Daily Archives: February 6, 2018

SERIKALI YAIPA BIG UP HOSPITALI HUBERT KAIRUKI KWA UJENZI JENGO LA KISASA

Mganga Mkuu wa Manispaa ya Kinodnoni, Dkt. Festo Dugange (kwanza) na  Mama Kokushubira Kairuki ambaye ni mke wa Marehemu Hubert Kairuki (wa pili)  wakiangalia ramani ya ujenzi wa kituo cha kisasa cha kuwasaidia watu wenye matatizo ya kupata ujauzito kwa njia ya kawaida kinachotarajiwa kujengwa na Hospitali ya Hubert Kairuki hivi karibuni Bunju jijini Dar es Salaam.    Serikali imetoa ...

Read More »

Moto Wateketeza Maduka Mbagala

Moto umelipuka na kuteketeza maduka zaidi ya 10 katika maeneo ya Mbagala -Rangi Tatu, Raound About ya kuelekea Charambe, mchana huu. Taarifa za awali zinaeleza kuwa chanzo cha moto huo ni hitilafu ya umeme. Juhudi za kuuzima moto huo na kuokoa mali sambamba na kuzuia usisambae kwenye maduka mengine zinaendelea.

Read More »

KUNA MAMBO PAUL MAKONDA ANAPATIA

Naungana na Watanzania wote kutoa pole kwa familia ya Komredi Kingunge Ngombale-Mwiru, kutokana na kifo cha mwamba huo wa siasa katika Taifa letu. Mzee Kingunge atakumbukwa kwa umahiri wake wa kujenga hoja na weledi aliojaaliwa na Mwenyezi Mungu, hata akaweza kuwa lulu na moja ya injini muhimu katika ustawi wa Taifa letu. Bahati mbaya watu wa aina yake wanapofariki dunia ...

Read More »

Siku Afrika ikiwa kama Marekani itakuwaje?

Na Deodatus Balile   Kwa muda sasa nafuatilia siasa za Afrika na sehemu nyngine duniani. Leo nitajadili mataifa mawili; Marekani na Kenya. Nafuatilia kinachoendelea nchini Marekani. Nafuatilia kinachoendelea nchini Kenya. Narejea misingi ya uhuru wa mawazo na uhuru wa vyombo vya habari. Nchini Marekani tangu umalizike uchaguzi mkuu wa Novemba, 2016, Rais aliyeshinda, Donald Trump amekuwa kwenye chetezo. Kutokana na ...

Read More »

Aliyekamatwa na Mabilioni Airtport Aachiwa Huru

Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, imemuachia huru na kumrudishia fedha zake, Winfred Busige (33), raia wa Uganda aliyekamatwa akisafirisha fedha kiasi cha TZS bilioni 2, katika uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JKNIA), baada ya kulipa faini ya TZS milioni 100.

Read More »

Joshua Nassari Apandishwa Kortini kwa Kumpiga Diwani

Mbunge wa Arumeru Mashariki kwa tiketi ya CHADEMA, Joshua Nassari leo Februari 6, 2018 amefikishwa katika Mahakama ya Wilaya ya Arumeru kusomewa shitaka linalomkabili. Katika kesi hiyo, Nassari anakabiliwa na tuhuma za kumshambulia na kumsababishia maumivu kwa aliyekuwa Mtendaji wa Kata ya Makiba mwaka 2014, Neema Ngudu. Aidha, Nassari ameachiwa kwa dhamna na kesi hiyo kuahirishwa hadi Machi 6, itakapotajwa ...

Read More »

Mahakama Yaagiza Nabii Titto Apime Upya Akili

MAHAKAMA ya Wilaya ya Dodoma imeagiza mkazi wa mtaa wa Ng’ong’ona Manispaa ya Dodoma Tito Machibya, maarufu kama ‘Nabii Tito’ (45) kupimwa akili upya katika Taasisi ya Afya ya Akili ya Mirembe Isanga mkoani Dodoma ili kuriridhisha kama ana matatizo ya akili. Licha ya kuagizwa mtuhumiwa huyo kufanyiwa vipimo upya, mahakama pia imetaka kuwasilishwa kwa vielelezo kama kweli ana tatizo hilo kama ...

Read More »

Rasilimali za Tanzania na Umaskini wa Watanzania

Na William BHOKE Mwanza   Mjadala huu ninaoenda kuuzungumza ni mtazamo na maoni yangu. Nitashukuru kama mjadala huu utagonganisha fikra na mitazamo ya Watanzania wengi. Binafsi ninaamini falsafa ya mgongano wa kifkra kwani unazaa mawazo mapya na ambayo hayakuwapo. Mwezi Agosti 386 akiwa katika bustani, mwanateolojia mashuhuri wa Kanisa Katoliki, Agustino, alisikia sauti ikimwambia, “twaa na usome, twaa na usome.’’ ...

Read More »

‘BUNDI’ WA MGOGORO WA ARDHI ATUA ARUSHA

Na Charles Ndagulla, Arusha Halmashauri ya Jiji la Arusha imezidi kuandamwa na tuhuma za ugawaji holela wa ardhi inayomilikiwa na watu wengine, hivyo kuzidisha kero na malalamiko kutoka kwa wananchi. Hali hiyo imebainika ikiwa ni takribani wiki moja baada ya gazeti hili kuandika mkanganyiko wa umiliki wa kiwanja kilichopo kitalu ‘J’ namba 116, eneo la Njiro. Mgogoro huo unawahusisha watu ...

