SIMBA SC YAREJEA KIMATAIFA KWA KISHINDO, YAIBEBESHA FURUSHI LA MAGOLI GENDERMARIE YA DJIBOUTI
SIMBA SC imeanza vyema michuano ya Kombe la Shirikisho Afrika baada ya ushindi wa mabao 4-0 dhidi ya Gendarmarie Tnare kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. Magoli ya Simba yalifungwa na kiungo Said Hamisi Ndemla, Nahodha na mshambuliaji John Raphael Bocco na mshasmbulaiji Mganda, Emmanuel Arnold Okwi. Kwa ushindi huo Simba itakuwa na…