USITISHAJI MICHANGO MASHULE ‘WAITIKISA’ DODOMA
NA EDITHA MAJURA Dodoma Agizo la Rais John Magufuli kuzuia wazazi wa wanafunzi wanaosoma katika shule za msingi na sekondari zinazomilikiwa na Serikali wasitozwe michango, limeibua changamoto katika uendeshaji wa shule hizo mkoani hapa, imebainika. JAMHURI limebaini hayo baada ya kuzungumza na baadhi ya wanafunzi, walimu na wazazi walio walengwa katika utekelezaji wa agizo hilo….