Daily Archives: March 4, 2018

SALIM ASAS AMPONGEZA MBUNGE ROSE TWEVE KUINUA UCHUMI WA WANAWAKE WILAYA YA MUFINDI

Mjumbe wa halmashauri kuu ya taifa ya chama cha mapinduzi (CCM) MNEC Salimu Asas amempongeza mbunge wa viti maalum mkoa wa Iringa Rose Tweve kwa kuinua uchumi wa wananchi kwa kutoa kiasi cha shilingi laki sita (600,000) kwa kata kumi na saba za wilaya ya Mufindi mkoani Iringa.  Mbunge wa viti maalum mkoa wa Iringakupitia chama cha mapinduzi Rose Tweve ...

Read More »

Mtu Mmoja Ajitandika Risasi Nje ya Ikulu ya Marekani

Mwanamume mmoja amejipiga risasi na kujiua nje ya Ikulu ya Marekani ya White House mjini Washington, kikosi cha kumlinda rais kimesema Kikosi hicho kilisema kuwa mwanamume huyo alikaribia ua unaozunguka Ikulu katika barabara ya Pennsylvania kabla ya kuchomoa bunduki na kupiga risasi mara kadhaa. Hakuna mtu aliyejeruhiwa, kulingana na polisi. Rais Donald Trump hakuwa kwenye Ikulu. Yuko katika kasri lake ...

Read More »

MBUNGE CHATANDA ATAKA UKAGUZI TSH. MILIONI 230, UJENZI SHULE YA JOEL BENDERA SEC

Mbunge wa Korogwe Mjini Mary Chatanda (wa tatu kulia) akisikiliza taarifa inayosomwa na Mkuu wa Shule ya Sekondari Joel Bendera Nasson Msemwa (wa pili kushoto). Hapo ndipo Chatanda aliliamsha ‘dude’ kutaka kujua kwa nini sh. milioni 150 zimeshindwa kukamilisha mabweni mawili.Yussuph Mussa, Korogwe Madarasa mapya manne ya Shule ya Sekondari Joel Bendera, Kijiji cha Kwakombo, Kata ya Kwamsisi, Halmashauri ya ...

Read More »

SERIKALI YATAFUTA CHANZO CHA KUUWAWA MWANAFUNZI WA TANZANIA NCHINI AFRIKA KUSINIawa Kikatili Afrika Kusini

Mwanafunzi wa Tanzania aliyekuwa akisoma nchini Afrika Kusini ameuwawa kikatili Ijumaa nchini humo. Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mindi Kasiga amesema wizara inafanya mawasilianao na ubalozi wa Tanzania nchini Afrika Kusini ili kubaini undani wa suala hilo. Alisema wizara inafuatilia kujua chuo alichokuwa akisoma, siku ya tukio hilo na masuala yote muhimu kuhusiana ...

Read More »

AZAM FC YAITANDIKA SINGIDA UNITED BAO 1-0 CHAMAZI

TIMU ya Azam FC imeichapa bao 1-0 Singhida United katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara usiku wa leo Uwanja wa Azam Complex, Chamazi, Dar es Salaam. Shukrani kwake mfungaji wa bao hilo pekee, Joseph Mahundi dakika ya 17 akimalizia pasi ya mshambuliaji Mbaraka Yussuf. Na sasa timu ya Alhaj Sheikh Said Salim Awadh Bakhresa na familia yake ...

Read More »

Baraza la Maaskofu Katoliki lakomaa na mchakato wa Katiba Mpya

Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), limesema ili amani iendelee kuwepo majadiliano ndio nyenzo kuu itakayosaidia kuhuisha mchakato wa Katiba Mpya. Pia limeitaka Serikali kuweka nia ya dhati na kutii kiu ya Watanzania iwapo wengi wao watahitaji mchakato wa Katiba Mpya uendelezwe. Kauli hiyo ilitolewa jana jijini Dar es Salaam na Naibu Katibu Mkuu wa TEC, Padri Daniel Dulle, wakati ...

Read More »

CHAMWINO YAJIPANGA KUTOKOMEZA MIMBA ZA UTOTONI

Diwani wa Kata ya Haneti Wilaya ya Chamwino mkoani Dodoma Mhe. Peter Elia Chidawali akizungumza na wanafunzi wa Shule ya Msingi na Sekondari Haneti wakati wa uzinduzi wa kampeni ya kuzuia Mimba za Utotoni ijulikanayo ‘Mimi ni Msichana Najitambua Elimu ndio Mpango Mzima’ Wilayani Chamwino. Mkurugenzi Msaidizi Idara ya Maendeleo ya Watoto kutoka Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, ...

