Daily Archives: January 11, 2018

JAMAA ATUMIA SURURU KUJENGA BARABARA YA KILOMITA 8

Jamaa mmoja katika jimbo lililo mashariki mwa India, amejenga barabara ya umbali wa kilomita 8 akitumia sururu ili kuwawezesha watoto wake kupitia wakitoka shuleni. Jalandhar Nayak, 45, anaishi umbali wa kilomita 10 kutoka shule ambapo watoto wake watatu wa kiume husoma. Lakini safari hiyo huchukua saa tatu kwa sababu vijana hao hulazimika kupitia milima mitano kabla ya kufika nyumbani. Maafisa ...

Read More »

UGIRIKI YAKAMATA MELI ILIYOKUWA NA BENDERA YA TANZANIA

Mamlaka nchini Ugiriki imeeleza kuwa, imekamata meli iliyokuwa na bendera ya Tanzania iliyokuwa safarini kuelekea ncuni libwa ikiwa imebeba vifaa vinavyotumika kutengenezea vilipuzi. Meli hiyo iligundulika wakati ikiwa jirani na Kisiwa cha Crete siku ya Jumamosi. Mamlaka hiyo imekuta makontena 29 yakiwa na vifaa mbalimbali kama ammonium nitrate, non-electric detonators na matenki 11 matupu ya petroli. Afisa mmoja wa mamlaka ...

Read More »

CHADEMA YAZIDI KUPUKUTIKA, DIWANI WAKE AJIUNGA CCM

Diwani wa Kata ya Namichiga kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), wilayani Ruangwa mkoani Lindi Bwana, Mikidadi Ibadi Mbute, amejiuzulu nafasi yake na kutangaza kujiunga na CCM baada ya kuridhishwa na kasi ya Rais Dkt. John Pombe Magufuli. Pia Bakari Hamisi Mpanya maarufu kama Selenge aliyekuwa Diwani wa Kata ya Nachingwea, kupitia Chama cha Wananchi (CUF), amejiunga ...

Read More »

Wizara ya Maliasili na Utalii Yatangaza Viwango Vipya vya Ada kwa Mawakala wa Kusafirisha Watalii

Wizara ya Maliasili na Utalii imetangaza rasmi viwango vipya vya malipo ya ada kwa Mawakala wa kusafirisha watalii nchini baada ya kukamilika kwa marekebisho ya kanuni ya ada na tozo za biashara ya utalii yaliyofanyika mwezi Desemba mwaka jana, 2017. Taarifa iliyotolewa leo na Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Maj. Gen. Gaudence Milanzi, imeeleza kuwa baada ya kukamilika kwa marekebisho ...

Read More »

UBINAFSISHAJI WA TTCL MPAKA KUWA AIRTEL ULIKUWA NA UTATA

Waziri wa Fedha na Mipango Dkt. Philip Isdor Mpango leo tarehe 11 Januari, 2018 amewasilisha taarifa ya kamati aliyoiunda kuchunguza umiliki wa kampuni ya simu Airtel kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli aliyeagiza kufanyika kwa uchunguzi huo tarehe 20 Desemba, 2017. Baada ya kuwasilisha taarifa hiyo, Dkt. Mpango amesema Serikali imejiridhisha kuwa ubinafsishaji ...

Read More »

NAIBU WAZIRI KWANDIKWA AWATAKA TEMESA KUPELEKA KIVUKO LINDI

 Mkuu wa Mkoa wa Lindi, Godfrey Zambi akitoa taarifa kwa Naibu Waziri wa Ujenzi, Elias Kwandika, kuhusu hali ya miundombinu ya barabara, madaraja, vivuko, pamoja na viwanja vya ndege katika mkoa huo. Naibu Waziri huyo yupo katika ziara ya kikazi ya siku 3 mkoani humo. Naibu Waziri wa Ujenzi, Elias Kwandikwa akizungumza na uongozi wa mkoa wa Lindi katika kikao ...

Read More »

BAVICHA WASHANGAA LOWASSA KUMPONGEZA MAGUFULI

BARAZA la Vijana la Chama cha Demokrasia na Maendeleo – Chadema (Bavicha) limesema limeshtushwa na Mjumbe wa Kamati Kuu ya chama hicho, Edward Lowassa, kumpongeza Rais John Magufuli kwa yale anayoyafanya. Akizungumza leo Alhamisi Januari 11, Katibu wa Bavicha, Julius Mwita amehoji kuwa Lowassa amepata wapi ujasiri wa kumpongeza Rais huku akidai nchi inakabiliwa na matukio mengi ya uvunjaji wa ...

