Daily Archives: February 4, 2018

NHIF TANGA WAENDELEA KUHAMASISHA MPANGO WA TOTO AFYA KADI KWA WAKAZI WA JIJI LA TANGA

Afisa Matekelezo wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya Mkoani Tanga (NHIF) Sophia Shabani kushoto akitoa elimu ya mpango wa Toto Afya kadi kupitia kipeperusi kwa mmoja wa wananchi waliotembelea banda lao kwenye viwanja vya Tangamano ambapo walikuwa wakihamasisha mpango wa Toto Afya kadi Afisa Matekelezo wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya Mkoani Tanga (NHIF) Sophia Shabani ...

Read More »

NAIBU WAZIRI WA MADINI BITEKO ATATUA MGOGORO WA LESENI YA MADINI ULIODUMU KWA MIAKA KUMI MKOANI SHINYANGA

Naibu Waziri wa Madini Mhe Doto Mashaka Biteko akihutubia mamia ya wachimbaji wadogo kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika katika Kijiji cha Mwazimba, Kata ya Chela, Wilayani Kahama Mkoa wa Shinyanga, Jana Februari 3, 2018. Naibu Waziri wa Madini Mhe Doto Mashaka Biteko akikagua maeneo ya uchimbaji baada ya mkutano wa hadhara uliofanyika katika Kijiji cha Mwazimba, Kata ya Chela, Wilayani Kahama Mkoa ...

Read More »

ASAS: CCM ITAWASHUGHULIKIA WATENDAJI WOTE WA SERIKALI WATAKAOKWAMISHA JUHUDI ZA RAIS DK. MAGUFULI

MJUMBE wa Halmashauri kuu  CCM Taifa (NEC ) Salim Abri amesema kuwa CCM Mkoa wa Iringa itahakikisha inamshughulikia  mtendaji yeyote wa serikali  atakayeonyesha dalili ya kukwamisha  juhudi zinazofanywa na Rais wa Jamuhuri ya muungano wa Tanzania Dr. John Pombe Magufuli. Kauli hiyo aliitoa mwishoni mwa mwiki  alipokuwa akiongea na wananchma wa CCM Manispaa ya Iringa katika maadhimisho ya miaka 41 ya kuzaliwa kwa CCM ,alisema ...

Read More »

RAIS MAGUFULI AWATAKA VIONGOZI WA DINI NA WAUMINI WAO WASIJIHUSISHE NA MIGOGORO

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli amewataka viongozi na waumini wa madhehebu ya dini nchini kujiepusha na migogoro ambayo imekuwa ikiharibu sifa na heshima ya taasisi hizo muhimu katika jamii. Mhe. Rais Magufuli ametoa wito huo leo tarehe 04 Februari, 2018 mara baada ya kuhudhuria Ibada ya kuwekwa wakfu kwa Askofu wa Tano wa ...

Read More »

RC WANGABO AAGIZA WAKAMATWE WOTE WALIOCHOMA NA KULIMA MSITU WA MALANGALI

Mkurugenzi wa Manispaa ya Sumbawanga Hamid Njovu akiwasilisha taarifa ya msitu wa Malangali uliopo Sumbawanga Mjini Kwa Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Mh. Joachim Wangabo.  Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Mh. Joachim Wangabo akitoa agizo la kukamatwa kwa waliokiuka amri ya mahakama na kufanya shughuli za kibinadamu kwenye msitu wa Malangali Mjini Sumbawanga katika Mkutano wa hadhara.    Mkuu wa mkoa wa ...

Read More »

SIMBA YASEMA , RUVU WANAKULA NYINGI

KOCHA wa Simba, Pierre Lecha-ntre ametamka kwamba hakuna chochote wanachokitaka leo kwa Ruvu Shooting  zaidi ya pointi tatu. Kocha huyo mfaransa mwenye wasaidizi wawili amesisitiza kuwa kikosi chake kiko sawa wala hana mchecheto wowote ingawa rekodi za ushindi zinamzidishia jeuri. Mchezo huo ambao utapigwa kwenye Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam, unatajwa kuwa ni wa kisasi kutokana na mchezo ...

Read More »

MCHANGO WA TSH 5000 WAMTIA MATATIZO MWALIMU MKUU WA SHULE YA SEKONDARI

RC Rukwa, Joachim Wangabo amemuagiza Mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Sumbawanga kumchukulia hatua Mkuu wa Shule ya Sekondari Muhama kwa kuwatoza wanafunzi michango ya TZS 5,000 kama gharama ya kuwapatiwa fomu za maelezo ya kujiunga na shule hiyo. Hatua hiyo amechukua baada ya kupokea taarifa ya kuwepo kwa michango shuleni hapo ikiwa Rais Magufuli alishapiga marufuku kuchangisha michango yoyote ...

Read More »

RC Wangabo Awabaini Wakwepa Kodi Atoa Siku 7 Wajirekebishe Kabla ya Msako

Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Mh. Joachim wangabo amesikitishwa na kitendo cha wafanyabiashara kutumia mbinu mbalimbali za kukwepa kulipa kodi serikalini jambo linalorudisha nyuma maendeleo, hivyo kutoa siku saba za kujirekebisha kabla ya Mamlaka ya mapato kuanza msako mkali na kuwatia nguvuni. Amesema kuwa katika kipindi cha mitatu kuanzia Oktoba hadi Disemba, 2017 Mamlaka ya Mapato Rukwa imekusanya shilingi bilioni ...

Read More »

ZITTO KABWE AWATAKA CHADMA KUSITISHA KAMPENI JIMBO LA KINONDONI

Mbunge wa Kigoma Mjini, Zitto Kabwe kupitia kwnyw kurasa wake Twitter amewataka CHADEMA kusitisha kampeni za Ubunge Jimbo la Kinondoni kwa heshima ya Mzee Kingunge Ngombali Mwiru aliyefariki juzi hospital ya Muhimbili alipolazwa baada ya kung’atwa na Mbwa wake. Zitto Kabwe amesema CHADEMA wanapaswa kusitisha Kampeni mpaka Mzee huyo atakapozikwa, mzee Kingunge alikuwa na mwanachama wa CHADEMA baada ya kukihama ...

Read More »
Show Buttons
Hide Buttons