Daily Archives: January 7, 2018

WAZIRI MKUU AWAONYA DC NA DED NYASA

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewaonya Mkuu wa Wilaya ya Nyasa, Bi. Isabella Chilumba na Mkurugenzi wa Halmashauri hiyo, Dk. Oscar Mbyuzi waache malumbano ambayo yanawavuruga watendaji walio chini yao. Ametoa agizo hilo jana (Jumamosi, Januari 6, 2018) wakati akizungumza na watumishi na madiwani wa Halmashauri ya Wilaya ya Nyasa kwenye kikao kilichofanyika hoteli ya Mt. Vicent, mjini Mbamba Bay, wilayani ...

Read More »

WAZIRI MKUU AAGIZA VIONGOZI NCHINI WATOE TAARIFA

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewaagiza Mawaziri wote, Naibu Mawaziri, Makatibu Wakuu, Wakuu wa Mikoa na Wilaya na Wakurugenzi watoe taarifa za fedha za miradi ya maendeleo kwa wananchi badala ya kusubiri ziara za viongozi wakuu. Ametoa agizo hilo jana (Jumamosi, Januari 6, 2018) wakati akizungumza na watumishi na madiwani wa Halmashauri ya Wilaya ya Nyasa kwenye kikao kilichofanyika hoteli ya ...

Read More »

Philippe Coutinho Rasmi Barcelona, Asaini Miaka 5

Barcelona imetangaza kuwa wamekamilisha usajili wa Philippe Coutinho kwa mkataba wa miaka mitano kutoka Liverpool Miamba hao wa La Liga walimkosa Mbrazili huyo dirisha la uhamisho wa majira ya joto licha ya kutoa ofa tatu nono, lakini baada ya tetesi za muda mrefu hatimaye wamfanikiwa kuipata saini yake kwa dili linalokadiriwa kuwa £142m. Liverpool wamethibitisha kuwa wamefikia makubaliano na Barcelona ...

Read More »

TUNDU LISSU AWASILI NCHINI UBELGIJI KWA MATIBABU

Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu amewasili jijini Brussels, nchini Ubelgiji alikopelekwa kwa ajili ya matibabu zaidi na mazoezi ya viungo. Jana aliondoka katika Hospitali ya Nairobi alikolazwa kwa takribani miezi minne akipatiwa matibabu.

Read More »

AZAM YAENDELEZA UBABE KWA SIMBA KOMBE LA MAPINDUZI

Mshambuliaji Iddi Kipwagile ameihakikishia timu yake ya Azam kutinga nusu fainali ya kombe la mapinduzi baada ya kuifunga Simba bao 1-0 Kikosi cha Azam FC leo kimeonyesha dhamira yake ya kutaka kutetea ubingwa wa kombe la Mapinduzi baada ya kuibuka na ushindi wa bao 1-0, dhidi ya Simba, katika mchezo wa hatua ya makundi uliopigwa uwanja wa Amaan Zanzibar. Ushindi ...

Read More »

KINGUNGE ANENAMAZITO KWA MAGUFULI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli amemjulia hali mwanasiasa mkongwe Mzee Kingunge Ngambale Mwiru aliyelazwa katika wodi ya Mwaisela, Hospitali ya Taifa Muhimbili.

Read More »

CCM YAWATEUA MTULIA NA DKT MOLEL KUWANIA UBUNGE SIHA NA KINONDONI

Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Hamphrey Polepole. Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimewarudisha waliokuwa wabunge wa upinzani kugombea majimbo ya Siha na Kinondoni baada ya wabunge hao kuijiunga na chama hicho. Taarifa iliyotolewa Jana Jumamosi na Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Hamphrey Polepole imesema kuwa baada ya tafakuri na tathimini ya kina, Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ...

Read More »

Haya Hapa Magazeti ya Leo Januari 7, 2018

Kama upo mbali na meza za magazeti mtaani kwako basi husipitwe na kilichoandikwa kwenye magazeti ya leo Jumapili Januari,07, 2018 nimekuekea hapa

Read More »
Show Buttons
Hide Buttons