Read More »

BAVICHA WAMTOLEA POVU SHAKA WA UVCCM

Katibu wa Bavicha, Julius Mwita.   BARAZA la Vijana la Chama cha Demokrasia na Maendeleo – Chadema (Bavicha) limesema limeshangazwa na kauli ya Kaimu Katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM), Shaka Hamdu Shaka, kuhusu sakata la Mbunge, Tundu Lissu kupigwa risasi. Akizungumza na wanahabari jijini Dar es Salaam leo, Alhamisi Januari 11, Katibu wa Bavicha, Julius Mwita amedai kuwa kauli ya Shaka kwamba Lissu ...

Read More »

RC Wangabo Atoa Mwezi Mmoja Kuwa na Mkakati wa Kuzuia Uvuvi Haramu Kuokoa Viwanda vya samaki Mwambao wa Ziwa Tanganyika

  Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Mh. Joachim Wangabo amemuagiza Mkuu wa Wilaya ya Kalambo pamoja na kamati yake ya Ulinzi na Usalama kwa kushirikiana na Mkurugenzi wa halmashauri ya Wilaya ya Kalambo kukaa pamoja na kuandaa mkakati wa kuzui uvuvi haramu unaoendelea katika mwambao wa ziwa Tanganyika ili kuokoa viwanda vilivyopo katika mwambao huo. Amesema kuwa uvuvi haramu unaoendelea ...

Read More »

Lowassa Akutana na Mbowe Kuzungumza ya Ikulu

Rais John Pombe Magufuli alipokutana na Waziri Mkuu Mstaafu, Edward Lowassa Ikulu.   WAZIRI Mkuu wa zamani na Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendelo (Chadema), Edward Lowassa amekutana na Mwenyekiti wa chama hicho, Freeman Mbowe ili kumpa mrejesho wa alichozungumza na Rais Dkt. John Magufuli juzi Januari 9, alipomtembelea Ikulu jijini Dar es Salaam.   Kwa ...

Read More »

WAZIRI MKUU: TUMIENI TAMASHA LA BIASHARA KUKUZA BIASHARA YA UTALII

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ameitaka Wizara ya Biashara, Viwanda na Masoko ya Zanzibar kuhakikisha inatumia Tamashara la Biashara la Zanzibar kama chachu ya kukuza biashara ya Utalii kama ilivyo kwa Dubai Shooping Festival na matamasha mengine Duniani. “Natambua kwamba kazi ya kulipandisha hadhi zaidi tamasha letu hili si ndogo , hata hivyo ninayo imani kubwa kwamba  si tu uwezo wa ...

Read More »

Rais Magufuli Amteua Alphayo Kidata Kuwa Balozi

Rais Dkt. John Pombe Magufuli amemteua aliyekuwa Katibu Mkuu Ikulu, Bw. Alphayo Kidata kuwa Balozi, pia amemteua Meja Jenerali Mstaafu Simon Mumwi kuwa Balozi.

Read More »

RIPOTI YA EU YAWAKERA WAKENYA

Serikali ya Kenya imekasirishwa na ripoti iliotolewa na kiongozi wa Muungano wa Ulaya kuhusu uchaguzi mkuu wa urais mwaka uliopita. Marietje Schaake alitoa ripoti mapema siku ya Jumatano katika mji mkuu wa Ubelgiji , Brussels baada ya kusema kuwa serikali ya Kenya haikuwa tayari kukutana naye. Taarifa kutoka ubalozi wa Kenya mjini Brussels inasema kuwa madai hayo sio ya ukweli ...

Read More »

Moto Waibuka Jengo la Benki Kuu Mwanza

Moto umezuka katika jengo la Benki Kuu jijini Mwanza leo Alhamisi, Januari 11, 2018 asubuhi. Chanzo cha moto huo kinaelezwa kuwa ni shoti ya umeme. Endelea kufuatilia mitandao yetu kwa taarifa zaidi.

