Monthly Archives: February 2018

MAENDELEO NI KAZI 11

Wiki iliyopita katika maandiko ya Mwalimu tuliona katika kitabu cha “Maendeleo ni Kazi”chama kimetoa maagizo ambayo yanatakiwa kutekelezwa na uongozi. Tuendelee Elimu ya watu wazima. Elimu ya watu wazima ni shughuli nyingine ambayo chama kimeshughulikia kutokana na agizo la mkutano Mkuu la kufuta ujinga katika muda wa miaka minne, yaani kwenye mwaka 1975. Chama kimehimiza sana jambo hili kila mahali ...

Read More »

Musoma Vijijini inateketea (2)

Na Dk. Felician Kilahama Sehemu ya kwanza, mwandishi wa makala hii, Dk. Felician Kilahama, alisema amekuwa akizungumza na viongozi mbalimbali katika vijiji alivyotembelea, lakini cha kushanganza hakuwahi kubahatika kukutana na viongozi wa vijiji wenye upeo mzuri na uelewa wa kutosha juu ya thamani na umuhimu wa rasilimali ardhi kwenye vijiji vyao. Ifuatayo ni sehemu ya pili na ya mwisho inayohusu ...

Read More »

Akwilina awe Balozi wa amani

Ijumaa ya Februari 16, mwaka 2017 imekuwa siku ya majonzi kwa taifa letu. Mwanafunzi wa mwaka wa kwanza wa Chuo cha Taifa cha Usafirishaji (NIT), Akwiilina B. Akwilini ameuawa kwa kupigwa risasi akiwa kwenye daladala, wakati polisi wanapambana na waandamanaji wa Chadema. Wiki iliyopita nimeandika makala nikitahadharisha juu ya mwenendo wa askari polisi kutumia nguvu kubwa katika masuala ya uchaguzi. ...

Read More »

Maisha ya wananchi wa migodini yanafanane na uwepo wa rasilimali kwenye maeneo yao

Na Albano Midelo Uamuzi ya serikali ya awamu ya tano inayoongozwa na Rais Dk.John Magufuli, kuzuia uagizaji wa makaa ya mawe toka nje, badala yake watumiaji wote kutumia makaa ya mawe toka mgodi wa Ngaka Wilaya ya Mbinga Mkoa wa Ruvuma, yamesababisha soko la makaa hayo kupanda. Kaimu Meneja Uzalishaji wa kampuni ya TANCOAL katika mgodi wa Ngaka, Edward Mwanga, ...

Read More »

Mbeya walalamika kuporwa ardhi

Na Thompson Mpanji, Mbeya BAADHI ya wananchi wa Mtaa wa Gombe, Kata ya Itezi wameelezea kutoridhishwa na uamuzi uliotolewa Januari 15, 2018 katika kesi Na. 204 ya Mwaka 2016 dhidi ya mwekezaji (jina la Kampuni limehifadhiwa) inayohusu mgogoro wa ardhi iliyotolewa na Mahakama ya Ardhi ngazi ya Wilaya, mkoani Mbeya. Wamemwomba Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Wiliam Lukuvi kuingilia ...

Read More »

Uvunjaji Chako ni Chako wageuka kitanzi DODOMA

EDITHA MAJURA Imebuka sintofahamu kubwa kutokana na uvunjaji wa jengo la Chako ni Chako mjini Dodoma, baada ya kuwapo harufu ya eneo hilo kuviziwa na “wakubwa”, uchunguzi wa JAMHURI umebaini. Halmashauri ya Manispaa ya Dodoma imevunja jengo lililokuwa maarufu kwa jina la Chako ni Chako, ambalo kwa miaka mingi limekuwa likitumiwa kwa biashara ya kuuza nyama ya kuku waliochomwa – ‘Kuku choma’. ...

Read More »

Mafanikio yoyote yana sababu (11)

Na Padre Dk. Faustin Kamugisha   Shukrani ni sababu ya mafanikio. “Kama unataka kugeuza maisha yako, jaribu kushukuru. Maisha yako yatabadilika kwa kiasi kikubwa sana,” alisema Gerald Good. Ingawa tuna mioyo midogo, lakini inaweza kubeba jambo kubwa nalo ni shukrani. Hesabu mafanikio usihesabu matatizo. Hesabu baraka, usihesabu balaa. “Afadhali kupoteza hesabu wakati unahesabu baraka zako kuliko kupoteza baraka wakati unahesabu matatizo yako,” alisema ...

