Daily Archives: March 7, 2018

Akwiline azidi ‘kumliza’ Waziri wa JPM

NA ANGELA KIWIA Kifo cha aliyekuwa mwanafunzi wa Chuo cha Taifa cha Usafirishaji (NIT) cha jijini Dar es Salaam, Akwiline Akwilina kinaendelea ‘kutesa’ mioyo ya watu. Akwiline aliuawa Februari 16, mwaka huu baada ya kupigwa risasi akiwa kwenye daladala. Risasi hiyo inadaiwa kufyatuliwa na mmoja wa askari polisi waliokuwa wakiwatanya wafuasi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema). Alikuwa mwanafunzi ...

Read More »

Mapitio ya Sheria za Kazi nchini Tanzania (2)

NA WAKILI STEPHEN MALOSHA, DAR ES SALAAM UTATUZI WA MIGOGORO Kuanzia kifungu cha 75 hadi 95 ni eneo linalohusu utatuzi wa migogoro, kwanza ni kutumia majadiliano baadaye kutumia nguvu, rejea kifungu cha 80 na 81. Eneo la mwisho ni utatuzi wa migogoro ya kikazi kupitia usululuhishi, uamuzi na Hukumu ya Mahakama ya Kazi. VYOMBO VYA KUSIMAMIA UTEKELEZAJI SHERIA ZA KAZI ...

Read More »

Tukatae kuvaa ‘kafa Ulaya’

  NA MWANDISHI MAALUMU, DAR ES SALAAM Kwenye gazeti la The Citizen la Ijumaa, Februari 16, 2018 kulikuwa na stori ambayo pengine kutokana na hekaheka za uchaguzi wa marudio wa majimbo ya Kinondoni na Siha, watu wengi hawakuipa uzito unaostahili. Stori inasema, eti Amerika imezitahadharisha nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) kwamba zitashikishwa adabu endapo zitaendelea na mpango wake ...

Read More »
Show Buttons
Hide Buttons