WAZIRI JAFO ATEMBELEA JIMBONI KWAKE AJIONEA KERO ZINAZOWAKABILI WAPIGA KURA WAKE
Waziri wa nchi ofisi ya Rais TAMISEMI Seleman Jafo akizungumza na baadhi ya walimu wa shule ya sekondari Makulunge iliyopo kata ya kiluvuya katika halmashauri ya Wilaya ya Kisarawe,Mkoa wa Pwani alipofanya ziara yake ya kikazi kwa ajili ya kutembelea shule na kusikiliza changamoto mbali mbali zinazowakabili. Waziri wan chi Ofisi ya Rais TAMISEMI Seleman…