LWANDAMILA AMTETEA CHIRWA KWA MASHABIKI

Lwandamina amewataka mashabiki wa timu hiyo mambo ya kombe la Mapinduzi na kuangalia michuano inayowakabili mbele yao Kocha mkuu wa Yanga George Lwandamina, amemtetea mshambuliaji wa timu hiyo Obrey Chirwa, kuwa mkwaju wa penalti aliokosa ilikuwa na bahati mbaya na hakufanya makusudi kama mashabiki wanavyodai. Lwandamina amesema, vitu kama hivyo hutokea kwa mchezaji mwenye uwezo…

Read More

SHEREHE YA MIAKA 54 YA MAPINDUZI ZANZIBAR YAFANA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Rais Mstaafu, Mzee Ally Hassan Mwinyi.  Makamu wa Rais, Bi Samia Suluhu Hassan (mwenye miwani), Waziri Mkuu, Kassim majaliwa na viongozi wengine wakiwa kwenye hafla hiyo.   Amiri Jeshi Mkuu na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe…

Read More

SERIKALI YATOA TAMKO KUHUSU MELI YENYE BENDERA YA TANZANIA KUKAMATWA UGIRIKI

Serikali imesema inachunguza taarifa za meli yenye bendera ya Tanzania iliyokamatwa nchini ugiriki ikiwa na vifaa vya kutengenezea vilipuzi ambavyo vilikuwa vikisafirishwa kwenda Libya. Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Susan kolimba alisema kuwa wanafuatilia kwa kina jambo hilo ili kupata ukweli wake. “Kwa sasa ni kwamba jambo hilo tunalifuatilia…

Read More