Read More »

Tusipuuze tamko la EU

Wiki iliyopita Umoja wa Ulaya umetoa tamko lenye kulitahadharisha taifa letu kuepuka matukio yasiyo na siha njema kwa afya ya taifa. EU wamesema wanafuatia ongezeko la matukio ya kisiasa yenye viashiria vya ukatili na vitisho Tanzania. EU kwa ushirikiano na Mabalozi wa nchi wanachama wa Umoja wa Ulaya wenye uwakilishi Tanzania na kuungwa mkono na Mwakilishi na Mabalozi wa Norwei, ...

Read More »

Wastara Kurejea Nchini Kesho Alhamisi, Hali yake Safi

Wastara Juma ambaye yupo kwenye matibabu ya mguu katika Hospitali ya Saifee nchini India imeimarika na anatarajiwa kurejea Bongo kesho Alhamisi, Machi 1, 2018. Taarifa iliyotolewa Afisa Habari, Uenezi , Mahusiano na UMMA wa Chama Cha Waigizaji Kinondoni, Masoud Kaftany imewaomba wasanii na Watanzania kwa ujumla wao wajitokeze kumpokea Wastara kesho Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, Dar.   TAARIFA KWA ...

Read More »

MAGWIJI WA SOKA WAMTAKA MZEE WENGER AACHIE NGAZI ARSENAL

Mshambuliaji wa zamani wa Arsenal Ian Wright anasema kuwa hakuna sababu za kusalia kuwa meneja baada ya msimu huu. Wright pia aliwashutumu baadhi ya wachezaji kwa kutojituma na kudai kwamba mmiliki wa klabu hiyo Stan Kroenke hajali. Arsenal imepoteza mechi sita kati ya 12 2018, ya hivi karibuni ikiwa fainali ya kombe la Carabao dhidi ya Manchester City. ‘Wenger amekuwa ...

Read More »

HUYU HAPA KAMPENI MENEJA WA DONALD TRUMP KWENYE UCHAGUZI WA 2020

Rais wa Marekani Donald Trump amemtaja meneja wa kampeni zake za urais mwaka 2020. Brad Parscale mtaalam wa mitandao, alifanya kazi katika kampeni za Trump 2016 na alisifiwa sana kwa kutumia mitandao ya kijamii vizuri jambo linalotajwa kumpa ushindi Trump. Parscale atatumika katika kampeni za uchaguzi mdogo baadae mwaka huu. Trump anasema Parscale ni mtu sahihi na amekuwa akifanya kila ...

Read More »

HIVI NDIVYO WAKENYA WALIVYOLIPOKEA KOMBE LA DUNIA

Wakenya wamejitokeza kwa wingi kulitazama na kupiga picha na Kombe la Dunia la Shirikisho la Soka Duniani (Fifa) ambalo limekuwa nchini humo kwa siku mbili. Kombe hilo linatembezwa mataifa mbalimbali kabla ya michuano ya Kombe la Dunia kuanza Juni nchini Urusi. Ni mara ya tatu kwa kombe hilo kuwa Kenya, awali ikiwa 2010 na 2013 katika ya fainali zilizofanyika Afrika ...

Read More »

Korea Kaskazini ‘inaisaidia Syria na silaha za kemikali’

Korea Kaskazini imekuwa ikiwatumia vifaa Syria ambavyo vinaweza tumika katika kutengeneza silaha za kemikali, ripoti ya chombo cha habari Marekani imesema kikinukuu ripoti kutoka Umoja wa Mataifa. Kwa mujibu wa ripoti ya UN ambayo haijatolewa, wataalam wa bakora Pyongyang wameonekana katika viwanda vya kutengenezea silaha nchini Syria, gazeti la New York Times imesema. Shutuma hizo zinakuja baada ya ripoti mpya ...