Read More »

TAHLISO YATOA TAMKO KUHUSU WANAFUNZI WANAOTAKA MWIGULU AJIUZULU KWA KIFO CHA AKWILINA.

  Mwenyekiti wa Tahlisi George Albert  Mnali  wa pili kutoka kulia akizungumza na baraza Kuu la Senate leo  kushoto ni Katibu Mkuu wa Tahliso John Mboya kulia ni Katibu wa Baraza hilo Faidhaa Msangi na kulia ni Kaimu Makamu Mwenyekiti wa Rais wa Chuo cha Zanzibar University   JUMUIYA YA TAASISI ZA VYUO VYA ELIMU YA JUU TANZANIA (TAHLISO)OFISI YA ...

Read More »

MABINGWA TIMU YA IRINGA UNITED KUUWAKISHA MKOA WA IRINGA KWENYE LIGI YA MABINGWA WA MIKOA

Mwenyekiti wa chama cha soka mkoa wa Iringa Cyprian Kuyava akiwa na mgeni rasmi wa fainali ya ligi ya mkoa Fesail Asas wakimkabidhi kombe kampteni wa timu ya Iringa United baada ya kuwafunga Mtwivila City kwa njia ya mikwaju ya penati baada ya kumaliza dakika tisini wakiwa wamefungana goli moja moja Mwenyekiti wa chama cha soka mkoa wa Iringa Cyprian ...

Read More »

JUKWAA LA WANAWAKE SOMANGILA, KIGAMBONI, LAZINDULIWA

Wanawake wajasiariliamali wametakiwa kutengeneza au kuuza bidhaa zenya ubora wa viwango vinavokubalika ili kuvutia wateja kununua bidhaa zao na kuongeza masoko ndani na nje ya Nchi.   Hayo yamesemwa leo na Mkurugenzi wa Uhuru FM Angel Akilimali ambaye alikuwa mgeni rasmi katika uzinduzi wa Jukwaa la Wanawake Kata ya Somangila, Manispaa ya Kigamboni jijini Dar es Salaam. Katika uzinduzi huo uliofanyika Uwanja wa ...

Read More »

JUKWAA LA WANAWAKE TANESCO LACHANGIA DAMU HOSPITALI YA TUMBI KIBAHA

  Mwenyekiti wa Jukwaa la wanawake Tanesco , Rukia Wandwi akizungumza na Waandishi wa Habari mara baada ya kukamilika kwa zoezi la uchangiaji Damu kwa Wafanyakazi wa Shirika la Umeme Tanesco lilipoamua kujitolea kutoa Damu kwa jili ya Hospitali ya Tumbi iliyopo Kibaha mkoa wa pwani kama Sehemu ya Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani  Meneja wa Tanesco Kanda ya ...

Read More »

IDDI AFANIKISHA HARAMBEE YA UJENZI WA MADARASA KANISA LA AIC KALANGALALA

Mjumbe wa halmashauri kuu ya Taifa ya chama cha mapinduzi(CCM) Mkoani Geita Iddi Kassim Iddi,akiendesha Harambee ya umaliziaji wa ujenzi wa madarasa kwenye kanisa la AIC Kalangalala.  Mjumbe wa halmashauri kuu ya Taifa ya chama cha mapinduzi(CCM) Mkoani Geita Iddi Kassim Iddi pamoja na mwenyekiti wa halmashauri ya mji wa Geita ambaye pia ni muumini wa kanisa hilo,Leornad Kiganga Bugomola ...

Read More »

WAZIRI UMMY AIKABIDHI TIMU YA COASTAL UNION KIWANJA,AWAHIDI NEEMA

  WAZIRI wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu na Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Tanga katika akiwa na baadhi ya viongozi wa timu ya Coastal Union wakati akipokwenda kuwakabidhi kiwanja eneo la Maweni Jijini Tanga kushoto ni Mkurugenzi wa Jiji la Tanga Daudi Mayeji kulia ni Mkurugenzi wa Kampuni ya City Plan Consultants (T) Limited ...

Read More »
Show Buttons
Hide Buttons