Daily Archives: March 5, 2018

HICHI HAPA WALICHOSEMA MASHEKHE WALIPOTEA KWA KUTATANISHA NA KUONEKANA KWA KUTATANISHA

Mashehe watano waliotoweka katika mazingira ya kutatanisha kuanzia Febuari 9 mwaka huu huko Zanzibar wameachiwa na kurejea katika familia zao usiku wa kuamkia Machi 4, 2018. Mashehe hao walitoweka ikiwa hakuna aliyekuwa akifahamu walipokwenda, huku wana familia wakiitaka serikali kufanya uchunguzi ili kuweza kubaini walipo ndugu zao. Mmoja wa Mashehe hao, Amir Khamis akifanya mahojiano na Azam Tv alisema kuwa ...

Read More »

Freeman Mbowe alazwa Hospitali ya KCMC

Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Manendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe amelazwa katika Hospitali ya Rufaa ya KCMC mjini Moshi akiendelea kupatiwa matibabu baada ya kufikishwa hospitalini hapo jana usiku alipougua ghafla. Mbowe ambaye pia ni Mbunge wa Hai na kiongozi wa Kambi ya Upinzani Bungeni (KUB), alifikishwa katika hospitali hiyo jana saa mbili usiku. Baada ya kufukishwa, madaktari walimwekea mashine ...

Read More »

Uongozi wa Mkoa Rukwa wachangia Milioni 5.7 kumalizia Ujenzi wa Msikiti Sumbawanga

Uongozi wa Waislamu Mkoani Rukwa umepokea kwa furaha mchango wa Shilingi Milioni 5.7 uliotolewa na uongozi wa serikali ya Mkoa wa Rukwa ukiongozwa na Mkuu wa mkoa wa Rukwa Mh. Joachim Wangabo katika kikao cha maridhiano juu ya ujenzi wa msikiti uliosimama kwa muda. Fedha hizo zilizochangwa zilijumuisha ahadi, fedha taslimu pamoja na vifaa vya ujenzi vilivyotolewa kwa umoja wa ...

Read More »

UFARANSA YAIPONGEZA TANZANIA KWA KUPAMBANA NA RUSHWA

SERIKALI ya Ufaransa imeipongeza Serikali ya Tanzania kwa mapambano dhidi ya rushwa na inaamini fedha zinazotolewa kwa ajili ya utekelezaji wa miradi mbalimbali zitatumika kama ilivyokusudiwa. Kauli hiyo imetolewa leo (Jumatatu, Machi 05, 2018) na Balozi wa Ufaransa nchini Tanzania, Bw. Frederic Clavier alipomtembelea Waziri Mkuu Kassim Majaliwa kwenye makazi yake Oysterbay jijini Dar es Salaam. Balozi Clavier amesema Ufaransa ...

Read More »

CUF WAMFUKUZA JULIUS MTATIRO UANACHAMA KWA KUTOKULIPIA KADI YA UANACHAMA

KADA wa Chama cha Wananchi (CUF) ambaye pia ni mwenyekiti wa kamati ya uongozi ya chama hicho, Julius Mtatiro, amevuliwa uanachama wa chama hicho na Uongozi wa CUF Wilaya ya Ubungo mkoani Dar es Salaam. Akitangaza uamuzi huo mapema siku ya Jumapili, Machi 4, 2018, mwenyekiti wa CUF wilaya ya Ubungo, ndugu Bashir Ally Muya, amesema kuwa wamefikia uamuzi huo kutokana ...

Read More »

CHADEMA WAWAJIBU SHIRIKISHO LA VYUO VYA ELIMU YA JUU TANZANIA(TAHLISO) KWA TUHUMA ZA MAUAJI YA AKWILINA

Shirikisho la Vyuo vya Elimu ya Juu Tanzania (Tahliso) limeibuka likitaka uchunguzi wa haraka ufanyike, huku likitaja makundi matatu yanayopaswa kulaumiwa kwa kifo cha mwanafunzi huyo. Mwenyekiti wa Tahliso, George Mnali alisema makundi hayo hayawezi kukwepa lawama kuhusu kifo cha binti huyo kilichotokea Februari 16 kwa kuwa pasipo wao kuandamana asingefikwa na umauti. Madai haya yametolewa Jumamosi wiki mbili baada ...

