Daily Archives: February 5, 2018

MANGE KIMAMBI AMCHEFUA SHEKHE MKUU WA DAR ES SALAAM, SASA KUKIONA CHA MOTO

SHEHE  Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Alhadi Mussa amemuonya mwanaharakati maarufu, Mange Kimambi kwa madai kuwa amemporomoshea matusi mazito baada ya kumuona mtandaoni amepiga picha na mgombea Ubunge wa Jimbo la Kinondoni kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Maulid Mtulya. Shehe Alhadi ameyasema hayo leo wakati akizungumza na wanahabari jijini Dar es Salaam na kueleza kuwa picha ...

Read More »

Dada wa Mowzey Radio Akamatwa na Polisi Uganda

  Polisi nchini Uganda wamemkamata mtuhumiwa anayehusishwa na mauaji ya mwanamuziki maarufu Mowzey Radio, aliyefariki kutokana majeraha aliyoyapata baada ya mzozo uliotokea kwenye kilabu moja ya usiku ” De Bar”, iliyopo katika mji wa Entebbe. Wakati wa mazishi yake, mama yake Jane Kasumba aliwalaani wauaji wake imeripotiwa katika magazeti ya Daily Monitor. Amenukuliwa akisema: Nimeumizwa sana, sana. Lakini kinachoniumiza zaidi ...

Read More »

VITUO VIWILI VYA TELEVISHENI YAREJEA HEWANI KENYA

Matangazo ya vituo viwili vya televesheni Kenya, KTN na NTV yamerejea hewani baada ya kufungiwa siku 7 na serikali. Lakini bado haviwezi kutazamwa na Wakenya wengi ambao hawana king’amuzi. Kupitia mtandao wao wa Twitter, NTV wamesema wamerudi hewani kwenye ving’amuzi vya “Dstv, GoTV and Zuku baada ya kufungiwa na serikali.” Stesheni ya iliyokuwa mmojawapo zilizoathirika na hatua ya serikali ,Citizen ...

Read More »

Polisi watumia gesi ya kutoa machozi kuwatawanya waandamanaji Kenya

  Polisi nchini Kenya wametumia gesi ya kutoa machozi kuwatawanya waandamanaji waliokuwa wakijaribu kuishinikiza serikali kuvifungua vyombo vitatu vya habari nchini vilivyofungiwa kupeperusha matangazo. “Hii si mara ya kwanza tumiona serikali ya Jubilee ikiangamiza haki za waandishi wa wahabari. Tumeona ikifanyika kwa muda mrefu” Tom Oketch mmojawapo wa waandalizi wa maaandamano hayo ameiambia BBC . “Hawa heshimu sheria, hawa heshumi ...

Read More »

RAIS MAGUFULI ASHIRIKI MAZIKO YA MZEE KINGUNGE NGOMBALE MWIRU

Rais dkt. Magufuli leo ameshiriki maziko ya mwanasiasa mkongwe marehemu mzee Kingunge Ngombale Mwiru katika makaburi ya Kinondoni jijini dar es salaam Mazishi hayo pia yaliuzuriwa na Marais wastafufu, Mzee Mwinyi, Mzee Mkapa na Mzee Kikwete, pamoja na Viongozi wengine wa Serikali na wa vyama vya siasa akiwepo Waziri mstaafu Lowassa na Mwenyekiti wa CHADEMA  Mh. Mbowe.  

Read More »

UZINDUA WA MUONEKANO MPYA WA GAZETI LA UHURU

 Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) Idara ya Itikadi na Uendezi Humphrey Polepole (wapili kushoto) akifurahia nakala ya gazeti la Uhuru baada ya kuzindua muonekano mpya wa gazeti hilo katika hafla iliyofanyika kwenye Ofisi za Uhuru Publications Limited UPL), mtaa wa Lumumba jijini Dar es Salaam, leo. Kushoto ni Said Nguba aliyewahi kuwa Mhariri Mtendaji wa UPL, na Wengine ...

Read More »

MAHAKAMA YAMUACHIA HURU ALIYEPEPERUSHA BENDERA YA TANZANIA BILA KIBALI

MAHAKAMA  ya Hakimu Mkazi Kisutu imemuachiwa huru mfanyabiashara Abdullah Hauga (73) aliyekuwa akikabiliwa na kesi ya uhujumu uchumi wa kupeperusha bendera ya Tanzania bila kibali. Hatua hiyo imekuja baada ya Mkurugenzi wa Mashtaka(DPP) Nolle Prosequi kuwasilisha chini ya kifungu cha sheria namba 91(1) cha mwenenendo wa makosa ya jinai kuwa hana nia ya kuendelea na mashtaka dhidi ya Hauga. Kabla ...

Read More »

MSIBA WA KINGUNGE WAWAKUTANISHA LOWASSA NA KIKWETE

RAIS Mstaafu wa Awamu ya Nne, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete na aliyekuwa Waziri Mkuu wake kabla ya kujiuzulu, Edward Ngoyai Lowassa wameungana na mamia ya waombolezaji na viongozi wengine wa nchi katika kuuaga mwili wa aliyekuwa mwanasiasa mkongwe nchini, Mzee Kingunge Ngiombale Mwiru leo jijini Dar es Salaam. Mbali na Mama Samia, Lowassa na Kikwete, viongozi wengine wengine waliohudhuria ni ...

