazini wilaya ya Moshi Vijijini, Emmanuel Mallya, ameikabidhi serikali zahanati ikiwa na vifaa vya kisasa vikiwamo vitanda vya wagonjwa vinavyotumia nishati ya umeme. Zahanati hiyo inayojukana kwa jina la EB zahanati, imejengwa na mfanyabiashara huyo kwa kutumia nguvu zake mwenyewe bila kuhusisha msaada kutoka Halmashauri ya wilaya ya Moshi wala serikali kuu. Akizungumza katika ...

Read More »

TCRA YASHUSHA RUNGU KWA VITUO 5 VYA RUNINGA HAPA NCHINI

Mamlaka ya mawasiliano Tanzania, TCRA, imevipiga faini ya shilingi milioni 60 vituo vitano vya Runinga kwa kurusha taarifa ambazo zinakinzana na kanuni za utangazaji kwa kurusha habari ambayo inasadikiwa kuwa na viashiria vya uchochezi. Vituo vilivyokutana na rungu hilo ni ITV, EATV, CHANNEL TEN, AZAM TWO na STAR TV. Mwenyekiti wa kamati ya Maudhui ya Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania Joseph ...

Read More »

BABU SEYA, PAPII KOCHA WATINGA IKULU

  Mwanamuziki Nguza Vicking “Babu Seya” na wanae Johnson Nguza “Papii Kocha”, Francis Nguza na Michael Nguza walipofika Ikulu jijini Dar Leo Januari 2, 2018 kumshukuru Rais Magufuli kwa msamaha wake aliotoa kwao dhidi ya kifungo cha maisha walichokuwa wakitumikia Rais Dkt John Pombe Magufuli akiwa ameshikana Mikono na kuomba dua na Mwanamuziki Nguza Vicking “Babu Seya” na wanae Johnson ...

Read More »

KOMBE LA MAPINDUZI, AZAM YAITANDIKA MWENGE FC 2-0

Mabingwa watetezi wa Kombe la Mapinduzi Azam FC imeanza vyema harakati za kutetea ubingwa wa michuano hiyo baada ya jana usiku kushinda mabao 2-0, timu ya Mwenge FC katika mchezo wa kundi A, uliopigwa uwanja wa Amaan Zanzibar. Kocha wa Azam FC Aristica Cioaba, ameiambia Gaol, wamekwenda Zanzibar wakiwa na nia kutetea ubingwa wao ambao wameutwaa msimu uliopita kwenye uwanja ...

Read More »

HUMPHREY POLEPOLE AMTADHARISHA LEMA JIMBO LA ARUSHA 2020

Katibu wa Itikadi na Uenezi  wa  Chama Cha Mapinduzi CCM, Humphrey Polepole amemtahadharisha Mbunge wa Arusha Mjini Godbless Lema kwa kumwambia kipindi hiki ni cha mwisho kuongoza Jimbo hilo la Arusha Mjini. Hayo yamekuja mara baada ya Mbunge huyo kupitia kurasa zake za twitter kujibizana huku Lema akionyesha kumhoji Polepole kama familia yake huwa inamuelewa kweli anachokizungumza. “Term ya mwisho ...

Read More »

KITAMBULISHO CHA KUPIGA KURA BATILI KAMA HAUTAKUWA NA KITAMBULISHO CHA URAIA

Waziri wa Mambo ya Ndani, Dkt Nchemba amesema, uandikishaji wa vitambulisho vya Taifa utakapokamilika, vitambulisho hivyo vitatumika kupigia kura. Amesisitiza, mwananchi akiwa na kitambulisho cha kupigia kura, kitakuwa batili kama hatakuwa na kitambulisho cha uraia. Hivyo wamewataka wanachi wa maeneo yote wajitokeze kujiandikasha ili wapate vitambulisho vya Taifa. “lazima kila mwananchi awe na kitambulisho cha Uraia” amesema.  

Read More »

MASOUD KIPANYA AJITOKEZA MITANDAONI NA KUANDIKA HAYA

Jana jioni kwenye mitandao ya kijamii ilizuka taarifa kuwa Masoud Kipanya amekamatwa na Jeshi la Kanda maalum Dar es Salaam kutokana na kati ya michoro yake ya katuni ikionekana kama inaigombanisha Serikali na Wananchi, hata hivyo kituo cha Redio Clouds FM kilipomtamfuta Kamanda wa Mkoa, Razalo Mambosasa kudhibitsha juu ya taarifa hizo, alisema hana taarifa na hajui kama kweli amekamatwa ...

Read More »

Haya Hapa Magazeti ya Leo Januari 2, 2018

Kama upo mbali na meza za magazeti mtaani kwako basi husipitwe na kilichoandikwa kwenye magazeti ya leo Jumanne Januari,02, 2018 nimekuekea hapa

Read More »
Show Buttons
Hide Buttons