Daily Archives: January 8, 2018

RATIBA RASMI YA MAZISHI YA MKE WA MZEE KINGUNGE

Ratiba ya mazishi ya mama yetu mpendwa Peres Kingunge Ngombale Mwiru(Mama Kinje) Jumatano tarehe 10/1/2018- Saa 10:00 jioni mwili kutoka Hospitali kuelekea nyumbani Victoria/Makumbusho Kingunge street.-Saa 11:00 jioni mwili kuwasili nyumbani na taratibu za ibada mila na desturi kuendelea usiku mzima(mkesha) ****************************** Alhamisi tarehe 11/1/2018-Saa 1:00 asubuhi mpaka saa 2:00 asubuhi waombolezaji kuwasili nyumbani Kwa ajili ya kuanza taratibu za ...

Read More »

Jumba la Trump New York Lawaka Moto

Maafisa wa kuzima moto wameitwa katika jumba la Trump Tower katika kisiwa cha Manhattan jijini New York kuzima moto uliokuwa umezuka kwenye ghorofa ya juu ya jengo hilo. Idara ya kuzima moto ya New York imesema moto huo ulidhibitiwa na kwamba hakukuwa na majeruhi. Shirika la habari la CBS News limesema moto huo ulizuka mwendo wa saa moja asubuhi saa ...

Read More »

UNAJUA KWANINI LIVERPOOL WALIMUUZA COUTINHO, SOMA HAPA

Meneja wa Timu ya Liverpool, Jurgen Kloop ameeleza kuwa klabu yke ilifanya kila iwezalo ili kuendelea kuwa na mchezaji Phillipe Coutinho, lakini mwisho wa siku mchezaji huo raia wa Brazili alikuwa na tamaa ya kwenda kuichezea Klabu ya Barcelona. Hatimaye kiungo huyo mkabaji, Phillipe Coutinho amekamilisha kusaini mkataba uliokuwa ukisubiriwa sana na klabu ya Barcelona. Juzi Jumamosi, Januari 6, 2018 ...

Read More »

Hivi Ndivyo Mvua ya Ilivyosababisha Adha kwa Wananchi wa Dar es Salaam

MVUA kubwa zinazoendelea kunyesha jijini Dar es Salaam na sehemu mbalimbali nchini zimeleta adha kwa wakazi wake ambapo mvua hizo zilizoanza kunyesha alfajiri leo zilisababisha foleni nyingi katika maeneo mbalimbali hasa eneo la Jangwani. Mbali ya foleni pia mvua hizo zimesababisha mafuriko maeneo mengi ambayo mtandao huu umeyashuhudia katika bonde la Mkwajuni na Jangwani yaliyokuwa yamefurika kwa maji na tope, ...

Read More »

SERIKALI KUENDELEA KUSHIRIKIANA NA TUCTA KUONGEZA TIJA NA UFANISI SEKTA YA KAZI

  Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Ajira,Vijana  na watu wenye ulemavu) Mhe.  Jenista Mhagama amesema serikali itaendelea  kushirikiana na Shirikisho la Vyama vya  Wafanyakazi Nchini (TUCTA) katika kuleta tija na ufanisi katika sekta ya kazi kwa kushughulikia masualaya wafanyakazi nchini Waziri Mhagama ameyasema hayo jana tarehe 7 Januari 2018, jijini Dar es salaam wakati wa mkutano ...

Read More »

Serikali kununua mabehewa ya kisasa 1590

Mkurugenzi Mkuu, Idara ya Habari – Maelezo na Msemaji Mkuu wa Serikali, Dkt. Hassan Abbasi amesema kuwa serikali imeendelea kutekeleza mafanikio na miradi mbalimbali mikubwa Kitaifa. Akizungumza na wanahanari leo, Dkt. Abbas amesema kuwa pamoja na hayo yote miradi ikiwa ni pamoja na hali ya uchumi, Ahadi ya kuhamia Dodoma, viwanda, miradi mikubwa ya umeme, ujenzi wa reli ya kisasa()Standard ...

Read More »

Serikali Yawatoa Hofu Wananchi Kuhusu Tatizo la Umeme

Mkurugenzi wa Idara ya Habari Maelezo na Msemaji wa Serikali, Dk Hassan Abass. Serikali imewatoa hofu Watanzania kuhusu tatizo la umeme na utekelezaji wa mradi wa treni ya umeme nchini ambao ujenzi wake unaendelea. Mkurugenzi wa Idara ya Habari Maelezo na Msemaji wa Serikali, Dk Hassan Abass amesema jitihada zinaendelea kufanyika kuhakikisha umeme wa kutosha unazalishwa nchini. Akizungumza na wanahabari ...

Read More »

NECTA Yatangaza Matokeo ya Kidato cha Pili, Darala la Nne

BARAZA la Mitihani Tanzania (NECTA) limetangaza matokeo ya mitihani ya upimaji wa darasa nne na kidato cha pili iliyofanyika Novemba mwaka jana, huku idadi kubwa ya wanafunzi wakifaulu vizuri katika mitihani hiyo. Akitangaza matokeo hayo leo Jumatatu, Januari 8, Katibu Mtendaji wa baraza hilo,  Dk Charles Msonde amesema jumla ya wanafunzi 1,086,156 waliofanya mtihani wa darasa la nne wamefaulu  kati ...

Read More »

Rais Magufuli Aanika Madudu Zaidi Wizara ya Madini

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli ameanika madudu mengine ya Wizara ya Madini akisema kuwa baadhi ya wateule wake katika wizara hiyo wamekuwa wazembe katika kutekeleza maagizo na kutimiza majukumu yao kama watendaji wa serikali. Magufuli ameyasema hayo leo Jumatatu wakati akimwapisha Mhe. Dotto Mashaka Biteko kuwa Naibu Waziri wa Madini Ikulu jijini Dar es ...

Read More »

TANZIA: Beki wa Zamani wa Yanga na Taifa Stars, Jogoo Afariki dunia

TANZIA: Beki wa kati(Sentahafu) wa zamani wa Klabu ya Yanga na Timu ya Taifa(Taifa Stars), Athuman Juma Chama maarufu kama Jogoo amefariki asubuhi ya leo, Mchazaji huyo amefariki katika Hospitali ya Taifa Muhimbili alikokuwa akipatiwa matibabu ya ugonjwa wa presha na kupooza ===== Athuman Chama Jogoo ni nani? Alianza kucheza soka akiwa mdogo, mwenyewe anasema alipenda kucheza namba mbili na ...

Read More »

Rais Magufuli Amuapisha Dotto Biteko kuwa Naibu Waziri wa Madini

Rais Dkt. John Pombe Magufuli ameamuapisha Mhe. Doto Mashaka Biteko kuwa Naibu Waziri wa Madini, Ikulu Jijini Dar es Salaam leo. Rais Dkt. John Pombe Magufuli ameamuapisha Mhe. Doto Mashaka Biteko kuwa Naibu Waziri wa Madini, Ikulu Jijini Dar es Salaam leo Jumatatu, Januari 8, 2018, asubuhi. Biteko akila kiapo.   Baada ya kuapishwa, Mhe. Dotto Biteko amesema; “Kwanza namshukuru ...

Read More »
Show Buttons
Hide Buttons