Chadema yahofia wapiga kura wachache
NA WAANDISHI WETU Takribani siku nne kabla ya kufanyika uchaguzi mdogo katika majimbo ya Kinondoni jijini Dar es Salaam na Siha mkoani Kilimanjaro, hofu ya kujitokeza wapiga kura wachache imeibuka kwa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHDEMA). Mgombea ubunge katika jimbo la Kinondoni (Chadema), Salum Mwalimu, amesema hofu hiyo inatokana na matukio yaliyoibua dhana ya…