Daily Archives: February 10, 2018

TOTTENHUM SPURS YAITANDIKA ARSENAL KWA BAO 1 -0

Mchezo huo ulikuwa wa vuta ni kuvute, kipindi cha kwanza kinamalizika timu hizo zilishindwa kufungana, katika dakika ya 49 mshambuliaji wa spurs Harry Kane aliwainua mashibiki wake vitini baada ya kuunganisha kwa kichwa krosi iliyopigwa na Ben Davies na kuiandika Spurs bao la kuongoza  na likadumu mpaka filimbi ya mwisho ya mchezo. Kwa matokeo hayo spurs imepaa mpaka nafasi ya ...

Read More »

FULL TIME YANGA SC VS ST LOUS (1-0)

Dakika ya 8: Mabao  0 -0 Dakika ya 12: Yanga wanapata kona Dakika ya 15: Milango bado migumu Yanga 0- St Lous 0 Dakika ya 16: Buswita anapiga shuti linatoka  nje ya lango Dakika ya 20: Penaaaaaati, Yanga wanapata penati, Hasani Kessy anaangushwa ndani ya 18 Dakika ya 22: Chirwa  anakosa penati, anapiga mpira unatoka nje Dakika ya 24: Faulo ...

Read More »

LEO NI LONDON DERBY, TOTENHUM VS ARSENAL

Mahasimu wa kubwa kutoka jiji la London, Totenhum Spurs na Arsenal leo wanakuta kwenye mchezo wa Ligi kuu Uingereza, Totenhum watakuwa nyumbani ikiwakaribisha Arsenal majira ya saa 9: 30 mchana. Mchezo huo unaonekana kuwa mgumu kwa timu zote mbili licha ya Totenhum kupewa nafasi kubwa ya Kuibuka na ushindi katika Mchezo huo kutokana na Spurs msimu huu kuwa fit katika ...

Read More »

YANGA KUANZA MBIO ZA KLABU BINGWA AFRIKA LEO TAIFA

Yanga SC leo wanatupa kete yao ya kwanza katika michuano ya Ligi Mabingwa Afrika watakapomenyana na Saint Louis Suns United ya Shelisheli katika mchezo wa kwanza wa Raundi ya Kwanza jioni ya leo Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Mchezo huo unatarajia kuwa mwepesi kwa upande wa Yanga kutokana na timu ya St Louis haina uzoefu wowote katika michezo ya ...

Read More »

Hawa Hapa wajumbe wa Baraza la Michezo la Taifa Walioteuliwa na Mwakyembe

Waziri wa Habari , Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Harrison G. Mwakyembe (Mb) kwa mujibu wa Sheria ya Baraza la Michezo la Taifa (BMT) ya mwaka 1967 pamoja na marekebisho yake ikisomwa na muundo wa shughuli za Baraza (Provisions of the Schedule to the Act), amemteua Bw. Leodger Chilla Tenga kuwa Mwenyekiti wa Baraza la Michezo la Taifa. Dkt. Mwakyembe ...

Read More »

Tambwe Hiza kuzikwa Leoa, Makaburi ya Chang’ombe, Temeke, Dar es Salaam

MWILI wa Mwanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Richard Tamilway maarufu kwa jina la ‘Tambwe’ aliyefariki dunia juzi asubuhi nyumbani kwake Mbagala Kizuiani, unatarajiwa kuzikwa leo Jumamosi katika Makaburi ya Temeke Chang’ombe jijini Dar es Salaam. Kaka wa marehemu aitwaye Charles Tamilway amesema kuwa taratibu za kuuhifadhi mwili wa kaka yake katika nyumba yake ya milele zipo zimekamilika ...

Read More »

SHEREHE YA MWAKA MPYA YA MABALOZI WA TANZANIA ALIYOIANDAA RAIS MAGUFULI

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na kuwakaribisha Mabalozi mbalimbali Ikulu jijini Dar es Salaam Ijumaa jioni Februari 9, 2018 kabla ya kuanza kwa hafla ya kukaribisha mwaka mpya kwa Mabalozi hao.  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na kuwakaribisha Mabalozi mbalimbali Ikulu jijini Dar es Salaam Ijumaa ...

Read More »
Show Buttons
Hide Buttons