Daily Archives: January 5, 2018

SUMAYE: SINA MPANGO WA KURUDI CCM, AWATAJA JPM, JK NA MKAPA

KUTOKANA na kuibuka kwa wimbi la baadhi ya wanasiasa hapa nchini kuhama vyama vyao, Waziri Mkuu Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Frederick Sumaye ambaye ni kada wa Chadema amefunguka na kusema kuwa hana mpango wa kurudi Chama Cha Mapinduzi (CCM) alikokuwa zamani kwani yeye yupo upinzani ili kukipa changamoto chama tawala. Sumaye ameyasema hayo leo Ijumaa, Januari 5, 2017, ...

Read More »

RUGEMARILA AWATAJA “WEZI” WA ESCROW

MFANYABIASHARA, James Rugemalira anayekabiliwa na kesi ya utakatishaji fedha amewataja aliodai ni wezi wa fedha za Escrow katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kama alivyosema awali kwamba anawafahamu. Watu hao amewataja mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu, Thomas Simba,  baada ya Mwendesha Mashtaka wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Ruswa (Takukuru), Leonard Swai,  kueleza kwamba upelelezi wa kesi hiyo haujakamilika. ...

Read More »

Azam Yachezea Kichapo Kutoka kwa URA

Azam FC italazimia kuifunga Simba leo ili kuweka hai matumaini ya kutetea ubingwa wake baada ya jana kufungwa na URA bao 1-0 Mabingwa watetezi wa michuano ya Kombe la Mapinduzi leo wameonja joto ya michuano hiyo baada ya kupokea kipigo cha bao 1-0, kutoka kwa URA ya Uganda katika mchezo mkali wa kundi A, uliopigwa majira ya 10, kwenye uwanja ...

Read More »

HII NDIO ZIARA YA MWENYEKITI WA CCM WILAYA UBUNGO, LUCAS MGONJA ILIVYOKUWA

 Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Ubungo Lucas Mgonja akizungumza na viongozi wa Wilaya hiyo katika Mkutano wa ndani uliofanyika jana katika Kata ya Msigani wilayani humo, ikiwa ni sehemmu ya ziara yake ya kuimarisha uhai wa Chama. Kushoto ni Katibu wa CCM wa Wilaya hiyo Salum Kally  Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Ubungo Lucas Mgonja akishauriana jambo na Katibu wa ...

Read More »

TUNDU LISSU AZUNGUMZA NA WAANDISHI WA HABARI NAIROBI

MBUNGE wa Singida Mashariki, Tundu Lissu (CHADEMA), leo Ijumaa Januari 5, 2017 kwa mara ya kwanza tangu ajeruhiwe amezungumza na waaandishi wa habari jijini Nairobi nchini Kenya anakopatiwa na kusema kilichotokea kwake kwa maoni yake ilikuwa ni mauaji ya kisiasa moja kwa moja “Political Assassination”. Lissu ameeleza kuwa risasi 16 zilimpiga mwilini mwake huku risasi nane zikitolewa Dodoma na risasi ...

Read More »

MZEE KIKWETE AONGOZA MAZISHI YA ATHUMANI MSENGI

  Rais Mstaafu ya Awamu ya Nne Dr. Jakaya  Kikwete akiweka udongo katika kaburi la aliyekuwa mpiga picha Mkuu wa Magazeti ya Serikali Athumani Hamisi katika maziko yaliyofanyika Makaburi ya Kisutu jijini Dar es Salaam Waziri wa Habari Sanaa, Utamaduni na Michezo , Dr Harison Mwakyembe akiweka udongo katika kaburi la aliyekuwa mpiga picha Mkuu wa Magazeti ya Serikali Athumani ...

Read More »

Mohamed Salah Atwaa Tuzo y Mchezaji Bora wa Afrika

Mohamed Salah amempiku mchezaji mwenzake wa Liverpool, Sadio Mane na mshambuliaji wa Borussia Dortmund, Pierre-Emerick Aubameyang kutwaa Tuzo ya Mchezaji wa Afrika wa Mwaka 2017. Mchezaji huyo wa kimataifa wa Misri aliibuka mshindi katika kinyang’anyiro hicho dhidi ya wachezaji wenzake katika mkutano wa Tuzo za Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika mjini Accra. Salah, ambaye ataikosa mechi ya Kombe la ...

Read More »

RUGEMALIRA AWATAJA ‘WEZI’ WA ESCROW MAHAKAMANI

MFANYABIASHARA, James Rugemalira anayekabiliwa na kesi ya utakatishaji fedha amewataja aliodai ni wezi wa fedha za Escrow katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kama alivyosema awali kwamba anawafahamu. Watu hao amewataja mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu, Thomas Simba,  baada ya Mwendesha Mashtaka wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Ruswa (Takukuru), Leonard Swai,  kueleza kwamba upelelezi wa kesi hiyo haujakamilika. ...

Read More »

BABU SEYA: TUNAANDAA MAMBO MAKUBWA MASHABIKI TULIENI

NGULI wa muziki wa dansi, Nguza Vicking ‘Babu Seya’ na mwanaye Jonhson Nguza ‘Papii Kocha’ kwa mara ya kwanza tangu waachiwe huru Desemba 9 kwa msamaha wa Rais John Maguuli, leo Januari 5 wamekutana na Naibu Waziri wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo, Juliana Shonza pamoja na wanahabari ambapo wamepata fursa ya kueleza namna walivyojipanga kurudi kwenye tasnia ya muziki. ...

