MAENDELEO NI KAZI 11

Wiki iliyopita katika maandiko ya Mwalimu tuliona katika kitabu cha “Maendeleo ni Kazi”chama kimetoa maagizo ambayo yanatakiwa kutekelezwa na uongozi. Tuendelee Elimu ya watu wazima. Elimu ya watu wazima ni shughuli nyingine ambayo chama kimeshughulikia kutokana na agizo la mkutano Mkuu la kufuta ujinga katika muda wa miaka minne, yaani kwenye mwaka 1975. Chama kimehimiza…

Read More

Musoma Vijijini inateketea (2)

Na Dk. Felician Kilahama Sehemu ya kwanza, mwandishi wa makala hii, Dk. Felician Kilahama, alisema amekuwa akizungumza na viongozi mbalimbali katika vijiji alivyotembelea, lakini cha kushanganza hakuwahi kubahatika kukutana na viongozi wa vijiji wenye upeo mzuri na uelewa wa kutosha juu ya thamani na umuhimu wa rasilimali ardhi kwenye vijiji vyao. Ifuatayo ni sehemu ya…

Read More

Akwilina awe Balozi wa amani

Ijumaa ya Februari 16, mwaka 2017 imekuwa siku ya majonzi kwa taifa letu. Mwanafunzi wa mwaka wa kwanza wa Chuo cha Taifa cha Usafirishaji (NIT), Akwiilina B. Akwilini ameuawa kwa kupigwa risasi akiwa kwenye daladala, wakati polisi wanapambana na waandamanaji wa Chadema. Wiki iliyopita nimeandika makala nikitahadharisha juu ya mwenendo wa askari polisi kutumia nguvu…

Read More

Mbeya walalamika kuporwa ardhi

Na Thompson Mpanji, Mbeya BAADHI ya wananchi wa Mtaa wa Gombe, Kata ya Itezi wameelezea kutoridhishwa na uamuzi uliotolewa Januari 15, 2018 katika kesi Na. 204 ya Mwaka 2016 dhidi ya mwekezaji (jina la Kampuni limehifadhiwa) inayohusu mgogoro wa ardhi iliyotolewa na Mahakama ya Ardhi ngazi ya Wilaya, mkoani Mbeya. Wamemwomba Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo…

Read More