Daily Archives: January 9, 2018

Mzee Jakaya Kikwete Aungana na Wanayanga Kumzika Athumani Chama

Jeneza lenye mwili wa marehemu likifikishwa makaburini. RAIS Mstaafu wa Awamu ya Nne wa Tanzania, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, mapema leo ameungana na baadhi ya wapenzi na wanachama  wa Klabu ya Yanga kuuzika mwili wa aliyekuwa mchezaji wa klabu hiyo na Timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars), Athumani Chama kwenye makaburi ya Kisutu jijini Dar es Salaam. Rais Kikwete ...

Read More »

Waziri Mbarawa Avamia Bandarini Usiku, Abaini Madudu!

WAZIRI wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa jana usiku amefanya ziara ya kushtukiza katika Bandari ya Dar es Salaam na kubaini mawakala wa meli wanaotoa huduma katika bandari hiyo hawafanyi kazi saa 24 kama Serikali ilivyoelekeza.   Prof. Mbarawa ameiagiza Mamlaka ya Usafiri wa Nchi kavu na Majini (SUMATRA) kuchukua hatua za kinidhamu na kisheria kwa mawakala wote waliokiuka agizo la Serikali la ...

Read More »

Meli ya Kubeba mafuta Yateketea kwa Moto Pwani mwa China

Hali mbaya ya hewa inatatiza juhudi za kuzima moto na kufuja kwa mafuta zaidi ya saa sitini. Meli ya mafuta ya Iran inateketea kwa moto baada ya meli mbili kugongana kusini mwa bahari ya China. Meli hiyo kwa jina Sanchi imebeba tani 136,000 za mafuta. Waokoaji sasa wamepanua shughuli ya utafutaji wa wahudumu 31 wa meli ambao hawajulikani waliko. Ni ...

Read More »

Zimbabwe Yachunguza Shahada ya Uzamifu ya Grace Mugabe

Mamlaka ya kukabiliana na ufisadi nchini Zimbabwe imeanzisha uchunguzi kuhusu shahada ya udaktari iliopewa mkewe Robert Mugabe, Grace Mugabe kulingana na ripoti ya AFP. Phyllis Chikundura ,msemaji wa tume ya kukabiiana na ufisadi nchini humo alithibitisha kuwa kulikuwa na uchunguzi uliokuwa ukiendelea. ”Tumethibitisha kuwa kuna ripoti kama hiyo na kwamba kuna uchunguzi kama huo pia”, alisema. Bi Mugabe alidaiwa kupata ...

Read More »

JPM Akutana na Kufanya Mazungumzo na Lowassa, Ikulu

Rais Dkt. John Pombe Magufuli leo Jumanne, Januari 9, 2018 amekutana na kufanya mazungumzo na Waziri Mkuu Mstaafu Mhe. Edward Ngoyai Lowassa Ikulu jijini Dar es Salaam. Lowassa ambaye pia ni Kiongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo na alitekuwa mgombea urasi wa mwaka 2015, amempongeza Rais Magufuli kwa Kazi nzuri na ametaja maeneo ambayo kazi kubwa imefanyika kuwa ni ...

Read More »

KINGUNGE: VIPI ALI YA TUNDU LISSU JAMAANI !

Aliyekuwa mgombea wa urais katika uchaguzi mkuu wa 2015 kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Edward Lowassa (wa pili kushoto), akiwa na Mwenyekiti wa Chadema,  Freeman Mbowe,  wakimjulia hali  Kingunge Ngombale Mwiru aliyelazwa katika Hospital ya Taifa ya Muhimbili. MWANASIASA mkongwe , Kingunge Ngombale Mwiru, ambaye amelazwa katika hospitali ya Muhimbili kufuatia kung’atwa na mbwa amemkumbuka na kutaka kujua ...

Read More »

Mfumko wa bei wasababisha maandamano Tunisia

Mtu mmoja amekufa na wengine watano kujeruhiwa katika maandamano ya kiuchumi katika mji mkuu wa Tunisia, tunis. Maandamano hayo yameenea katika maeneo mengine kumi nchini humo. Uchumi wa nchi hiyo umekua ukitetereka tangu mwaka 2011 wakati kiongozi wa kipindi hicho Zine El Abdine Ben Ali akiondolewa madarakani. Kwa sasa fedha ya Tunisia imeshuka zaidi ikilinganishwa na Uero, Miongoni mwa sababu ...

Read More »

SHAKA KUMNADI MGOMBEA UBUNGE WA CCM SINGIDA KASKAZINI LEO

Kaimu Katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana Wa Chama Cha Mapinduzi Shaka Hamdu Shaka (Kulia) Akipeana mkono na Mgombea Ubunge wa Jimbo la Singida Kaskazini Ndg:Peter Monko  Alipowasili katika Ofisi za CCM Mkoa wa Singida leo. Kaimu Katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana Wa Chama Cha Mapinduzi Shaka Hamdu Shaka akisain kitabu cha wageni  katika Ofisi za CCM Mkoa wa ...

Read More »

Muslim Hassanali Ajiunga CCM Akitokea Chadema

Muslim Hassanali, aliyekuwa mgombea ubunge wa Jimbo la Ilala 2015. ALIYEKUWA mgombea ubunge Jimbo la Ilala kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) katika uchaguzi mkuu wa 2015, Muslim Hassanali, amejiunga na Chama Cha Mapinduzi  (CCM)  na kupokelewa na Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara, Philip Mangula na viongozi wengine wa CCM katika ukumbi wa Checkpoint Pugu jijini Dar es Salaam. ...

