Daily Archives: March 2, 2018

ZITTO KABWE APATA PIGO WANACHAMA WAKE ACT-WAZALENDO WAAMIA CCM

VIONGOZI kadhaa wa chama cha ACT Wazalendo na wanachama wao wametangaza kukihama chama hicho na kujiunga na Chama Cha Mapinduzi (CCM) leo Ijumaa, Machi 2, 2018. Akizungumza na wanahabari jijini Dar wakati wa kutoa maamuzi hayo, Katibu wa ACT Wazalendo Mkoa wa Dar es Salaam, Ernest Theonest Kalumuna,  amesema yeye na Katibu wa ACT Jimbo la Ubungo na wanachama wao wengine ...

Read More »

LAS PALMAS YAIDINDIA BARCELONA, YATOKA NAYO SARE YA 1-1

Barcelona imebanwa mbavu katika harakati zake za kuendelea kujivunia alama za kukalia kilele cha msimamo wa Ligi Kuu Spain, baada ya kulazimishwa sare ya bao 1-1 dhidi ya Las palmas. Barcelona ambao walikuwa ugenini, walianza kupata bao la kwanza kwa njia ya mpira wa faulo kupitia Lionel Messi (21′), na baadaye Las Palmas wakasawazisha kwa njia ya tuta kupitia kwa ...

Read More »

MANCHESTER CITY BINGWA KWA ASILIMIA 99.9, YAIPIGA TENA ARSENAL MABAO 3-0

Klabu ya Arsenal ikiwa katika Uwanja wake wa nyumbani, imekubali tena kichapo cha mabao 3-0 dhidi ya Manchester City katika mchezo wa ligi. Arsenal iliingia na kumbuku za kupoteza mchezo uliopita kwa kufungwa idadi ya mabao yaleyale, huku matarajio ya mchezo dhidi ya Manchester City yakiwa ni kulipiza kisasi japo matokeo yameenda sivyo. Wafungaji wa mabao hayo ni Sane, Bernado ...

Read More »

ERIC OMONDI AOMBA RADHI KWA VIDEO YAKE YA UTUPU

Mchekeshaji maarufu Afrika Mashariki kutoka Kenya Eric Omondi amejipata taabani kutokana na video yake iliyosambaa mtandaoni ambapo anaonekana akicheza na watoto mtoni, wote wakiwa utupu. Video hiyo ambayo inadaiwa kupigiwa katika mto mmoja eneo la Lodwar katika jimbo la Turkana, kaskazini magharibi mwa Kenya. Video hiyo imeibua hisia kali mtandaoni, baadhi wakimshutumu vikali na wengine wakimuunga mkono. Bw Omondi ameandika ...

Read More »

WAFANYABIASHARA WAKUBWA WAKERWA NA RAIS DOLD TRUMP

Washirika wakubwa wa biashara wa Marekani wamekasirishwa na tangazo la Rais wa nchi hiyo Donald Trump juu ya mpango wa kutoza ushuru kwa bidhaa za chuma na aluminiam zinazoingizwa. Umoja wa Ulaya na Canada kwa pamoja zimesema zitafanyia kazi uamuzi huo, kupingana na tamko hilo. Rais wa Tume ya Ulaya Jean Claude Juncker amesema uamuzi huo wa Marekani wa kutoza ...

Read More »

Benki ya NMB yazindua tawi jipya Kigamboni

Mkurungezi Mtendaji wa Benki ya NMB, Bi. Ineke Bussemaker (kulia) akizungumza kwenye hafla  ya uzinduzi huo. Mkuu wa Wilaya ya Kigamboni, Hashim Mgandilwa (wa tatu kushoto) akikata utepe kuashiria uzinduzi wa Tawi jipya la Benki ya NMB Wilaya ya Kigamboni. Wengine ni viongozi waandamizi wa Benki hiyo na Mkurungezi Mtendaji wa Benki ya NMB, Bi. Ineke Bussemaker (wa pili kulia). Mkuu ...

Read More »

TUME YA HAKI ZA BINADAMU YAINYOSHEA KIDOLE CCM

Ripoti ya Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) imekikosoa vikali Chama cha Mapinduzi (CCM) kwa kutumia mtoto wakati wa kampeni za ubunge Jimbo la Kinondoni, pia matumizi ya rasilimali za umma (magari) katika kampeni za Siha.

Read More »

RUFAA YA SUGU YAFIKA MAHAKAMA KUU MBEYA

Rufaa ya kupinga hukumu ya kifungo cha miezi mitano jela iliyotolewa kwa mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi ‘Sugu’ na Katibu wa Chadema Kanda ya Nyanda za Juu Kusini, Emmanuel Masonga imewasilisha Mahakama Kuu Kanda ya Mbeya. Mmoja wa mawakili wa Sugu, Faraji Mangula amesema tayari maombi ya rufaa yao yamepokewa na kupewa kumbukumbu namba 29/2018. “Tayari rufaa yetu imeshapokewa ...

Read More »

SHILOLE AHUKUMIWA KULIPA MILIONI 14 NDANI YA WIKI MOJA

MSANII wa Bongo Fleva, Zuwena Mohamed ‘Shilole’ amehukumiwa kulipa faini ya Tsh. Milioni 14 na mahakama ya Mwanzo Wilaya ya Kinondoni jijini Dar es Salaam baada ya kupatikana na hatia ya utapeli kusababisha hasara kwa kushindwa kufika kwenye shoo. Katika kesi hiyo iliyotolewa hukumu leo Machi 1, 2018, imethibitika kuwa Shilole alipatiwa kiasi cha fedha Tsh. Milioni tatu kutoka kwa ...

Read More »

WIMBO WA “KIBA_100” WA ROMA WAMUINGIZA KITANZINI,

Serikali kupitia Wizara ya Habari, Sanaa na Utamaduni imemfungia msanii, Abednego Damian maarufu Roma Mkatoliki kutojihusisha na shughuli zozote za muziki kwa kipindi cha miezi sita kutokana na kukaidi kufanyia marekebisho wimbo wake wa ‘Kibamia’. “Huyu ndugu anayeitwa Roma Mkatoliki tunampa adhabu, kwa mujibu wa katiba na kanuni ambazo zinatuongoza sisi. kwa hiyo tunamfungia kwa miezi sita. Ndani ya hiyo ...

Read More »
Show Buttons
Hide Buttons