CHADEMA YAZIDI KUTEKETEA, MADIWANI WAKE WAWILI WAJIUNGA CCM

Madiwani wawili kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) wakiwa na makada 20 wa Vyama vya Upinzani wilaya ya Kyerwa mkoani Kagera wamekabidhi kadi zao kwa Mwenyekiti wa CCM wilaya ya Kyerwa na kuamua kuhamia ndani ya chama hicho. Madiwani hao waliohama ni Sadath Jeremiah aliyekuwa Diwani wa kata Kibale na Tulakila Twijuke aliyekuwa Diwani wa kata Bugomora na Katibu Mwenezi…

Read More