Daily Archives: February 1, 2018

Breaking News: Tazama Matokeo ya Kidato Cha Nne 2017, Yapo Hapa

BARAZA la Mitihani la Taifa (NECTA), latangaza matokeo ya kidato cha nne mwaka 2017, ambapo ufaulu umepanda kwa asilimia 7.22 huku watahiniwa 265 wakifutiwa matokeo kwa udanganyifu. Orodha ya Shule 10 Bora. 1. St. Francis Girls – Mbeya 2. Feza Boys – Dar es Salaam 3. Kemoboya – Kagera 4. Bethel Sabs Girls – Iringa 5. Anwarite Girls – Kilimanjaro ...

Read More »

MZEE MAUTO: KIONGOZI LAZIMA AWE NAMNA HII

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli leo tarehe 31 Januari, 2018 amewajulia hali wagonjwa waliolazwa katika Hospitali ya Tumaini Jijini Dar es Salaam akiwemo muigizaji mkongwe nchini Mzee Amri Athuman, maarufu kwa jina la “King Majuto”. Mhe. Rais Magufuli ambaye ameongozana na Mkewe Mhe. Mama Janeth Magufuli, amewajulia hali wagonjwa waliolazwa katika wodi namba ...

Read More »

MANCHESETER UNITED YACHEZEA KICHAPO MBELE YA SANCHEZ

Wachezaji wa Tottenham wakishangilia baada ya kushinda.   Kocha wa Tottenham, Mauricio Pochettino amewasifu wachezaji  kwa kuanza mechi kwa moto mkali baada ya Christian Eriksen kufunga bao sekunde 11 pekee baada ya mechi kuanza, na kufanikiwa kulaza Manchester United 2-0 uwanjani Wembley. Bao la pili Tottenham Hotspur (4-2-3-1): Lloris 7, Trippier 7.5, Vertonghen 7, Sanchez 7, Davies 7; Dier 7, Dembele ...

Read More »

ANGALIA JINSI CHELSEA WALIVYOPOKEA KIPIGO KUTOKA KWA BOURNEMOUTH

Mabingwa watetezi Chelsea wamefungwa bao 3-0 na Bournemouth nyumbani, ushindi ambao Kocha wa Bournemouth, Eddie Howe amesema kuwa matokeo hayo ni bora zaidi kwao Ligi ya Kuu. Mabao ya Bournemouth yalifungwa na Callum Wilson, Junior Stanislas na Nathan Ake yaliwahakikishia ushindi wao wa kwanza ugenini katika mechi saba za ligi, Chelsea nao wakaondoka uwanjani na kichapo kilichofikia kipigo kikubwa zaidi walichopokezwa ...

Read More »

Balozi wa Ujerumani Tanzania ashiriki maadhimisho ya wahanga utawala wa Hitler

Balozi wa Ujerumani nchini Tanzania, Dk. Detlef Waechter akizungumza na wanafunzi walioshiriki maadhimisho ya kumbukumbu ya wahanga waliopoteza maisha katika vita vya moto vilivyotokea mwaka 1933 hadi 1945 chini ya utawala wa kidikteta wa Adolf Hitler nchini Ujerumani. Ofisa Habari wa Kituo cha Habari cha Umoja wa Mataifa (UNIC), Bi. Stella Vuzo (kushoto) akizungumza kwenye hafla ya maadhimisho ya kumbukumbu ...

Read More »

TANZIA: Mwanamuziki Mowzey Radio Afariki Dunia

Mwanamuziki wa Uganda, Moses Ssekibogo ‘Mowzey Radio’ enzi za uhai wake. MWANAMUZIKI nyota nchini Uganda, Moses Ssekibogo maarufu kama Mowzery Radio, amefariki. Habari zilizothibitishwa na familia yake na mmoja wa mameneja wake aitwaye Balaam Barugahare, kwa vyombo vya habari, zinazema Mowzery amefariki asubuhi ya leo akiwa katika Hospitali ya Case mjini Kampala. “Ndiyo, Radio amefariki asubuhi hii,” alisema Barugahare katika ...

Read More »

MKUTANO WA WAZIRI MAHIGA NA MWENYEJI WAKE WAZIRI KYUNG-HWA WA JAMHURI YA KOREA KUSINI

 Mheshimiwa Augustine Phillip Mahiga, Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki akilakiwa na mwenyeji wake Mheshimiwa Kang Kyung-hwa, Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Korea, mara baada ya kuwasili ofisini kwake kwa mazungumzo ya kikazi tarehe 31 Januari 2018.   Mheshimiwa Augustine Phillip Mahiga, Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki akilakiwa na ...

Read More »

PICHA MBALI MBALI UZINDUZI WA PASIPOTIMPAYA YA ELEKTRONIKI

                                                                                                    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John ...

Read More »
Show Buttons
Hide Buttons