Read More »

RIPOTI MAALUM YABAINI KIKUNDI CHA ADF KILIHUSIKA NA MAUAJI YA ASKARI WA TANZANIA NCHINI DRC RC

Kikundi cha waasi wa Alliance of Democratic Forces (ADF) kimetajwa na ripoti maalum ya uchunguzi uliofanywa na Umoja wa Mataifa kuwa kilihusika na mauaji ya askari wa Tanzania nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC). Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na UN, ushahidi uliopatikana unaonyesha ADF ndio walifanya shambulizi hilo la kushtukiza na kusababisha vifo vya askari hao waliokuwa wakilinda ...

Read More »

Hakuna Wakuwazuia Tena Manchester City Kubeba Kombe

Klabu ya Manchester city jana Jumapili wakiwa uwanja wao wa nyumbani wa Etihad walifanikiwa kuchomoza na ushidi wa bao 1-0 dhidi ya Chelsea bao lilifungwa na Bernardo Silva Dakika ya 46 kipindi cha pili cha mchezo. Ushindi huo Manchester City umezidi kuwaimarisha kileleni mwa ligi kuu ya England kwa kujikusanyia alama 78 wakifuatiwa na klabu za Liverpool alama 60, Manchester ...

Read More »

Manowari ya Marekani yatia nanga Vietnam

Mamowari ya Marekani Carl Vinson inafanya ziara ya kihistoria nchini Vietnam kwa mara ya kwanza kwa meli ya aina hiyo kuzuru Vietnam tangu vita kumazilika. Manowari hiyo inayotumia nishati ya nyuklia itatia nanga katika bandari wa Danang ambapo wanajeshi wa Marekai walitua kwanza wakati wa vita. Hii inamaana ya kuonyesha ushirikiano wa kijeshi kati ya nchi hizo. Lakini wadadisi wanasema ...

Read More »

MSAJILI WA VYAMA VYA SIASA AIKOMALIA CHADEMA, AITAKA KUJIELEZA KWANINI ASIKICHULIE HATUA

Msajili wa Vyama vya Siasa nchini, Jaji Francis Mutungi kwa mara nyingine ametoa siku tano kwa Chadema kujieleza kwa nini asikichukulie hatua kwa kukiuka sheria na kanuni za maadili ya vyama vya siasa. Katika barua hiyo ya Jaji Mutungi ya Machi mosi, 2018 iliyopokelewa Chadema Machi 2 inatakita chama hicho kikuu cha upinzani nchini, kujieleza kwa nini kilivunja sheria na ...

Read More »

SERIKALI YAJIBU BARUA ILIYOKUWA INASAMBAA MTANDAONI INAYOMUHUSU DK KIGWANGALA

Mkurugenzi wa Mawasilano ya Rais Ikulu, Gerson Msigwa amekanusha taarifa nayosambazwa kwenye mitandao ya kijamii ikieleza kuwa Rais Dkt Magufuli ametengua uteuzi wa Waziri wa Maliasili na Utalii, Dr. Hamis Kigwangalla Msigwa amewataka wananchi kuipuuza taarifa hiyo kwani ni upuuzi. Hapa chini ni taarifa hiyo iliyotengenezwa na wahalifu wa mitandao.

Read More »

Kenya Yaipoteza Vibaya Tanzania Kili Marathon 2018

Leo Jumapili Machi, 4 2018 yamefanyika mashindano ya riadha mkoani Kilimanjaro ambayo ni maarufu kwa Kili Marathon ambayo hufanyika kila mwaka. Mashindano haya hushirikisha watu kutoka mataifa mbalimbali, ambapo wale wote ambao hufanya vizuri hupewa zawadi, wakati wengine hupewa medali ikiwa ni ishara kwa walishiriki mbio hizo. Mashindano haya yalianza mwaka 2003 yakiwa na washiriki waliokadiriwa kuwa kati ya 300-400 ...

Read More »

TPA MTWARA WAPEWA MIEZI MITATU KUTATUA CHANGAMOTO ZA UJENZI WA GATI

Meneja wa Bandari ya Mtwara, Bw. Nelson Mlali akiwasilisha taarifa kwa Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Profesa Makame Mbarawa (Hayupo Pichani), kuhusu mapato na matumizi ya bandari hiyo, wakati Waziri huyo alipotembelea bandari hiyo kukagua maendeleo ya mradi wa gati. Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Profesa Makame Mbarawa, akiangalia eneo ambalo linajengwa maegesho ya kawaida ya mizigo katika ...

Read More »
Show Buttons
Hide Buttons