Read More »

TLS: WANASHERIA HATUOGOPI MABADILIKO

Na Mwandishi Wetu Napenda nianze hotuba yangu kwa kuishukuru Mahakama kwa kuweka misingi ya kudumu katika kuadhimisha wiki ya sheria kila mwaka, kwa kufanya ufunguzi rasmi wa shughuli za Mahakama. Sisi mawakili na wanasheria ni wadau muhimu katika mchakato wa utoaji wa haki, tunaiona wiki hii kuwa ni fursa muhimu ya kuwafahamisha wananchi juu ya misingi ya utoaji haki kupitia ...

Read More »

Msimamo wa AG Mpya Kuhusu Makinikia

Andiko hili ni la Mwanassheria Mkuu wa Serikali (AG), Dk. Adelardus Kilangi. Aliliandika mwaka jana akiwa Mkurugenzi wa Chuo Kikuu cha Mtakatifu Augustine, Tawi la Arusha. Dk. Kilangi kitaaluma ni mwanasheria ambaye miongoni mwa maeneo aliyobobea ni kwenye sheria za madini. Aliandika makala hii ukiwa ni mtazamo wake binafsi akichangia kwenye mjadala wa makinikia baada ya kuwasilishwa kwa ripoti ya ...

Read More »

Kwaheri Kamanda Mlay

KANALI TUMANIEL NDETICHIA MLAY (1942 – 2018)   Nilipata mshituko mkubwa na kushikwa na majonzi pale niliposikia katika simu yangu ya kiganja, Kanali Lameck Meena akisema, “Jambo Sir, umesikia habari za kifo cha Kanali Mlay Sir?” Nilimjibu kwa mshangao, “We Meena ati nini? Nani kafariki?” Ndipo Kanali Meena akarejea kuniarifu kuwa Kanali Mlay amefariki dunia usiku, nyumbani kwake Moshi. Hii ...

Read More »

DALILI ZA SHAMBULIO LA MOYO

Kinga ni bora kuliko tiba. Mara nyingi magonjwa mengi yanahatarisha afya zetu kwa kutoziweka maanani dalili zake. Bila shaka makala hii leo itakusaidia katika kuzitambua dalili zinazoashiria shambulio la moyo na kuwahi kuwaona wahudumu wa afya. Uchovu usio wa kawaida Uchovu usio wa kawaida ni moja ya dalili kuu zinazoashiria kuwa mtu yupo hatarini kupata shambulio la moyo. Dalili hii mara ...

Read More »

TUNDU LISSU AZUNGUMZA NA MAOFISA WA MAKAO MAKUU WA UMOJA WA ULAYA (EU)

Kupitia kwenye ukurasa wake wa Instagram Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu amesema jana alitembeleawa na Maofisa watatu kutoka Makao Makuu ya Jumuiya ya Ulaya (EU) kwa ajili ya kumjulia hali na kuzungumza naye juu ya masuala mbali mbali yanayoihusu Tanzania. Tundu Lissu amesema kuwa Ujumbe wa EU umeongozwa na Mkuu wa Idara ya Pembe ya Afrika na Afrika Mashariki ...

Read More »

WATFORD YAISHUSHIA KIPIGO CHA PAKA MWIZI CHELSEA, YAIKUNG’UTA GOLI 4-1

Watford ilifunga mabao matatu ya dakika za lala salama kushinda mechi ya kwanza ya mkufunzi Javi Gracia dhidi ya Chelsea ,ushindi unaompatia shinikizo kali mwenzake wa Chelsea Antonio Conte. Chelsea ilicheza takriban saa moja ikiwa na wachezaji 10 baada ya Tiemoue Bakayoko kupewa kadi nyekundu baada ya kucheza visivyo hatua ilioipatia Watford fursa ya kufunga mabao manne. The Hornets ambao ...

Read More »

WANANCHI WATAKIWA KUTOA USHIRIKIANO KATIKA UTAFITI WA MAPATO,MATUMIZI KWA KILA KAYA GEITA

Mkuu wa mkoa Geita ,mhandisi Robert Luhumbi kushoto akiwa na Mtakwimu Mwandamizi kutoka Ofisi ya Taifa ya Takwimu, Douglas Masanja akizungumza na waandishi wa habari kuhusu utafiti wa mapato na matumizi ya Kaya binafisi Tanzania Bara wa mwaka 2017/18.  Katibu tawala wa Mkoa wa Geita,Celestine Gesimba akimkaribisha mkuu wa mkoa kuzungumza na waandishi wa habari juu ya utafiti wa mapato ...

Read More »

Yasome Hapa Magazeti ya Leo Jumanne Februari 6, 2018

Kama upo mbali na meza za magazeti mtaani kwako basi husipitwe na kilichoandikwa kwenye magazeti ya leo Jumanne Februari,6, 2018 nimekuekea hapa BOFYA HAPA KUSOMA GAZETI LOTE LA JAMHURI  LA WIKI HII TAREHE 06- 12/FEBRUAR 2018

Read More »
Show Buttons
Hide Buttons