Daily Archives: February 9, 2018

Tangazo la Nafasi za Kazi Mamlaka ya Anga Tanzania

The Tanzania Civil Aviation Authority (TCAA) was established to regulate the civil aviation industry to ensure effective implementation of Standards and Recommended Practices (SARPs) as provided in the Annexes to the Chicago Convention on the International Civil Aviation Organization (ICAO) and secure a safe and secure civil aviation environment in the United Republic of Tanzania. To meet this mandate of ...

Read More »

TUNDU LISSU: “LEMUTUZ HUSILAZIMISHE URAFIKI USIOKUWEPO”

Kwenye ukurasa wake wa Instagram Mbunge wa Singida Kaskazi, Tundu Lissu amemtolea povu Lemutuz. Tundu lissu alisema haya “Leo (Jana) nimeonyeshwa post iliyopo kwenye Instagram account ya William Malecela aka Lemutuz. Kwenye post yake, Lemutuz amedai kwamba mimi ni rafiki yake mkubwa na wa miaka mingi, kabla vijana wengi wanaopiga makelele mitandaoni hawajazaliwa. Lemutuz ameeleza kwamba mwaka 2010 alinipokea Uwanja ...

Read More »

CCM, CUF, CHADEMA WASHINDANA KUTOA AHADI KWA WAPIGA KURA WAO

Ni vuta nikuvute. Ndivyo unavyoweza kuelezea kile kinachoendelea katika kampeni za uchaguzi mdogo wa ubunge wa Kinondoni na Siha kwa wagombea wa CUF, CCM na CHADEMA kuchuana kuwania uwakilishi wa wananchi. Katika mikutano iliyofanyika jana kwenye maeneo tofauti, wagombea hao waliendelea kumwaga ahadi ili kuwashawishi wananchi wawachague katika uchaguzi utakaofanyika Februari 17. Hata hivyo, jana mgombea wa Chadema Jimbo la ...

Read More »

MBUNGE WA CHADEMA AKERWA NA BUNGE KUTOGHARAMIA MATIBABU YA TUNDU LISSU

Mbunge wa Arusha Mjini (Chadema), Godbless Lema amehoji sababu za Bunge kutogharamia matibabu ya Tundu Lissu aliyepo nchini Ubelgiji tangu Januari 7, 2018 akipatiwa tiba ya mazoezi. Lema ametoa kauli hiyo Jana Februari 8, 2018 bungeni mjini Dodoma wakati akichangia taarifa za utekelezaji wa shughuli za kamati za Bunge za Utawala na Serikali za Mitaa, Katiba na Sheria na Sheria ...

Read More »

‘KIBAJAJI’ ALIVYOWASHA MOTO MAGOMENI AKIMNADI MTULIA

Mbunge wa Mtera ambaye pia ni Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya CCM Livinstone Lusinde ‘Kibajaj’, akimnadi kwa wananchi mgombea wa CCM katika Uchaguzi Mdogo wa Ubunge Jimbo la Kinondoni Said Mohamed Mtulia, katika mkutano wa kampeni uliofanyika jana katika Mtaa wa Idrisa, Magomeni jijini Dar es Salaam. Mbunge wa Mtera ambaye pia ni Mjumbe wa Halmashauri Kuu ...

Read More »

Wenger: Wachezaji wa Uingereza ni ‘mabingwa’ wa kujiangusha uwanjani

Kocha wa klabu ya Arsenal, Arsene Wenger amelalamika kwamba wachezaji wa Uingereza wamekuwa na tabia ya kujirusha na kutengeneza adhabu. Amesema mchezaji wa Tottenham Dele Alli alifanya kitendo hicho kwenye mchezo wa jumapili huko Liverpool na kusababisha mwamuzi kutoa adhabu ya penalti. Mchezaji mwingine ambaye anatuhumiwa kufanya kitendo hicho ni Harry Kane, alifanya hivyo kwa mchezaji Virgil van Dijk wa ...

Read More »

Alexis Sanchez Atupwa Jela Miezi 16 Kwa Kukwepa Kodi

Mchezaji mpya wa klabu ya Manchester United Alexis Sanchez amehukumiwa jela miezi 16 kutokana na kosa la kukwepa kulipa kodi. Hukumu hiyo imetolewa jana ,Sanchez anadaiwa kukwepa kulipa kodi wakati alipokuwa nchini Uhispania ambapo mamlaka nchini humo zinasema anadaiwa kiasi cha pauni laki tisa. Kwa mujibu wa sheria za Hispania, hukumu ya kosa hilo haizidi miaka miwili jela, lakini badala ...

Read More »

Magaidi Wawili Hatari wa IS Wakamatwa

  Taarifa zinasema kuwa raia wawili wa Uingereza wanaodhaniwa kuwa wanachama wa kikundi cha wapiganaji wa Kiislam cha IS wanashikiliwa na kundi la wapigaji wa Kikurd. Alexanda Kotey mwenye umri wa miaka 34 na mwenzake El Shafee Elsheikh mwenye miaka 29 ni miongoni mwa vijana wawili waliokuwa wanasakwa kati ya wenzao ambao walikwisha kukamatwa. Kundi hili la vijana wanne kutoka ...

Read More »

UNICEF YATOA MSAADA WA LAPTOP 200 KWA WIZARA YA AFYA ZANZIBAR

Waziri wa Afya wa Zanzibar Mahmoud Thabit Kombo kushoto na akikabidhiwa Msaada wa Laptop 200 zenye thamani ya zaidi ya Shil.Millioni 400 kutoka kwa Mwakilishi wa UNICEF Zanzibar Francesca Morandin ili kuimarisha usimamizi wa mfumo wa taarifa za Afya kwa wizara hiyo. Picha na Abdallah Omar-Maelezo Zanzibar     Mwakilishi wa UNICEF Zanzibar Francesca Morandin akizungumza katika hafla ya makabidhiano ...

Read More »

KANGI LUGOLA ASIKITISHWA NA UTENDAJI WA DUWASA

Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais Mh. Kangi Lugola akisalimiana na Uongozi wa Mamlaka ya maji Safi na usafi wa Mazingira mjini Dodoma (DUWASA) alipofanya ziara ya kutembelea Ofisi hizo mjini Dodoma. Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais Mh. Kangi Lugola akifafanua jambo alipokua akiongea na Wafanyakazi wa Mamlaka ya maji Safi na usafi wa Mazingira mjini Dodoma ...

Read More »
Show Buttons
Hide Buttons