Read More »

MAJALIWA : UKIKUTWA NA MWANAFUNZI KICHOCHOLONI TUTAKUKAMATA

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema Serikali imedhamiria kuwalinda watoto wa kike na ndiyo maana tunawataka watoe taarifa za watu wanaotaka kuwakwamisha kimasomo kwa watendaji wa vijiji kwenye maeneo yao. Alitoa agizo hilo wakati akizungumza kwa nyakati tofauti na wakazi wa wilaya ya Masasi akiwa katika siku ya kwanza ya ziara yake ya kikazi mkoani Mtwara. Waziri Mkuu alisema watoto wa ...

Read More »

ESPANYOL YAISHUSHIA KIPIGO CHA BAO 1-0 DHIDI YA REAL MADRID

Real Madrid jana usiku mambo yao yamezidi kuwaendea kombo baada ya kuchezea kichapo cha bao 10 kutoka kwa Espanyol, kipigo hicho kinaifanya Real Madrid kupoeza jumla ya michezo mitano ya LaLiga msimu huu, goli pekee la Espanyol limefungwa na Gerard Moreno katika dakika ya tatu za nyongeza kabla ya game kumalizika. Ushindi huo sasa unaifanya Espanyol kufanikiwa kuviadhibu vilabu vyote ...

Read More »

Kubadili jina la kampuni

NA BASHIR YAKUB Jina la kampuni linajulikana. Ni lile jina ambalo kampuni yako inatumia kama utambulisho wake. K & Company Ltd, Sote Company Ltd n.k. Jina hili laweza kubadilishwa wakati wowote baada ya kusajili kampuni. Sheria imeruhusu jambo hili na hakuna anayekulazimisha kuendelea na jina ambalo unahisi halipendezi kwa kampuni yako. 1. Jina la kampuni hupatikanaje? Katika hatua za kuunda ...

Read More »

WIZARA ZAWEKA MKAKATI WA KUIMARISHA MUUNGANO

Wizara ya Maliasili na Utalii ya Tanzania Bara na Wizara ya Kilimo, Maliasili, Mifugo na Uvuvi ya Zanzibar zimeweka mkakati wa pamoja wa kuimarisha ushirikiano wa usimamizi wa maliasili, malikale na kuendeleza utalii kwa maslahi ya pande zote za Muungano. Hayo yameelezwa  na Katibu Mkuu, Wizara ya Maliasili na Utalii, Maj. Gen. Gaudence Milanzi baada ya mkutano wa pamoja wa ...

Read More »

WASHIRIKA WA MAENDELEO WAAHIDI KUSHIRIKIANA KWA KARIBU ZAIDI NA TANZANIA KULETA MAENDELEO

Meza Kuu ikiongozwa na Mwenyekiti wa Mkutano kati ya Serikali na Washirika wa Maendeleo ambaye pia ni Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mipango, Bw. Doto James (wa tatu kulia), kushoto kwake ni Mwenyekiti Mwenza na Mratibu wa Umoja wa Mataifa na kiongozi wa washirika hao wa Maendeleo Bw. Alvaro Rodriguez, mjini Dodoma.     Katibu Mkuu wa Wizara ...

Read More »

CHADEMA YAZIDI KUTEKETEA, MADIWANI WAKE WAWILI WAJIUNGA CCM

Madiwani wawili kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) wakiwa na makada 20 wa Vyama vya Upinzani wilaya ya Kyerwa mkoani Kagera wamekabidhi kadi zao kwa Mwenyekiti wa CCM wilaya ya Kyerwa na kuamua kuhamia ndani ya chama hicho. Madiwani hao waliohama ni Sadath Jeremiah aliyekuwa Diwani wa kata Kibale na Tulakila Twijuke aliyekuwa Diwani wa kata Bugomora na Katibu Mwenezi wa CHADEMA wilaya ya Kyerwa, ...

Read More »

MKE WA JACOB ZUMA ATEULIWA KUWA WAZIRI WA OFISI YA RAIS AFRIKA KUSINI

Rais wa Afrika Kusini Cyril Ramaphosa ametangaza baraza lake jipya la mawaziri. Waziri wa zamani wa fedha Nhlanhla Nene amerejeshwa tena katika nafasi hiyo. Nene alifukuzwa Disemba 2015 na Rais wa zamani Jacob Zuma na nafasi yake ikachukuliwa na Des van Rooyen. Palipotokea anguko la thamani ya randi alilazimika kumfukuza Rooyen na kumchagua Pravin Gordhan, siku nne baadae ambaye pia ...

Read More »
Show Buttons
Hide Buttons