Read More »

DROO YA 32 BORA ASFC YAFANYIKA, YANGA YAPANGWA NA IHEFU

Timu 32 zilizofuzu kwenye raundi ya 32 bora ni: Ruvu Shooting, Mwadui FC, Dodoma FC, KMC, Tanzania Prisons, Yanga, Green Worriors, JKT Oljoro, Buseresere FC, Friends Rangers, Majimaji Rangers, Singida United, Pamba SC, Azam FC, Kiluvya FC, Mwadui FC, Mbao FC, Toto Africans. Droo ya Kombe la  FA KMC VS Toto Africans Majimaji Vs Ruvu Shooting Njombe Mji vs Rhino ...

Read More »

Heri ya Mwaka Mpya na Muhogo

Balile

Mpendwa msomaji nakutakia heri ya mwaka mpya 2018. Mungu alipo hakuna cha kuharibika. Nikiri kuwa katika kuumwa nimepata fursa ya kufahamu Watanzania wanavyofuatilia kazi ya mikono yangu na hasa hili suala la muhogo. Nimegundua kuwa Watanzania wengi wana nia ya kujiondoa katika lindi la umaskini. Sitanii, kwanza niwie radhi msomaji wiki iliyopita, makala hii ilikuwa na makosa ya hijai (spelling ...

Read More »

Ushauri Wangu kwa Dk. Kigwangalla

Kwenye vitabu vya dini tumezuiwa kujisifu, lakini hatukatazwi kutangaza mafanikio. Ndiyo maana nakiri kuwa miongoni mwa wadau tuliosimama imara kuhakikisha tunaondoa ukiritimba wa Chama cha Wamiliki wa Kampuni za Uwindaji wa Kitalii Tanzania (TAHOA), kutoka kwenye mizengwe ili kiwe na manufaa kwa Watanzania na kwa Taifa letu kwa jumla. Kuna wakati mwekezaji mmoja raia wa kigeni alikuwa akimiliki vitalu ambavyo ...

Read More »

Mauaji Yaongezeka Yemen

Muungano wa kijeshi unaoongozwa na Saudi Arabia umeua raia 109 katika mashambulizi tofauti ya ndege katika kipindi cha siku 10, wakiwemo watu 14  wa familia moja na kuacha simanzi kubwa katika familia hiyo. Mratibu Mkazi wa Umoja wa Mataifa nchini Yemen Jamie McGoldrick amesema mapigano yanayoendelea nchini humo ni ya hatari na kuhuzunisha kiasi cha kuhitaji msaada kutoka jumuiya za ...

Read More »

China Yapuuza Vikwazo vya UN

Rais wa Marekani Donald Trump ameilaumu nchi ya China kwa kukiuka vikwazo vilivyowekwa na Umoja wa Mataifa dhidi ya Korea Kaskazini kwa kuzipa matuta meli za nchi hiyo. Rais Trump aliandika katika ukurasa wake wa twitter kuwa China imeshuhudiwa ikiruhusu mafuta kusafirishwa kwenda Korea Kaskazini na kusema amekatishwa tamaa na kitendo cha nchi hiyo kukiuka maazimio ya UN. Rais huyo ...

Read More »

Lusinde Ajivunia Mtoto ‘Kipanga’

Kuna usemi usemao unapopima maendeleo ya mtu usiangalie alipo, angalia mahali alipotokea. Usemi huo ndiyo unayagusa maisha ya Mbunge wa Mtera, Livingstone Lusinde (CCM), hususani katika muktadha wa elimu. Lusinde amekuwa Mbunge wa Jimbo la Mtera, Mkoani Dodoma katika vipindi viwili, akianza utumishi huo kwa wanamtera tangu uchaguzi wa 2010. Katika uchaguzi ndani ya Chama Cha Mapinduzi alimshinda aliyekuwa Mbunge ...

Read More »

Haya Hapa Magazeti ya Leo Januari 5, 2018

Kama upo mbali na meza za magazeti mtaani kwako basi husipitwe na kilichoandikwa kwenye magazeti ya leo Ijumaa Januari,05, 2018 nimekuekea hapa

Read More »

Tanzia: Mke wa Mzee Kingunge Afariki Dunia

MKE wa mwanasiasa mkongwe nchini, Kingunge Ngombale Mwiru, Peras Kingunge amefariki dunia leo Alhamisi katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili. Mtoto wa Kingunge, Kinje Ngombale amethibitisha kutokea kwa msiba huo na kueleza kifo cha mama yake kimetokea wakati baba yake pia ni mgonjwa. “Ni kweli mama amefariki na baba amelala kwa sababu ndio kwanza ametoka chumba cha upasuaji aling’atwa na ...

Read More »

BOT: BENKI ZILIZOFUNGIWA ZITAKUWA CHINI YA UANGALIZI MAALUMU

Benki Kuu ya Tanzania(BOT) imezifutia leseni benki 5 baada ya kukosa mtaji na fedha za kutosha kujiendesha. Benki hizo ni Covenant Bank for Women, Efatha Bank Limited, Njombe Community Bank, Meru Community Bank na Kagera Farmers’ Cooperative Bank. Gavana wa Benki kuu ya Tanzania Prof Beno Ndulu amesema hatua hiyo imefikiwa baada ya BOT kujiridhisha kuwa Benki hizo hazina mtaji ...

Read More »
Show Buttons
Hide Buttons