BAADHI YA WAZANZIBAR WAPAMBANA KUUVUNJA MUUNGANO WA TANZANIA NA TANZANIA BARA

  Kundi la wanaharakati lenye wafuasi zaidi ya elfu arobaini kutoka visiwani Zanzibar wamefungua kesi katika mahamaka ya Afrika Mashariki wakitaka Muungano wa Tanzania Bara na Zanzibar uvunjwe kwa madai kwamba hauna uhalali. Rashid Salum Adiy ambae ni mmoja wa wanaharakati waliofungua kesi hiyo, amesema kwamba, wamekwenda katika mahakama hiyo ya Afrika Mashariki baada ya…

Read More

FULL TIME MWADUI FC VS SIMBA SC(2-2)

Refa anapuliza filimbi kuanshilia mtanange unaanza na Mwadui  ndio wanaanza mpira. Dakika ya 1:  simba wanarusha mpira. Dakika ya 8 : faulo kuelekea lango la mwadui Dakika ya 9: Goooooooooooo Boko anawanyanyua mashabiki vitini, simba 1 Dakika ya 11: Simba wamecharuka, wanapata Kona shuti kali mlinda mlango anapangua na mpira unakuwa kona Dakika ya 17:…

Read More