Daily Archives: February 2, 2018

Patrobas Katambi:CHADEMA Imepoteza Ajenda ya Misingi ya Chama

Aliyewahi kuwa Mwenyekiti wa Baraza la vijana la Chama cha Demookrasia na Maendeleo-CHADEMA ambaye hivi karibuni alikihama chama hicho na kuhamia CCM Patrobas Katambi amejitokeza kwa mara ya kwanza na kueleza udhaifu mkubwa wa kiuongozi uliopo ndani ya vyama vya siasa hapa nchini. Akizungumza na waandishi wa habari Jijini Dar es salaam Patrobas amesema, vyama vingi vya siasa vya upinzani ...

Read More »

Mzee Kingunge Kuzikwa Jumatatu, Makaburi ya Kinondoni, Dar

MWANASIASA mkongwe nchini, Kingunge Ngombale-Mwiru anatarajiwa kuzikwa Jumatatu Februari 5, 2018 katika makaburi ya Kinondoni jijini Dar es Salaam. Mwenyekiti wa kamati ya maziko ya mwanasiasa huyo, Omary Kimbau amesema  Kingunge atazikwa saa tisa alasiri. Hata hivyo, amesema leo Ijumaa Februari 2,2018 kuwa utaratibu na mipango mingine inaendelea kufanyika. Kingunge amefariki dunia leo alfajiri akipatiwa matibabu katika Hospitali ya Taifa ...

Read More »

Wasira Atoa Ya Moyoni Kifo cha Kingunge

  Kada na mjumbe wa Mkutano Mkuu Wa CCM Steven Wasira amesikitishwa na kifo cha Kingunge Ngombale Mwiru  kwani kama Taifa alikuwa ni mtu muhimu wakati wote kutokana ushiriki na mchango wake katika nchi, akiwa ndani CCM alikuwa Kiongozi na msimamizi wa kutunga sera ndani ya chama ambazo zilikuwa zinatumika kwa kipindi chote.

Read More »

WAZIRI MHAGAMA: MUSWADA WA SHERIA YA MFUKO WA HIFADHI YA JAMII KUNUFAISHA WATUMISHI WA UMMA

. Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Watu wenye Ulemavu) Mhe. Jenista Mhagama akizungumza jambo wakati wa Mkutano wa Baraza Kuu la Taifa la Chama cha Wafanyakazi wa Serikali za Mitaa (TALGWU) uliofanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Rayal Village Dodoma Februari 01, 2018. Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia Sera, ...

Read More »

Matumizi ya Tehama Kusaidia Kupunguza Msongamano Ofisi za DC na RC

Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Mh. Joachim Wangabo amesema maboresho ya TEHAMA yanayofanywa na mhimili wa mahakama nchini utasaidia kupunguza foleni za wananchi wanaofika ofisi za Wakuu wa Wilaya na kwa Mkuu wa Mkoa kutafuta haki zao. Amesema kuwa kitendo cha mwaanchi kuweza kujua mwenendo wa kesi bila ya kufika mahakamani ni maendeleo makubwa yanayofikiwa na mhimili huo na kuwaasa ...

Read More »
Show Buttons
Hide Buttons