Daily Archives: January 10, 2018

MAMA MJEMA ATINGA BUGURUNI KUJIONEA BOMBA LA GESI LILOPASUKA

MKUU wa Wilaya ya Ilala, Sophia Mjema, amewataka wananchi waliokumbwa na athari ya moto iliyotokea janausiku baada ya kupasuka kwa bomba la kusafirishia gesi, kuwa na subira wakati serikali ikijaribu kutafuta chanzo cha moto huo. Amesema wananchi wanaofanya shughuli za bishara sehemu ambazo siyo rasmi zikiwemo barabara za treni, kuacha mara moja kwani wanaweza kusababisha athari mbalimbali kama ilivyokuwa katika ...

Read More »

FULL TIME YANGA VS URA KOMBE LA MAPINDUZI NUSU FAINALI (5-4), YANGA NJEE, URA YATINGA FAINALI

Dakika ya 2:  URA wanapata kona ya kwanza Dakika ya 10:  URA wanapata faulo karibu kabisa na lango la Yanga Dakika ya 15: matokeo bado 0-0, lakini mpira ni mkali sana kila mashambulizi zamu kwa zamu Dakika ya 20: matokeo bado 0-0 Dakika ya 25: Kona ya pili URA wanapata Dakika 28: Tshimbi anafanyiwa rafu na mpira unakuwa faulo kuelekezwa ...

Read More »

Mrisho Gambo Atema Cheche baada ya Lowassa kwenda Ikulu

Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mrisho Gambo ameeleza kuwa Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na MAendeleo, Freeman Mbowe na Mbunge wa Jimbo la Arusha Mjini, Godbless Lema wanamuonea wivu Waziri Mkuu Mstaafu, Edward Lowassa kwa kupata nafasi ya kuongea na Rais Dkt Magufuli. Mrisho Gambo amesema hayo baada ya viongozi hao pamoja na wengine wengi kuibuka kuikosoa hatu ya Lowassa ...

Read More »

WANANCHI WA LIWALE NA NACHINGWEA WALILIA BARABARA

 Naibu Waziri wa Ujenzi, Elias Kwandikwa, akionesha Ilani ya Chama Cha Mapinduzi kwa watendaji wa Wilaya ya Liwale (hawapo pichani), ambapo utekelezaji wa miradi yote ya barabara hapa nchini umeanishwa humo wakati alipowatembelea kuona hali ya mtandao wa barabara katika wilaya hiyo, mkoani Lindi. Kushoto ni Mkuu wa Wilaya hiyo Bi. Sara Chiwamba.  Mkuu wa Wilaya ya Liwale mkoani Lindi, ...

Read More »

WAZIRI MKUU ARIDHISHWA NA USAFIRISHWAJI WA MBOLEA

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema ameridhishwa na usafirishaji wa mbolea kutoka wa wasambazaji wa pembejeo nchini kwenda kwa wakulima. Pia ameitaka Kampuni ya Mbolea Tanzania (TFC) kuwa na mikakati madhubuti itakayowezesha upatikanaji wa mbolea kwa wakati wote nchini. Ametoa kauli hiyo leo (Jumatano, Januari 10, 2018) wakati akikagua usafirishaji wa mbolea kwenye maghala makubwa matatu jijini Dar es Salaam. Waziri ...

Read More »

AZAM TV YANOGESHA ZAWADI YA MCHEZAJI BORA WA MWEZI WA VPL

Bodi ya ligi (TPLB) imetangaza maboresho katika zawadi za mchezaji bora wa mwezi wa Ligi kuu Tanzania Bara, ambapo kuanzia sasa, mchezaji bora wa kila mwezi atakuwa akipata tuzo maalum ya Kikombe, fedha taslim shilingi milioni moja pamoja na king’amuzi cha Azam TV. Afisa Mtendaji Mkuu wa bodi hiyo, Boniface Wambura amesema zawadi zilizoongezwa ni tuzo itakayokuwa ikitolewa na bodi ...

Read More »

HUKUMU YA SCOPION YAPIGWA KALENDA HADI JANUARY 22

Hukumu ya mwalimu wa sanaa ya kujihami ‘martial arts’  Salum Njwete maarufu kama Scorpion, ya kumjeruhi na kumtoboa macho kinyozi Said Mrisho leo ilishindwa kusomwa katika Makahama ya Wilaya ya Ilala jijini Dar es Salaam. Kesi hiyo inayosikilizwa na Hakimu Mfawidhi wa wilaya Flora Haule, imeahirishwa hadi January 22 ambapo hakimu huyo atakuwa katika nafasi nzuri ya kuwasilisha hukumu ya ...

Read More »

TUNDU LISSU ANENA HAYA BAADA YA LOWASSA KUTINGA IKULU

Baada ya Lowassa kufika Ikulu kumtembelea Rais Magufuli, Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu amezungumzia kitendo kilichotokea kwa Mh. Lowasa kwenda Ikulu bila makubaliano ya chama(CHADEMA) Nanukuu kutoka kwenye page yake ya Instagram “Naomba na mimi niseme kwa uchache kuhusu suala la Mheshimiwa Lowasa. Baada ya Mwenyekiti kuzungumzia jambo hili, inaelekea kuwa wazi kwamba Mheshimiwa Lowassa hakumshirikisha Mwenyekiti kabla ya ...