Read More »

Mbowe Kususa Uchaguzi Unaua Upinzani

Kwa mara nyingine ndugu msomaji naomba kukupa heri ya mwaka mpya 2018. Najua utakuwa umeshangaa leo inakuwaje naandika juu ya uchaguzi na naacha kugusia suala la muhogo. Muhogo sitauacha. Chini ya makala hii naeleza fursa mpya iliyopatikana ya muhogo. Kelele nilizopiga zimeanza kuzaa matunda. Mungu anaipenda Tanzania na nitaeleza kwa kina kwa nini napigania muhogo. Mwishoni mwa wiki Kamati Kuu ...

Read More »

WASIORUDISHA MIKOPO HESLB WADHIBITIWE

Moja ya maeneo yanayotajwa mara kwa mara kuliwezesha Taifa kukabiliana na maadui watatu yaani ujinga, maradhi na umasikini ni uboreshaji wa sekta ya elimu na ongezeko la wataalamu na wanataaluma wa ndani. Sekta ya elimu inayoanzia ngazi ya msingi hadi elimu ya juu imo kwenye orodha ya sekta zinazokabiliwa na changamoto nyingi huku zikiendelea kuongoza kwa umuhimu wake kwa jamii. ...

Read More »

Muhogo ni Fursa Kuelekea Viwanda

Balile

Tangu Oktoba, mwaka jana nimekuwa nikiandika juu ya fursa ya kilimo cha muhogo. Maandishi yangu haya yametokana na ziara niliyoifanya nchini China. Taifa hilo limetenga wastani wa dola za Marekani bilioni 5 kununua muhogo kutoka Tanzania. Kufikia mwaka 2020 nchi hiyo inataka kupunguza matumizi ya mafuta ya petroli na dizeni kwa asilimia 20. Hii ina maana kuwa wanataka kuzalisha mafuta ...

Read More »

YANGA USO KWA USO NA URA NUSU FAINAL YA KOMBE LA MAPINDUZI

Kufuatia matokeo ya jana kuanzia mchezo wa mapema uliowakutanisha Simba na URA, na kushuhudia Simba kipandishwa boti kurudi Dar es Salaam kwa kufungwa bao 1-0, na kuifanya URA kufika point 10 na kuongoza kundi A huku Azam ikishika nafasi ya pili kwa kufikisha Point 9. Yanga nao wemeshindwa kuwafunga Singida United baada ya kutoka nayo sare kwa kufungana bao 1-1, ...

Read More »

SINGIDA UNITED YAIDHIBITI YANGA KOMBE LA MAPINDUZI

Makocha wa timu za Yanga na Singida United wametunziana heshima baada ya timu zao kumaliza dakika 90 zikitoka sare ya 1-1 Kombe la Mapinduzi Wachezaji wa Yanga wamelazimika kupambana hadi dakika ya mwisho na kufanikiwa kupata sare ya 1-1, dhidi ya Singida United ukiwa ni mchezo wa mwisho wa michuano ya Kombe la Mapinduzi uliopigwa uwanja wa Amaan Zanzibar. Matokeo ...

Read More »

KOREA KASKAZINI NA KOREA KUSINI ZAANZA MAZUNGUMZO

Mkutano huo unaofanyika katika kijiji cha Panmunjom ambapo mazungumzo yao yanahusu uwezekano wa Korea Kaskazini kushiriki katika mashindano ya Olimpiki ya msimu wa baridi yatakayofanyika Korea Kusini mwezi wa pili. Waziri wa muungano wa Korea Kusini , Cho Myoung-Gyon amesema mazungumzo hayo yanajikita zaidi katika masuala ya olimpiki lakini mambo mengine pia yatajadiliwa ikiwa ni pamoja na kutumia fursa hiyo ...

Read More »

WAZIRI MPINA AKAMATA KILO 65,600 ZA SAMAKI ZENYE THAMANI YA SHILINGI MILIONI MIA TATU

Waziri wa Wizara ya Mifugo na Uvuvi Luhaga Mpina (katikati )akimsikiliza Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya Maendeleo ya Uvuvi, Bi Mwanaidi Mlolwa akitoa maelezo baada ya kushuhudia shehena ya samaki wachanga aina ya Sangara kilo 65600 mjini Bukoba waliokamatwa katika kisiwa cha Lubili wilayani Muleba leo.Mwenye koti ni Mkuu wa Mkoa wa Kagera Meja Jenerali Mstaafu Salum Mustapha Kijuu. Waziri wa Wizara ya Mifugo na ...

Read More »

RC TELACK AFANYA ZIARA KUKAGUA KILIMO CHA PAMBA NA MTAMA WILAYANI KISHAPU

Mkuu wa mkoa wa Shinyanga Zainabu Telack amefanya ziara ya kukagua kilimo cha zao la Pamba na Mtama wilayani Kishapu kwa ajili ya kuendelea kuhamasisha wakulima kulima mazao hayo kwa wingi kwa njia za kitaalamu ambayo yatawafanya wakue kiuchumi na mkoa kwa ujumla.  Telack amefanya ziara hiyo leo Jumatatu Januari 8,2018 wilayani Kishapu kwa kukagua baadhi ya mashamba ya pamba ...

Read More »

Haya Hapa Magazeti ya Leo Januari 9, 2018

Kama upo mbali na meza za magazeti mtaani kwako basi husipitwe na kilichoandikwa kwenye magazeti ya leo Jumanne Januari,09, 2018 nimekuekea hapa

Read More »
Show Buttons
Hide Buttons