Daily Archives: March 6, 2018

YANGA YAPOKEA KIPIGO CHA 1-2 TAIFA, DHIDI TOWNSHIP ROLLERS YA BOTSWANA

Mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika kati ya Yanga dhidi ya Township Rollers ya Botswana, umemalizika katika Uwanja wa Taifa kwa wenyeji kupoteza kwa jumla ya mabao 2-1. Katika dakika 45 za kipindi cha kwanza, Township Rollers ndiyo waliokuwa wa kwanza kupata bao la kwanza mapema kabisa kwenye dakika ya 11 kupitia kwa Lemponye. Baada ya bao hilo la kuongoza ...

Read More »

PIGO TENA KWA ACT-WAZALENDO, DIWANI MWINGINE AAMIA CCM

Aliyekuwa Diwani wa kata ya Gihandu Wilayani Hanang, Mkoani Manyara kwa tiketi ya ACT Wazalendo Mathayo Samuhenda amejiuzulu udiwani wa kata hiyo na kujiunga na Chama Cha Mapinduzi (CCM). Diwani huyo ameachia kiti hiko cha udiwani wakati akifanya mkutano wa hadhara uliofanyika katika viwanja vya shule ya msingi Gihundi. Kupitia mkutano huo amesema kwa muda wa miaka miwili sasa wananchi ...

Read More »

WAFANYA BIASHARA WA SOKO LA MBAGALA WATOA VILIO KUUNGUA KWA SOKO LAO

Soko la Kampochea lililopo Mbagala Rangi Tatu jijini Dar es Salaam limeteketea kwa moto alfajiri ya leo Jumanne Machi 6, 2018 na kusababisha hasara kwa wafanyabiashara wa eneo hilo. Imeelezwa moto huo ulianza kuteketeza mabanda ya soko hilo saa 12 alfajiri huku uongozi ukitaja kuwa chanzo ni hitilafu ya umeme. Mwenyekiti wa soko hilo, Mohamedy Njiwa amesema limekuwa likikumbwa na ...

Read More »

WACHUNGAJI 6 WA MAKANISA RWANDA WAKAMATWA NA POLISI

  Polisi nchini Rwanda imetangaza kuwatia kizuizini wachungaji 6 na viongozi wa makanisa kutoka baadhi ya makanisa yaliyofungwa kwa amri ya serikali ya nchi hiyo. Wiki iliyopita serikali ya nchi hiyo iliamrisha kufungwa kwa makanisa zaidi ya 700 kwa madai ya kutotimiza kanuni za ujenzi wa makanisa yao. Miongoni mwa waliokamatwa ni kasisi Askofu Innocent Rugagi, kiongozi wa kanisa la ...

Read More »

WANANCHI WA PUGU WA MPONGEZA MEYA MWITA KWA KUWAPATIA MAJI SAFI NA SALAMA

Wananchi wa Pugu wa mpongeza Meya Mwita kwa kuwapatia maji safi na salama. WANANCHI wa Kata ya Pugu, Mtaa wa Mustafa, wamempongeza Mstahiki Meya wa jiji la Dar es Salaam Isaya Mwita kwa kuwapelekea maji safi na salama huku wakibainishiwa kuwa ameweka historia ya kutatua changamoto hiyo. Kata hiyo ambayo inadaiwa kuongoza kwa changamoto ya maji kwa kipindi kirefu, imejenga ...

Read More »

VITA VYA WENYEWE KWA WENYEWE IMEANZA KATI YA TAHLISO NA TSNP

Mwenyekiti wa mtandao wa wanafunzi wa Tanzania (TSNP), Abdul Nondo, akiongea na waandishi wa habari leo. Ndugu waandishi wa habari, leo tunapenda kutoa ufafanuzi kidogo juu ya tuhuma zilizotolewa na TAHLISO dhidi ya TSNP mnamo tarehe 3/3/2028. Taasisi yetu ni taasisi isiyo ya kiserikali iliyosajiliwa tarehe 23/10 /2001.  Lengo kubwa ikiwa ni kutetea wanafunzi kuanzia shule ya msingi hadi chuo ...

Read More »

MAGAZETI MATATU LIKIWEMO LA TANZANITE YAPEWA ONYO KALI NA SERIKALI

Serikali kupitia kwa Mkurugenzi wa Idara ya Habari-MAELEZO imetoa onyo kwa magazeti matatu nchini kutokana na kile ilichoeleza kuwa ni kukiukwa kwa maadili ya uandishi wa habari. Hayo yalisemwa jana na Dkt Hassan Abbas ambaye pia ni Msemaji Mkuu wa Serikali ambapo alisema miongoni mwa magazeti hayo ni pamoja na gazeti la Tanzanite. Magazeti hayo yalipewa onyo katika kipindi cha ...

Read More »

KCMC MOSHI: AFYA YA MBOWE IKO FITI NA SASA AMERUHUSIWA KUTOKA HOSPITAL

Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe aliyekuwa amelazwa katika Hospitali ya KCMC mkoani Kilimanjaro, akisumbuliwa na maumivu makali ya kichwa, ameruhusiwa kutoka baada ya madaktari kujiridhisha na afya yake iliyorejea katika hali ya kawaida.  

Read More »

MANCHESTER UNITED YAIADHIBU CRYSTAL PALCE KWA MBINDE

Manchester United imerudi kwenye nafasi yake ya pili katika msimamo wa Ligi Kuu Uingereza baada ya kuibuka na ushindi wa mabao 3-2 dhidi ya Crystal Palace. Mchezo huo ambao ulikuwa na matokeo hasi kwa Manchester United katika kipindi cha kwanza, ulimalizika huku Palace akiwa na bao moja lililofungwa na Townsend dakika ya 11. Mpaka mapumziko Palace alikuwa mbele kwa bao ...

Read More »

BENJAMIN NYETANYAHU AKUTANA NA TRUMP KUJADILI TISHIO LA IRAN

Waziri Mkuu wa Israeli Benjamin Netanyahu yuko mjini Washington kukutana na Rais Donald Trump kutafuta njia za kuzuia jeshi la Iran kuongeza himaya yake Mashariki ya Kati. Mazungumzo hayo yamekuja wakati Trump anajaribu kupima iwapo ni busara kwa Marekani kujiondosha katika mkataba wa kimataifa uliosainiwa na Iran wenye kusudio la kuzuia nchi hiyo kutengeneza silaha za nyuklia, makubaliano ambayo Netanyahu ...

Read More »

BAADHI YA WAUGANDA WAMKOSOA RAIS MUSEVENI KWA HATUA ALIYOICHUKUA, YA KUWAFUKUZA IGP NA WAZIRI WA ULINZI

Habari za kufukuzwa kazi Jenerali Kale Kayihura katika nafasi ya Inspekta Jenerali wa Polisi (IGP) na Luteni Jenerali HenryTumukunde kama waziri wa ulinzi zimepokelewa kwa hisia tofauti na wasomaji wa mitandao nchini Uganda. Wengi wa wachangiaji katika mitandao ya jamii wamemkosoa Rais Museveni katika hatua yake ya kuwafukuza viongozi hao na wengine wamewafurahia na kusema ilikuwa ikitegemewa kuwa hilo litatokea ...

Read More »
Show Buttons
Hide Buttons