Matokeo ya Uchaguzi Siha Kutoka Vituo Mbalimbali

MATOKEO ya awali ya uchaguzi wa ubunge Jimbo la Siha  yameanza kubandikwa nje ya vituo vya kupigia kura yakionyesha mgombea wa CCM, Dk Godwin Mollel akiongoza kwa mbali katika baadhi ya vituo.   Katika matokeo hayo, Dk Mollel  anafuatiwa kwa mbali  na mgombea wa Chadema, Alvis Mossi huku wa CUF,  Tumsifuel Mwanri  akishika nafasi ya tatu…

Read More

MKIKITA WATEMBELEA CHUO CHA KILIMO CANRE NA KUTOA MAFUNZO YA KILIMO BIASHARA

 Uongozi wa Mtandao wa Kijani Kibichi Tanzania ukitembelea bwawa linatumiwa kufundishia wanafunzi ufugaji wa samaki katika Chuo cha Kilimo, Mifugo na Maliasili (Canre), kilichopo Bonyokwa nje kidogo ya Jiji la Dar es Salaam. Anaye waongoza ni Mkuu wa Chuo hicho, Sylvester Nakara. Mkurugenzi Mtendaji wa Myandao wa Kijani Kibichi Tanzania, Adam Nagamange akionesha kitabu alichotunga…

Read More