Daily Archives: January 3, 2018

Kimara-Bonyokwa Inapotelekezwa!

Nianze kwa kuwatakia heri ya mwaka mpya, wasomaji wa JAMHURI. Ni jambo jema kusema, “inatupasa kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa kuuvuka mwaka 2017 salama.” Pamoja na salaam hizo, mwaka mpya unaibua matumaini mapya, upendo penye chuki na heshima palipo na dharau. Ndivyo Mpita Njia ninavyotarajia, kamba 2018 itakuwa mwaka wenye kuleta tumaini la heri kwa wakazi wa eneo la kuanzia Kimara ...

Read More »

SIASA INAPOKUWA CHANGAMOTO KWA VIONGOZI WA DINI

Kuanzia wiki iliyopita, Taifa limeghubikwa na hoja tofauti zinazolenga kuunga mkono ama kukosoa hatua ya viongozi wa dini kuzungumzia masuala ya siasa. Hali hiyo imechochewa zaidi baada ya Askofu Zakary Kakobe wa kanisa la Full Gospel Bible Fellowship, kukosoa mwenendo wa utawala na utekelezaji wa misingi ya demokrasia nchini. Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Profesa Abdallah ...

Read More »

YANGA YAICHARAZA MLANDEGE 2-1

Yanga imeanza vyema michuano ya Kombe la Mapinduzi baada ya kupata ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Mlandege katika mchezo wa kundi B, uliopigwa uwanja wa Amaan Zanzibar. Ushindi wa Yanga umepunguza kasi ya Mlandege ambayo ndiyo vinara wa kundi hilo wakiwa na pointi zao sita, na Yanga wanapanda hadi nafasi ya pili wakiwa na pointi tatu mabao mawili ya ...

Read More »

MWENYEKITI WA UVCCM TAIFA APOKELEWA KWA KISHINDO MWANZA

Mjumbe wa Kamati kuu Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM) Kheri D James kulia akisalimiana na Mwenyekiti wa chama cha Mapinduzi Ndg:Anthony Dialo mara baada ya kuwasili katika ofisi za Ccm Mkoa wa Mwanza. Mjumbe wa Kamati kuu Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM) Kheri D James akiteta jambo na Mwenyekiti wa ...

Read More »

SERIKALI YATANGAZA MCHAKATO WA ZABUNI YA UNUNUZI WA VICHWA VYA TREN YA UMEME

Serikali kupitia Kampuni Hodhi ya Reli (RAHCO) imetangaza mchakato wa awali wa zabuni ya ununuzi wa vichwa na mabehewa kwa ajili ya treni ya umeme itakayotumika katika reli ya kisasa (Standard Gauge) ambayo ujenzi wake unaendelea. Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa RAHCO, Masanja Kadogosa ameithibitishia Idara ya Habari (MAELEZO) kuanza kwa mchakato huo ambao unafuata taratibu za kimataifa za ununuzi kwa ...

Read More »

Kiongozi wa Boko Haram Abubakar Shekau Ajitokeza Tena

Kiongozi wa kikundi cha wapiganaji wa Boko Haram Abubakar Shekau, ameonekana kwenye video mpya karibu saa ishirini na nne baada ya Rais wa Nigeria Muhammadu Buhari kwa mara ingine kutamka hadharani kuwa kikundi hicho kimesambaratishwa. Huu ni mkanda wa video wa kwanza kutolewa na Shekau baada ya kimya cha miezi kadhaa iliyopita, naye ni mongoni mwa viongozi wanaosakwa kwa hamu ...

Read More »

Haya Hapa Magazeti ya Leo Januari 3, 2018

Kama upo mbali na meza za magazeti mtaani kwako basi husipitwe na kilichoandikwa kwenye magazeti ya leo Jumatano Januari,03, 2018 nimekuekea hapa

Read More »
Show Buttons
Hide Buttons