Daily Archives: January 6, 2018

DOTTO BITEKO: ASANTE RAIS MAGUFUL KWA KUNIAMINI NAKUNIPA NAFASI YA KULITUMIKIA TAIFA LANGU

Naibu waziri mteule wa Wizara ya Madini, Dotto Biteko amemshukuru Rais Jonh Magufuli kwa kumuamini na kumpa nafasi ya uongozi katika Taifa. Biteko ambae ni Mbunge wa Bukombe amesema sifa na utukufu ni kwa Mungu na hana cha kusema zaidi ya kumshukuru Mungu. Akizungumza leo Jumamosi amesema kwa sasa hana cha kusema zaidi ya kushukuru na atasema zaidi baada ya ...

Read More »

TIMU YA USHINDI WA NYALANDU WAPASUA JIPU KUHUSU KUMFATA NYALANDU

  Nyalandu alijivua uanachama wa CCM na hivyo kujivua ubunge na sasa uchaguzi wa kumpata mrithi wake umepangwa kufanyika Januari 13. Katika kampeni hizo, Digha ambaye alikuwa mhimili muhimu kwa ushindi wa Nyalandu, anasaidiwa na Narumba Hanje (mwenyekiti wa zamani wa CCM Wilaya ya Singida na Hadija Kisuda (diwani viti maalumu). Wawili hao pia walikuwa wajumbe tegemeo kwenye kampeni za ...

Read More »

Rais Magufuli Amjulia Hali Mzee Kingunge

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli amemjulia hali mwanasiasa mkongwe Mzee Kingunge Ngambale Mwiru aliyelazwa katika wodi ya Mwaisela, Hospitali ya Taifa Muhimbili. Mzee Kingunge anatibiwa majeraha baada ya kushambuliwa na mbwa nyumbani kwake Jijini Dar es Salaam.

Read More »

Lissu Apanda Ndege, Apelekwa Ubelgiji

Ndugu, jamaa, marafiki na wabunge wakimuaga Lissu hospitalini hapo kabla ya kuepelekwa Ubelgiji. MBUNGE wa Singida Mashariki (Chadema) na Rais wa Chama cha Mawakili wa Tanganyika (TLS), Tundu Antipas Lissu ameondoka kutoka katika Hospitali ya Nairobi nchini Kenya leo Jumamosi saa 2:30 asubuhi na kwenda nchini Ubelgiji kwa matibabu zaidi. Lissu amepelekwa na Ndege ya Shirika la Kenya akiambatana na ...

Read More »

TUNDU LISSU: JAMII YA KIMATAIFA INGILIENI KATI JAMAANI

Mbunge wa Singida Mashariki wa Chadema, Tundu Lissu amesema dalili zinaonesha watu waliomshambulia kwa risasi mjini Dodoma mwaka jana walikuwa na uhusiano na serikali. Lissu, akihutubia wanahabari kwa mara ya kwanza tangu kulazwa hospitalini, ameonekana kuilaumu serikali ya Rais John Magufuli kwa kuwakandamiza wapinzani. Amesema anaamini shambulio dhidi yake lililenga kumnyamazisha kutokana na uokosoaji wake wa mara kwa mara wa ...

Read More »

YANGA YATINGA NUSU FAINAL KOMBE LA MAPINDUZI, YAIFUNGA TAIFA 2-0

Ajibu ameisaidia Yanga kupata ushindi wa mabao 2-0, na kukata tiketi ya kucheza nusu fainali ya michuano ya Kombe la Mapinduzi Miamba ya soka Tanzania Bara, Yanga imefanikiwa kuibuka na ushindi wa mabao 2-0, dhidi ya timu ya Taifa ya Jang’ombe na kuungana na Singida United pia kutoka kundi A, kucheza hatua ya nusu fainali ya michuano ya Kombe la ...

Read More »

AFRICAN SPORTS YAPATA NEEMA KUTOKA KWA WAZIRI UMMY MWALIMU

WAZIRI wa Afya, Maendeleo ya Jamii Jinsia,Wazee na Watoto,Ummy Mwalimu katikati akimkabidhi vifaa vya michezo ambavyo ni viatu Mwenyekiti wa timu ya African Sports Awadhi Salehe Pamba ikiwa ni kuipa motisha timu hiyo kufanya vizuri kwenye michuano wanayoshiriki ili waweze kufanya vizuri na hatimaye kuweza kurejea daraja la kwanza na Ligi kuu kushoto ni Mwenyekiti wa CCM wilaya ya Tanga,Meja ...

Read More »

RC WANGABO AAGIZA KAMATI ZA ULINZI NA USALAMA ZISIMAMIE USAMBAZAJI WA PEMBEJEO

Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Mh. Joachim Wangabo akizungumza na wadau wa kilimo Mkoa wa Rukwa (hawapo kwenye picha) katika Kikao kilichowajumuisha Wataalamu wa kilimo ofisi ya Mkuu wa Mkoa, Wakuu wa Wilaya, Kamati za ulinzi na usalama ya Mkoa na Wilaya, Wenyeviti wa Halmashauri, Wakurugenzi wa halmashauri na wataalamu wao, Mawakala wa usambazaji wa mbolea wakubwa na wadogo pamoja ...

Read More »

WAZIRI MKUU AHIMIZA KILIMO CHA KAHAWA

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amewataka wananchi wa wilaya ya Songea mkoani Ruvuma wajikite kwenye zao la kahawa ili wawe na zao mbadala la biashara. Ametoa wito huo leo Januari 5, 2017 wakati akizungumza na wakazi wa kijiji cha Lipokela na vijiji jirani, wilayani Songea mara baada ya kukagua shamba la kahawa la Aviv Tanzania lenye ukubwa wa hekta 1,990. “Limeni ...

Read More »

DIWANI WA CHADEMA ALIYEJIUNGA NA CCM AWAPA USHAURI CHADEMA

Diwani wa Kata ya Turwa wilayani Tarime, Zakayo Chacha Wangwe aliandika barua na kueleza sababu ya kujiuzulu nafasi hiyo kuanzia jana Januari 5, 2018 kutoa ushauri kwa wanachama wengine ambao bado wapo upinzani.  

Read More »

Viwanda 5 vya Samaki Vilivyokamatwa na Samaki Wasioruhusiwa Mwanza Hiv Hapa

Meneja uchakataji wa Kiwanda cha kuchakata samaki Victoria cha jijini Mwanza, Endwin Okwong’o (aliyeshika kofia) akimuelezea Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Mhe. Luhaga Mpina (mwenye miwani), namna ambavyo wanapokea samaki kutoka kwa mawakala na kuwachambua kabla ya hatua ya kuchakata kiwandani hapo kulia ni Katibu Mkuu wa Wizara ya Uvuvi, Dkt. Yohana Budeba Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Mhe. Luhaga ...

Read More »

MECHI YA SIMBA VS AZAM NI KAMA FAINALI

Timu za Simba na Azam leo zitakumbushia fainali ya Kombe la Mapinduzi ya mwaka 2017, wakati itakapo kutana katika hatua ya makundi Azam FC na Simba zote za Dar es Salaam kesho zinatarajia kuchuana katika mchezo wa hatua ya makundi ya michuano ya Kombe la Mapinduzi inayoendelea kwenye Uwanja wa Amaan hapa Zanzibar. Mchezo huo ambao umepangwa kuanza majira ya ...

Read More »
Show Buttons
Hide Buttons