Full Time Simba vs Azam (1-0)

Dakika ya 3: Simba wanapata kona ya pili Dakika ya 4: azam wanakosa goli mpira wa kichwa unatoka juu ya lango la Simba Dakika ya 6: Ofside upande wa simba mchezaji wa Azam emezidi Dakika ya 8: mabao bado 0-0, Mpira ni mkali sana mpenzi mfuatiliaji Dakika ya 11: Simba wanacheza faulo na mpira unapigwa…

Read More

HALMASHAURI YA WILAYA YA KISHAPU INAVYOBORESHA HUDUMA ZA ELIMU KUPITIA USHIRIKISHAJI WA NGUVU ZA WANANCHI

 Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya Wilaya ya Kishapu, Stephen Magoiga (kushoto) akiwa na wataalamu Afisa Mipango, Mang’era Mang’era na Afisa Elimu Msingi Wilaya, Sostenes Mbwilo wakipata maelezo kutoka kwa Afisa Elimu Ufundi, Moshi Balele kuhusu hatua za ujenzi wa chumba cha darasa shule ya msingi Migunga unajengwa pia kupitia nguvu za wananchi.  Mradi wa vyoo vya…

Read More

WAVURUGA ELIMU KONDOA WAMKERA MKUU WA WILAYA

Mkuu wa Shule ya Sekondari Kwapakacha Mwalimu Pantaleo akisoma barua katika kikao cha wadau wa elimu iliyoandikwa na mwanafunzi wa kidato cha pili akielezea sababu za kutaka kuacha shule.   Mwenyekiti wa Halmashauri ya Mji Kondoa akimwelekeza Mwalimu Mkuu wa Shule ya Msingi Tungufu kupandisha ufaulu baada ya kupokea cheti cha shule yenye ufaulu duni…

Read More

JESHI LA ZIMAMOTO ARUSHA LAMUUNGA MKONO MAGUFULI

Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Mkoani Arusha limemkabidhi vifaa vya kuzimia moto (fire extenguisher’s) sita mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mrisho Gambo kwa niaba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli kwa ajili ya nyumba za polisi zilizojengwa mkoani humo. Akikabidhi vifaa hivyo kamanda wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji…

Read More

SIMBA VS AZAM LEO MTOTO ATUMWI DUKANI

ITAKUWA ni vita kali ndani ya Uwanja wa Taifa leo Jumatano saa 10.00 jioni, pale Vinara wa Ligi Kuu barra, Simba SC, itakapokuwa ikipambana na Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati, Azam FC  kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara (VPL). Utamu na ukali wa mchezo huo unaongezwa kutokana na kuhusisha timu…

Read More