Read More »

Zuma Agoma Kung’atuka Madarakani

Rais wa Afrika Kusini Jacob Zuma amekataa wito wa chama chake wa kujiuzulu kwa mujibu wa vyombo vya habari nchini humo. Rais huyo amekuwa anakabiliwa na shinikizo zaidi kujiuzulu kufuatia mazungumzo na maafisa wa ngazi ya juu katika chama chake cha ANC siku ya Jumapili. Haijafichuliwa mazungumzo hayo yalihusu nini . Bw Zuma aliyefungwa gerezani baada ya kuhsiriki katika vita ...

Read More »

Mwanasheria Mkuu wa Serikali Aapishwa Rasmi Bungeni

NAIBU Spika wa Bunge, Dkt.  Tulia Ackson amemwapisha Mmwanasheria Mkuu wa Serikali (AG), Dkt. Adelardus Kilangi bungeni na kumkabidhia vitendea kazi kabla ya kuanza kwa Kikao cha Tano cha Mkutano wa 11 wa Bunge, Mjini Dodoma, leo Feb 5, 2018. Dkt. Kilangi ambaye amekula kiapo cha uaminifu, aliteuliwa na Rais Dkt. John Pombe Mgufuli,  Februari Mosi, 2018 na Paul Ngwembe aliteuliwa ...

Read More »

MGOMBEA UDIWANI WA CHADEMA APOTEA KIMIUJIZA, MKOANI KAGERA

Kampeni za ubunge na udiwani zikiendelea, mgombea udiwani (Chadema) Kata ya Buhangaza wilayani Muleba amepotea katika mazingira ya kutatanisha. Imeelezwa alipotea februari 2, 2018 alipokuwa akitokea Bukoba Mjini kwenda nyumbani kwake Kijiji cha Buhangaza ikidaiwa ametekwa. Kaimu Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kagera, Isack Msangi amethibitisha kupokea taarifa za kupotea kwa mgombea huyo. Amesema kuwa hawana madai kuwa ametekwa bali ...

Read More »

CHADEMA YATANGAZA KUSITISHA KAMPENI ZA UCHAGUZI WA WABUNGE

Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe ametangaza kusitishwa kwa kampeni zauchaguzi wa Wabunge wa  chama hicho zinazoendelea, ili kushiriki maziko ya Mzee Kingunge Ngombale Mwiru. Mzee Kingunge alifariki juzi kwenye Hospitali ya Muhimbili alipokuwa amelazwa kwa majeraha ya kung’atwa na mbwa wake nyumbani kwake. Mzee Kingunge anazikwa leo Februari 5, katika makaburi ya Kinondoni Jijini Dar es Salaam.

Read More »

MOROCCO BINGWA KOMBE LA CHAN 2018, WAITANDIKA NIGERIA BAKORA 4-0

Michuano ya kombe la Afrika kwa wachezaji wa Ligi za Ndani ( CHAN) imehitimishwa Jumapili kwa ushindi wa wenyeji Morocco waliofanikiwa kulinyanyua taji la michuano hiyo kufuatia ushindi wa mabao 4-0 dhidi ya Nigeria. Mchezaji wa Morocco Zakaria Hadraf alifanikiwa kupachika wavuni bao la kwanza muda mfupi kabla ya kipindi cha mapumziko huku mchezaji wa Nigeria Peter Eneji Moses akitimuliwa ...

Read More »

Ratiba ya Mazishi ya Mzee Kingunge Hii Hapa

Mzee Kingunge Ngombale Mwiru enzi za uhai wake. RATIBA  ya mazishi ya aliyekuwa mwanasiasa mkongwe, Kingunge Ngombale Mwiru, iliyotolewa na familia yake jana inaonyesha atazikwa leo Jumatatu katika shughuli itakayoanza saa 9:30 hadi 11:30 katika makaburi ya Kinondoni, jijini Dar es Salaam. Taarifa hiyo iliyotolewa na mwenyekiti wa kamati maalum ya shughuli hiyo, Omary Kimbau, inaonyesha kwamba mwili wa marehemu ...

Read More »

Jacob Zuma Ashinikizwa Kung’atuka Madarakani

Rais wa Afrika kusini anakabiliwa na shinikizo zaidi kujiuzulu kufuatia mazungumzo na maafisa wa ngazi ya juu katika chama chake cha ANC sikuya Jumapili. Haijafichuliwa mazungumzo hayo yalihusu nini lakini viongozi katika chama hicho wanatarajiwa kufanya mkutano wa dharura hii leo Jumatatu. Cyril Ramaphosa aliichukuwa nafasi ya kiongozi wa chama cha ANC kutoka kwa Zuma, anayekabiliwa na tuhuma za rushwa. ...

Read More »

Raia wa Syria Waandamana kupinga Mashambulio ya Uturuki

Maelfu ya watu katika mji uliodhibitiwa na wakurdi Afrin, kakazini mwa Syria wamefanya maandamano kupinga mashambulizi yanaoendeshwa na Uturuki. Uongozi wa ndani wa eneo hilo, wametoa tamko kwa mataifa ya nje kusaidia kusimamisha mapigano hayo, na wameishutumu Urusi kuhusika na yanayoendelea eneo hilo. Ngoma zikipigwa, huku wakibeba mabango yenye ujumbe, waandamani hao wanaonesha hasira walizonazo juu ya kitendo cha uturuki ...

Read More »
Show Buttons
Hide Buttons