Read More »

Haya Hapa Magazeti ya Leo Januari 11, 2018

Kama upo mbali na meza za magazeti mtaani kwako basi husipitwe na kilichoandikwa kwenye magazeti ya leo Alhamisi Januari,11, 2018 nimekuekea hapa                                                                      

Read More »

BOFYA HAPA KUONA MATOKEO YA KIDATO CHA PILI NA DARASA LA NNE 2017/2018

BARAZA la Mitihani Tanzania (NECTA) limetangaza matokeo ya mitihani ya upimaji wa darasa nne na kidato cha pili iliyofanyika Novemba mwaka jana, huku idadi kubwa ya wanafunzi wakifaulu vizuri katika mitihani hiyo.   Akitangaza matokeo hayo leo Jumatatu, Januari 8, Katibu Mtendaji wa baraza hilo,  Dk Charles Msonde amesema jumla ya wanafunzi 1,086,156 waliofanya mtihani wa darasa la nne wamefaulu  ...

Read More »

ARSENAL, CHELSEA HAKUNA MBABE

Arsenal wameilazimisha sare ya 0-0 Chelsea katika uwanja wa Stamford Bridge Alexis Sanchez akianzia benchi na Wilshere akipata majeraha Meneja wa Arsenal, Arsene Wenger amesisitiza kuwa uamuzi wake kumwanzisha Alexis Sanchez benchi kwenye mechi za Kombe la EFL dhidi ya Chelsea haukuwa na maana yoyote kuhusu uhamisho. Mchezaji huyo wa kimataifa wa Chile, ambaye mkataba wake unakwisha Arsenal majira ya ...

Read More »

Azam Yatinga fainali ya Kombe la Mapinduzi, Kukutana na URA

Bao pekee la kinda Shabani Idd limeipelekea Azam FC ambao ndiyo mabingwa watetetzi wa kombe la Mapinduzi fainali ya michuano hiyo Mabingwa watetezi wa Kombe la Mapinduzi Azam FC, huneda wakafanikiwa kulibakisha kombe hilo nchini baada ya leo kufanikiwa kuingia fainali kufuatia ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Singida United katika mchezo wa nusu faianli ya pili uliopigwa uwanja wa ...

Read More »

WANANCHI WAHAMASISHWA KUCHANGIA DAMU SALAMA

Nesi kutoka Mpango wa  Taifa ya Benki wa damu salama Catherine Kiure akimuhudia moja ya wahamasishaji wa uchangiaji damu Prosper Magali wakati wa uchangiaji damu unaoendelea katika Enep la Ubungo Plaza Jijini Dar es Salaam. Wananchi wakiwa wamejitokeza kuchangia damu salama uliohamashihswa na Prosper Magali kwa ajili ya kuhakikisha bnki ya damu inakuwa na damu ya kutosha. Mwandishi wa MMG/Kajunason ...

Read More »

VIONGOZI MBALIMBALI WALIVYOJITOKEZA KWENYE MAZISHI YA MKE WA KINGUNGE

 Jeneza lenye mwili wa Marehemu Mama Peras Ngombale Mwiru, Mke wa Mmoja waasisi wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Mzee Kingunge Ngomale Mwiru ukiwasili nyumbani tayari kwa ibada maalum ya maombolezo, iliyofanyika jioni ya leo.  Huzuni ilitawala pale mwili wa Marehemu ulipowali Nyumbani.  Ibada ya kumuombea Marehemu Mama Peras Ngombale Mwiru, Mke wa Mmoja waasisi wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Mzee ...

Read More »

DKT.SHEIN AZINDUA SOKO LA KINYASINI

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,  Mhe.Dkt. Ali Mohamed Shein akikata utepe kuashiria uzinduzi wa Soko jipya la Kinyasini lililojengwa na Programu ya Miundo Mbinu ya Masoko, Uongezaji Thamani na Huduma za Kifedha Vijijini (MIVARF) chini ya Ofisi ya Waziri Mkuu Januari 09, 2018 eneo la Kaskazin ‘A’ Zanzibar.Kulia ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu ...

Read More »

DKT.KIGWANGALA AZINDUA KAMATI KUANDAA MWEZI WA URTIHI WA TAIFA LA TANZANIA

 Mjumbe wa kamati hiyo ambaye pia ni Mkuu wa Mkoa wa Arusha  Mrisho Gambo  akizungumza leo jijini Dar es Salaam wakati wa mkutano wa uzinduzi rasmi wa Kamati ya kitaifa ya kuandaa Mwezi maalumu wa maadhimisho ya Urithi wa Taifa la Tanzania katikati ni Mjumbe wa Kamati hiyo  na ambaye pia ni Mkurugenzi wa Kampuni ya EAG.  Waziri wa Maliasili ...

Read More »
Show Buttons
Hide Buttons