Read More »

MBOWE: KAULI ALIYOITOA LOWASSA SI TAMKO LA CHADEMA

Baada ya Waziri Mkuu Mstaafu Edward Lowassa kumtembelea Rais Magufuli Ikulu Jiji Dar es Salaam, na kumwagia sifa kwa jinsi anavyoiendesha nchi hasa kwenye upande wa utengenezaji wa ajira kwa vijana kwa kujenga Mioundombinu ya usafiri kama vile Reli ya Standard Gauge, utoaji wa Elimu kwa watoto wetu. Mwenyekiti wa CHADEMA na Mbunge wa Hai, Freeman Mbowe amemshangaa Lowasa kwa ...

Read More »

NAPE :SITAHAMA CCM MPAKA MWISHO WA UHAI WANGU

MBUNGE wa Mtama, Nape Nnauye (CCM), amesema kuwa hana mpango wa kuhamia chama chochote cha upinzani na ataendelea kubaki ndani ya CCM. Alisema hawezi kufanya uamuzi wa kuhamia katika vyama vya upinzani , huku akidai magari ya upinzani kwa sasa yanazidi kuzama na haijulikani yataibuka lini. Kauli hiyo aliitoa mjini Songea wakati akimnadi mgombea Ubunge wa Songea kupitia CCM, DK. Damas ...

Read More »

TANZIA: ZUBER MSABAHA ALIYEKUWA MTANGAZAJI WA REDIO FREE AFRIKA AFARIKI DUNIA

Aliyekuwa mtangazaji maarufu wa kipindi cha bolingo time cha redio free ya Mwanza, Zuber Msabaha amefariki dunia na maziko yake ni leo Mabatini Jijini Mwanza. Mungu ailaze roho ya marehemu Msabaha alikuwa na mvuto na uhodari wa kuendesha kipindi cha bolingo time.

Read More »

PIGO KWA MARA NYIGINE TENA MADIWANI WA CHADEMA LONGIDO WAJIUNGA NA CCM

  Madiwani watatu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Wilaya ya Longido, mkoani Arusha, wamejivua uanachama wa chama hicho na kujiunga na CCM, pia  jana hiyo hiyo tulishuhudia Mwanachadema mwingine, Muslim Hassanali alijiunga na CCM, Dar es Salaam. Kujiunga kwa Hassanali ni mwendelezo wa mfululizo wa viongozi wa upinzani wakiwemo wabunge na madiwani kuondoka na kwenda CCM. Ni Vema ...

Read More »

Mamia ya Wahamiaji Wahofiwa Kuzama Libya

Mamia ya watu wanahofiwa kupotea baada ya boti iliyobeba wahamiaji kuzama pwani ya Libya. Walinzi wa majini wa Libya wanasema kuwa watu mia tatu wameokolewa kutoka boti nyingine tatu zilizopata dhoruba. Walioopona katika ajali hiyo ya majini wanasema kuwa walitumia masaa kadhaa ndani ya maji kabla ya kuokolewa. Tukio hili ni la karibuni Zaidi kutokea tangu kuanza kwa mwaka mpya. ...

Read More »

MAPIGANO YA WAKULIMA NA WAFUGAJI YASABABISHA VIFO VYA WATU 80 NIGERIA

Takribani watu 80 wameuawa nchini Nigeria katika jimbo la Benue tangu kuanza kwa mwaka huu mpya. Hiyo ni kwa mujibu wa ofisa wa wakala wa dharura. Mapigano kati ya wafugaji wa jamii ya Fulani na wakulima yamekuwa yakiongezeka tangu mwaka ulipita yaani 2017 na huku maafisa wanasema mashambulizi bado yanaendelea. Milipuko ya vurugu imekuwa ikitokea katika eneo la kati la ...

Read More »

YANGA KUTUNZA HESHIMA ZA AZAM NA SIMBA KWA URA?

Kocha wa Yanga amesema hawatotumia mchezaji mwingine zaidi ya wale waliokuwa wakiwatumia tangu mwanzoni mwa michuano hiyo YANGA na URA zitashuka dimbani mapema kesho kutafuta timu itakayocheza fainali ya michuano ya Kombe la Mapinduzi ambalo linaendelea hapa visiwani Zanizibar Mchezo huo unatarajiwa kuanza majira ya saa 10:30, na unatarajiwa kuwa na presha kubwa kwa pande zote mbili hasa wenyeji Yanga ...

Read More »

RAIS WA ZANZIBAR DK SHEIN AZINDUWA SOKO LA KISASA KINYASINI MKOA WA KASKAZINI UNGUJA

 Soko la Kinyasini Mkoa wa Kaskazini Unguja lililofunguliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, ikiwa ni Shamrashamra za miaka 54 ya Mapinduzi ya Zanzibar.  WANANCHI wa Mkoa wa Kaskazini Unguja wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akihutubia wakati wa hafla ya Uzinduzi wa Soko ...

Read More »

Haya Hapa Magazeti ya Leo Januari 10, 2018

Kama upo mbali na meza za magazeti mtaani kwako basi husipitwe na kilichoandikwa kwenye magazeti ya leo Jumatano Januari,10, 2018 nimekuekea hapa                                                              

Read More »
Show Buttons
Hide Buttons