Daily Archives: March 3, 2018

MSIUZE UFUTA WENU MASHAMBANI PELEKENI MINADANI-MAJALIWA

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewataka wakulima wa ufuta katika mikoa inayolima zao hilo nchini kuuza kwa kutumia njia ya minada na si mashambani.   Ametoa agizo hilo leo (Jumamosi, Machi 03, 2018) wakati akizungumza kwa nyakati tofauti na wananchi wa vijiji vya Nachihungo, Narungombe na Chikwale.   Waziri Mkuu ambaye yuko wilayani Ruangwa kwa ziara ya kikazi amesema ili wakulima ...

Read More »

BAADA YA RAIS TRUMP KUTOA KAULI TATA, KUHUSU BARA LA AFRIKA, SASA WAZIRI WAKE REX TILLERSON KUJA AFRIKA

Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani, Rex Tillerson, anatarajiwa kufanya ziara ya siku nane barani Afrika kuanzia Jumanne wiki ijayo. Hii itakuwa ziara yake ya kwanza kwenye bara hilo kama waziri. Taarifa iliyotolewa na wizara ya mambo ya nje ya Marekani Alhamisi ilisema kuwa Tillerson atazuru Kenya, Ethiopia, Djibouti, Chad na Nigeria, kwenye safari ambayo itakamilika tarehe 13 mwezi huu. ...

Read More »

WAZIRI MKUU AKAGUA MRADI WA USAMBAZAJI MAJI

  WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amekagua mradi wa usambazaji wa maji kwenye vijiji vinavyopitiwa na mradi wa maji Mbwinji na ameridhishwa na unavyoendelea. Mradi huo unaosimamiwa na Mamlaka ya Maji na Usafi wa Mazingira Masasi-Nachingwea (MANAWASA) unatarajiwa kukamilika Machi 31, 2018. Waziri Mkuu alifanya ukaguzi huo jana (Alhamisi, Machi 01, 2018) katika kioksi cha kuchotea maji kilichopo kwenye kijiji cha ...

Read More »

MADIWANI WAIFAGILIA VITUO VYA TAARIFA NA MAARIFA VYA TGNP KUCHOCHEA MAENDELEO

BAADHI ya madiwani walioshiriki katika mkutano wa kubadilishana uzoefu na kujifunza jinsi ya kushirikiana na wananchi katika kuleta maendeleo katika kata zao, wameipongeza TGNP Mtandao na kuiomba kupanua shughuli zake mikoa mbalimbali ili kuchochea shughuli za maendeleo hasa ya miradi anuai. Mkutano huo ulioshirikisha madiwani zaidi ya 20 kutoka Halmashauri ya Wilaya za Kishapu, Tarime, Mbeya, Morogoro Vijijini na Manispaa ...

Read More »

WAZIRI MAHIGA AIJIBU KAULI ZA EU NA MAREKANI

Serikali imetolea majibu kauli za Ubalozi wa Marekani nchini Tanzania na ile ya Umoja wa Ulaya (EU) ambazo kwa nyakati tofauti zilionyesha kuwa kuna changamoto katika masuala ya ulinzi nchini wakitolea mifano ya kutoweka kwa baadhi ya watu pamoja na kukamatwa/kufungwa kwa wanasiasa. Aidha, serikali pia kupitia Wizara ya Mambo ya Nje imetoa majibu kuhusu madai kwamba imekiuka kanuni za ...

Read More »

HALI SI SHWALI CHADEMA, MWENYEKITI WA BAVICHA KILIMANJARO ASIMAMISHWA KAZI

Hali ni tete ndani ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Mkoa wa Kilimanjaro, baada ya chama hicho kuchukua hatua ya kumsimamisha uongozi Mwenyekiti wa Baraza la Vijana, Dickson Kibona. Kibona alisimamishwa kazi Februari 28, mwaka huu, ikiwa zimepita siku 11 tangu kufanyika kwa uchaguzi wa marudio wa kiti cha ubunge Jimbo la Siha, ambalo Chadema iliangushwa na Chama Cha ...

Read More »

BAADA YA SIMBA KUCHEZEWA SHARUBU NA STAND UNITED, LEO TENA VIWANJA KUWAKA MOTO

Simba jana kwenye uwanja Taifa wamechezewa sharubu zao baada ya kutoka sare ya mabao 3-3 na Stand United Chama la wana, mechi hiyo ilikuwa kali sana ambapo ilikuwa funga nikufunge, simba wakishinda stand wanachomoa. hivyo mpaka dakika 90 Simba 3 – Stand United 3. Mzunguko wa 20 wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania bara unaendelea tena leo Jumamosi Machi 3, ...

Read More »

TANGA UWASA ,JUIN COMPAY LIMITED WAINGIA MKATABA MAKUBALIANO KUTEKELEZA MRADI WA MAJI WILAYANI LUSHOTO

Tanga Uwasa  Kaimu Mkurugenzi wa Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira Jijini Tanga (Tanga Uwasa) Mhandisi Aram Phares kushoto akisaini mkataba wa kutekeleza mradi wa Maji wilayani Lushoto na Mkandarasi wa mradi huo Justice Kato  kutoka kampuni ya Juin Company Limited Civili&Building Contractors ambao utagharimu milioni 700 wanaoshuhudia nyumba kushoto ni Mbunge wa Jimbo la Lushoto (CCM) Shabani Shekilindi alimaarufu ...

Read More »

UHABA MADARASA WASABABISHA WANAFUNZI 346 KIDATO CHA KWANZA KUSHINDWA KURIPOTI SHULE WILAYANI KAKONKO

JUMLA ya wanafunzi 346 wa kidato cha kwanza wilayani Kakonko mkoani Kigoma,wameshindwa kuripoti shuleni kutokana na shule walizopangiwa kuwa na uhaba wa vyumba vya madarasa. Hali iliyo walazimu viongozi wa Wilaya kwa kushirikiana na wananchi kujenga vyumba viwili kwa kila shule. Akitoa takwimu hizo katika ziara ya Mkuu wa Wilaya ya Kakonko ya kutembelea ujenzi wa vyumba hivyo, Ofisa elimu ...

Read More »
Show Buttons
Hide Buttons